Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Huu mwandiko kama vile we ndo jamaa mwenyew[emoji12] [emoji12] halafu sio wote wa hivyo mi nimezaa na jamaa lakini tunaonana january kwenye ada ya mtoto na hata nyege nae sina
We nawe umependwa si u funguke????

SINGLE MAZA HAPANA
 


Ni huyu tu yuko dhaifu na pengine ana matatzo ya kiakili. Kiualisia, mwanamke akisha achana na mzazi mwenzake huwa anakuwa hana kabisa hamu na huyo jamaa kwa sababu mwanamke ni kiumbe ama mtu anayetawaliwa na hisia si kama sie wanaume. Hivyo basi, hisia zake zikimtoka inakuwa si rahisi kumrudia mzazi mwenziwe.
 
True,tunaojielewa tukienda tumeenda no return
 
Siyo single mother mwanamke yeyote mwenye mwanaume aliyewahi kuvunja naye amri ya sita hata akiolewa anaendelea naye tuu.
90% ni hivo, yaani kama ulisha mchanua kukataa ni ngumu sana
 
Siyo single mother mwanamke yeyote mwenye mwanaume aliyewahi kuvunja naye amri ya sita hata akiolewa anaendelea naye tuu.
Ni kweli ila kwa aliyezaa naye wanayo fursa ya kukutana mara kwa mara na mwanamke kujikuta kama ameolewa na wanaume wawili.
 
Ndo mana Mwenyezi Mungu kaharamisha Zina .... ma ex wakionana ni ngumu kunyimana ukweli ndo huo ... Mungu wajaliye moyo wa ujasusi ma single mum wasiwe so easy na wapate waume wa kuwaowa
 
Mnanihamasisha kuzaa na demu mmoja hivi Nampenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…