Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

unaanzaje kuoa oil chafu asee?
Kwani lazima awe anamuwaza mzazi mwenzie?pengine anamuwaza jamaa mwingine tofaut na mzazi mwenzie
Halafu nyie wanaume hamjui tu mnaweza sana kubadilisha akili ya mwanamke ...mpende sana,mjali,mtunze ye na mwanae
Ndo tunachotaka sasa atakumbukaje misri?mateso,kuachwa,maumivu?
Kuzaa na mtu sio sababu ya kuendelea kumpenda
We only love once ..na tukiacha tumeacha kweli
Tokea vita ya kagera iishe
Tokea lini?
Wazee wa kupasha kiporo
Wengine huma ukute mama zao waliwazaa wakiwa single maza then wanajifanya kuwasnich ma single maza, masingle maza popote mlipo saluti kwenu.
Nimeelewa ULITOSWA NA SINGLE MAZA
embu njoo tu huku upunguze matatizo

1. Story: Money Penny ni nani lakini?!

2. USHAURI: UKIMTUKANA MTU SASA HIVI JELA MIEZI 6...
 
Hivi kwa mfano midume gwambegu ingekuwa inazaa dunia hii ingekuwaje jamani. Fikiria dume linaosha rungu kwenye visima mia linatamani kuoa bikra. Akili ya wapi hii....!
 
Heri ya mwaka mpya wakuu wote hapa JamiiForums


Kuna rafiki yangu mmoja hivi nilisoma naye chuo, huyu jamaa katika mwaka wake wa pili tangu aanze kazi alikutana na mfanyakazi mwenzie ambaye ni mtaalamu wa madawa ya binadamu (Pharmacist)

Wakaanza mahusiano ya mapenzi,lakini kiuhalisia jamaa yeye alikuwa naye kwa kujifurahisha tu kwa kuwa tayarialikuwa na mchumba wake lakini alikuwa anafanya kazi mkoa mwingine, akaamua amchukue huyu mfamasia kwa ajili ya kucheza rafu za hapa na pale na kuondoa upweke usio wa lazima.

Lakini kumbe mdada wa watu kajiongeza na hatimaye akamtegea jamaa siku zile za hatari, jamaa akiwa hana habari na mpango wa bibiye hatimaye akamtandika ujauzito, jamaa akaja juu kwamba kwanini ameshika ujauzito bila makubaliano? Akamwambia achoropoe,bibiye akagoma.

Basi jamaa kwa hasira akampiga kibuti demu,mahusiano yakafa lakini baadaye akasema wtashirikiana kumlea mtoto ila mapenzi yafe, mdada akasema haina shida.

Kwa hiyo kila mara wanatembeleana kwa ajili ya mtoto ila mambo ya mapenzi hakuna.

Sasa imepita miaka kama miwili hivi kajitokeza mshikaji mwingine anataka kuchukua mzigo jumla (kuoa), sasa katika process za utoaji barua, eti bibiye anampigia simu baba wa mtoto kuwa anataka kuolewa hivyo ampe ruhusa ya kuolewa ahahahahahhahahahah; jamaa akamwambia we olewa,unaniomba ruhusa kama nani wakati mi na wewe tulishaachana?

Kwa kufupisha stori, kiufupi pamoja na mchakato wa ndoa kuendelea lakini binti anaonesha matendo ya kidhaifu mno kwa mzazi mwenzie kiasi kwamba hata jamaa akiamua kuomba mzigo anaweza kupewa bila masharti; hali hii imefanya kutokea mgogoro mkubwa kati ya mume mtarajiwa na binti,mgogoro unaotokana na wivu wa mapenzi unaochagizwa na tabia ya binti kuwa dhaifu mno kwa mzazi mwenzie.

Kwa mujibu wa rafiki yangu anakiri kiukweli wakikutana na bibiye kwa ajili ya kumjulia hali mtoto, bibiye anakilegeza mno,yani anajiweka kiromantic na hayuko seriously sana kama mtu ambaye kweli anatarajiwa kuolewa.

