likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
kasigazi kalungi MFUKUZIE SINGO MAZA IN UR OWN RISK
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke yoyote kama alishawah kukuvulia pichu zaid ya Mara moja,unanafas kubwa sana ya kumvua tena
Fa fa fa fa...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo boya tu hana msimamo na hiyo ni unaweza kuta yeye ndo mtongozaji na hata hiyo ndoa haipo na huyo mdada inaelekea mvuto wake ni fa fa fa fa
Ww ndo uache porojo wanawake hawana msimamo tangia zama za Adams ,sasa unapobisha utakinzana na principal of natureWacha porojo wewe
Yaani zeeeeeroFa fa fa fa...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ww ndo uache porojo wanawake hawana msimamo tangia zama za Adams ,sasa unapobisha utakinzana na principal of nature
Mkuu Watanzania tuna maradhi ya generalisation'.Malipo hapahapa duniani....kwa wote mnaowanyanyapaa single maza ngoja muingie kwenye ndoa....ndoa ni zaidi ya single maza ndugu zangu
Mungu yupo anawaona, wengi wanaojadili haya ni utoto unawasumbua, wanawaza tu ngono...uzinifu lakini kwa kafsha mnazowapa single maza kwa ku GENERALIZE kuwa wote hawafai haya ngoja tuone, time will tell....
haaaa pichu kwenye msumari...papuchi inahema..kama mo farah katoka kumaliza mbio za mashindano ya mbio ndefuSingle mother mje mjitetee...eti ni kweli beki hazikabi kwa wazazi wenzenu?!
Jamaa akija tu chu.pi kwny msumari
nakuja pm mkuuHuyo mwanamke ni mpumbavu angekua na akili huo ujinga asingefnya,yaan mtu anaonesha waz kabisa kua hakuhitaj still unamnyenyekea na kuuliza et niolewe mfyuu mtoto isiwe kigezo aisee ,mapenz yakiisha yangu yang hayakuhusu na yako hayanihusu..angeolewa tu jamaa atapataga taarifa nae akioa atasikia tu anamuliza kama nan wanawake wengne bhna hao ndo wanaofnya sngle mom tuonekane WA hovyo kumbe sivyo
but nikwa wachache mnoooo wanaojitambua haswaaSi kwel
aiseee kuna MZEE mmoja aliwahi kuniambia kijana ogopa sana ktk maisha yko kuoa mke wamtuTalking of experience jamani kudate single mother inaitaji moyo wa chuma sana hii dunia ina changamoto sana , unaweza kupata single mother mzuri, katoka familia nzuri, Ila sasa connection za ada, mtoto kwenda kwa baba, doooh acheni tuu wadada kwa kweli huku ni kujitoa muhanga , fikirini decisions zenu kabla ya kutenda.
Hujakuwa bado weweKosa kubwa sana!
Aliyetangulia katangulia tu.
Single mothera kama mnataka kuolewa na kutulia ktk ndoa kaoleweni na wazazi wenzenu. Hakuna mwanaume utaishi nae kwa amani ukiwa ulizalishwa na mwanaume mwingine na bado yiko mzima!
Kama vipi "KAWAUENI" kwanza hao wazazi wenzenu ndio muolewe, KAMA haiwezekani "kumuua" mzazi mwezio basi ujue na kuolewa na mwingine haiwezekani, itakuwa UNAFIKI tu.
hahaaa hatari sna ..huu uchochezi huuMbona mademu zenu siyo single maza lakini wanagongwa kama kawa