Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hapa tatizo ni hao wanavyokutana inabidi kuwe na utaratifu tofauti wawili hawa wasikutane peke yao kwa minajiri ya kumona mtoto hapo tatizo litakua solve.
Kwa upande wa kutokuaserious its normal tena sana kumbuka hawa walishakua wapenzi so ukostua staster gari inawaka wakati wowote hadi katokea mtoto jua mapenzi yalikua matamu
kwa dunia yetu hii ya sasa ..ya simu za mkononi na app za watsaap Fblite hayo sahau mkuu ..hayo uliyosema ylipaswa kupewa kipaumbele wakati watu watu walipokuwa wanayatumia masanduku ya posta...
huu wakati tujifnze kuvumiliana tu...
 
Hata ndani wapo vizur wanajua Ku care hivi vibichi utoto bado mwingi na sio viaminifu. Salute kwa single maza wote
Hiyo care ni fear ya kudampiwa, analazimika kuwa mtiifu.
Alafu usichanganye madawa, siongelei visichana vibichi, naongelea grown ups ila sio single mother,
Endelea kushea mkeo mkuu, inauma sana ila maji ndo umeshayavulia nguo.
 
aiseee kuna MZEE mmoja aliwahi kuniambia kijana ogopa sana ktk maisha yko kuoa mke wamtu
nikamuuliza MZEE wawezaje kuoa mke ambaye ameshaolewa
akacheka kisha akanijibu inawezekana kabisa mwanangu
mke wamtu niyule aliyezalishwa na mpenzi wake kisha wakatengana
daaahhh militoa macho kama nimefumwa ugoni

but honestly sio wanawake wote wako hvyo '' wengine wamestaarabika jpo kuwa niwachache
Huyo Mzee boya tu alikuwa anakunyima fursa ya kufaidi utamu
 
Heri ya mwaka mpya wakuu wote hapa JamiiForums


Kuna rafiki yangu mmoja hivi nilisoma naye chuo, huyu jamaa katika mwaka wake wa pili tangu aanze kazi alikutana na mfanyakazi mwenzie ambaye ni mtaalamu wa madawa ya binadamu (Pharmacist)

Wakaanza mahusiano ya mapenzi,lakini kiuhalisia jamaa yeye alikuwa naye kwa kujifurahisha tu kwa kuwa tayarialikuwa na mchumba wake lakini alikuwa anafanya kazi mkoa mwingine, akaamua amchukue huyu mfamasia kwa ajili ya kucheza rafu za hapa na pale na kuondoa upweke usio wa lazima.

Lakini kumbe mdada wa watu kajiongeza na hatimaye akamtegea jamaa siku zile za hatari, jamaa akiwa hana habari na mpango wa bibiye hatimaye akamtandika ujauzito, jamaa akaja juu kwamba kwanini ameshika ujauzito bila makubaliano? Akamwambia achoropoe,bibiye akagoma.

Basi jamaa kwa hasira akampiga kibuti demu,mahusiano yakafa lakini baadaye akasema wtashirikiana kumlea mtoto ila mapenzi yafe, mdada akasema haina shida.

Kwa hiyo kila mara wanatembeleana kwa ajili ya mtoto ila mambo ya mapenzi hakuna.

Sasa imepita miaka kama miwili hivi kajitokeza mshikaji mwingine anataka kuchukua mzigo jumla (kuoa), sasa katika process za utoaji barua, eti bibiye anampigia simu baba wa mtoto kuwa anataka kuolewa hivyo ampe ruhusa ya kuolewa ahahahahahhahahahah; jamaa akamwambia we olewa,unaniomba ruhusa kama nani wakati mi na wewe tulishaachana?

Kwa kufupisha stori, kiufupi pamoja na mchakato wa ndoa kuendelea lakini binti anaonesha matendo ya kidhaifu mno kwa mzazi mwenzie kiasi kwamba hata jamaa akiamua kuomba mzigo anaweza kupewa bila masharti; hali hii imefanya kutokea mgogoro mkubwa kati ya mume mtarajiwa na binti,mgogoro unaotokana na wivu wa mapenzi unaochagizwa na tabia ya binti kuwa dhaifu mno kwa mzazi mwenzie.

Kwa mujibu wa rafiki yangu anakiri kiukweli wakikutana na bibiye kwa ajili ya kumjulia hali mtoto, bibiye anakilegeza mno,yani anajiweka kiromantic na hayuko seriously sana kama mtu ambaye kweli anatarajiwa kuolewa.

Sasa, mimi naomba kuwauliza humu wana JF, Hivi ni sababu ipi haswa inayopelekea mabinti wengi kuwa dhaifu kwa wanaume waliozaa nao kiasi cha kuwapa wakati mgumu waoaji?

Hivi haiwezekani mkizaa mkaachana moja kwa moja bila kuwa na shauku ya kukumbushia mapenzi?
Haki ya kumthibiti mwaume aliye zaa naye aipo. Walikuwa wakifanya starehe. Awaka wamekubaliana kuzaa.
 
Msi generalize hapa, sio kila single mama ana huo udhaifu, kuna wanaojielewa na wenye msimamo wamesonga mbele. Hzo ni tabia binafsi za mtu, kama alimtegea mimba basi ni mdhaifu sana kwa huyo rafikiyo, aidha alimpenda sana na ana mstumaini ya huyo baba mtoto kumrudia ndo maana bado anamtega
 
Kosa kubwa sana!
Aliyetangulia katangulia tu.
Single mothera kama mnataka kuolewa na kutulia ktk ndoa kaoleweni na wazazi wenzenu. Hakuna mwanaume utaishi nae kwa amani ukiwa ulizalishwa na mwanaume mwingine na bado yiko mzima!
Kama vipi "KAWAUENI" kwanza hao wazazi wenzenu ndio muolewe, KAMA haiwezekani "kumuua" mzazi mwezio basi ujue na kuolewa na mwingine haiwezekani, itakuwa UNAFIKI tu.
Hiyo ni kwa upande wako, unavyoona wewe si anavyoona mwingine, wapo single mama wanaojitambua na wenye msimamo na wameolewa na wana ndoa nzuri zenye afya

Kupata single mama asiyejielewa usidhani ndo wote wako hvyo, unakosea sana mkuu
 
Back
Top Bottom