Sasa, mimi naomba kuwauliza humu wana JF, Hivi ni sababu ipi haswa inayopelekea mabinti wengi kuwa dhaifu kwa wanaume waliozaa nao kiasi cha kuwapa wakati mgumu waoaji?

Hivi haiwezekani mkizaa mkaachana moja kwa moja bila kuwa na shauku ya kukumbushia mapenzi?
 
Sio wote ! Au anamtegemea kwa kila kitu daaah [emoji23] ukimtegemea mtu na hauna kitu mbaya sana ,unaeza omba ruhusa mbaka ya kwenda maliwato.[emoji276]
 
Hivi kwa mfano midume gwambegu ingekuwa inazaa dunia hii ingekuwaje jamani. Fikiria dume linaosha rungu kwenye visima mia linatamani kuoa bikra. Akili ya wapi hii....!
Sio wote ! Au anamtegemea kwa kila kitu daaah [emoji23] ukimtegemea mtu na hauna kitu mbaya sana ,unaeza omba ruhusa mbaka ya kwenda maliwato.[emoji276]
Mkimaliza mje na huku mpunguze matatizo

1. Story: Money Penny ni nani lakini?!

2. USHAURI: UKIMTUKANA MTU SASA HIVI JELA MIEZI 6...

3. USHAURI: SEMA JINA LANGU UKIWA UNANIGEGEDA...
 
Hahahah wanaume kinawaumaa si mchezo... Mnaona inavokera ku.tombewa ehh...nyie si wanaume bana komaeni navyo kiume...wanawake mbna huwa tunavumilia usaliti wenu?!
Shida inakuja kweny mimba mama yangu. Ukigongwa na nikajua nikakusamehe halafu baada ya siku ukashika mimba si ndiyo kidonda na kutoelewana kunaanzia hapo. Unafikiri nitakubali kuwa hiyo ni mimba yangu? Bora tuachane tu km mtoto ni wangu atanitafuta akikua.
 
Shida inakuja kweny mimba mama yangu. Ukigongwa na nikajua nikakusamehe halafu baada ya siku ukashika mimba si ndiyo kidonda na kutoelewana kunaanzia hapo. Unafikiri nitakubali kuwa hiyo ni mimba yangu? Bora tuachane tu km mtoto ni wangu atanitafuta akikua.
Km mimba hamna ruksa sio?.
 
Km mimba hamna ruksa sio?.

Hapana. Huwezi kuruhusiwa. Naandika tu lkn haya mambo huwa nayaogopa sana. Nilishawahi kuchepuka lkn duh utafikiri umebeba begi la madawa ya kulevya halafu unapishana na maaskari wapo kweny doria. Ni hatari sana
Nakumbuka nilienda kuoga simu nimeacha ndani , ikaita duh! Nilitamani nitoke na mapovu kumbe ilikuwa simu kutoka mama yangu mzazi. Kuchepuka ni hatari sana
*unaishi kwa wasi wasi sana
*Unakuwa muongo sana kupitiliza
 
Habari zenu wakuu?

Nimesikia Kituo kimoja cha Radio kikitangaza kuhusu akina mama wanaolea na kutunza watoto pasipo msaada wa wazazi wa kiume.

Akina mama hawa hujulikana kwa jina la Kiingereza " SINGLE MOTHERS". Kwa sasa idadi ya Single mothers inazidi kuongezeka mijini na vijijini.
Kuongezeka kwa Kundi hili kunatokana na nini?

1: Wanaume wanaogopa kuoa na kutunza familia?

2: Wanawake wanashindwa kutunza ndoa zao?

3: Wanawake ( vijana) wanapenda kuzaa na wanaume wenye ndoa zao?

4: Talaka zimekuwa nyingi?

# Demiss, Bujibuji,Thad, Kichwa kichafu,Mzizi Mkavu,.Maserati.Mwifwa,Saint Ivuga,Chaga one, Mshana Jr.
 
Back
Top Bottom