Tunawatapeli sana. Ukishaonja unatoka nduki. Na wengi wao hata kalenda hawajui kuhesabu. Cone tamuTatizo Haki Sawa Kwa Wote Inawaponza Wanawake Wakipata Mkopo Kwenye Vicoba Wanaona Wanaweza Kila Kitu
Tunawatapeli sana. Ukishaonja unatoka nduki. Na wengi wao hata kalenda hawajui kuhesabu. Cone tamuTatizo Haki Sawa Kwa Wote Inawaponza Wanawake Wakipata Mkopo Kwenye Vicoba Wanaona Wanaweza Kila Kitu
Wako Poa sana.Wameshamaliza VuruguPiga Pumbu kaka,ila jitahidi sana kumpenda mwanae tena kuliko yeye
Kwaiyo ni tatizo sio?Ila jua kuwa picha ya mzazi mwenzake ndio iko kichwani mwake kabla yako. Mwanaume wa kwanza kumuwekea sign mwanamke kama kumpatia mtoto picha yake hubaki kichwani mwake.
sio tatizo kama una moyo mwepesi..Kwaiyo ni tatizo sio?
Mmh kwa picha ilivyo sizani kama hilo litatokea maana kuna mengi sijayaweka wazi ila kuna uadui mkubwa sanasio tatizo kama una moyo mwepesi..
kubali kwanza ipo siku uta share na mzaz mwenzio..kiroho safi tu..
usije panik ikitokea hali hiyo
Itakua safi hiyoIla nachojua ukiamua kujitosa kuoa single mother, hakika hiyo ndoa itadumu sana....(Kutakuwa na uvumilivu flan hivi kwa kuhofia jamii itamuonaje ikiwa ataachika tena)
Yategemea na mtu sasa! Kwangu ni tatizo.Kwaiyo ni tatizo sio?