Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Uzee unakupeleka pabaya. ina maanisha miaka haiangaliwi? mtu hajaoa ana miaka 35 ni mutoto?


Nadhani wewe ndiyo unataka kumtukana Babu,

Ila hata ukiwauliza watu wazima wengine watakueleza kuwa hata ungekuwa na miaka 100, kama bado uko single au huna mtoto, basi katika mtazamo wa mambo ya unyumba na malezi ya familia (watoto) wewe ni mtoto tu....


Endelea kubisha but is a fact...!!

Babu DC!!
 
Infront of every woman blessed to be a mother nothin and no one is her first priority xcept her kids be it other man's kid or ur kids,a mother wil alwyz priotize her children it doesnt matter u marry a single mom or a single gal!once she is a mom they al bhave da same!!!
The only differenc z the power to dcyd over ur kids & other man's kid/s which wil dpend upon a mom herself,meaning to wat xtent she wil let u b in control of her kid and this dpends entirely on the levo of ur rltnshp!
If u want to optmize the control startby optimizin ur rltn first!Otherwise b ready to ve limitations!
 
unakumbuka mwaka huu tumeaamuaje kwa yeyote anayegusa anga zinazotuhusu negatively!NAKUANGALIA UNAVOKEEP U WORDS!hakuna kukubalia hayo makitu ya negativity

Hahahaha, kujidefend muhimu wewe; yaani mtu akuponde hivi hivi. Honestly nikiambiwa nireverse maisha yangu, nitabadilisha vingi kasoro mtoto wangu. So sijutii na wala sintakaa kujutia kuwa mother wa mtoto wangu niwe single au double!
 
mm nadhani muombe mungu akupe mke utakayempenda na atakaye kupenda! Baadhi ya single moms ni wachonganishi, mfano anaweza akakwambia mzazi mwenziye hana matunzo kwa mtt kumbe ni uwongo. Anafanya hivyo ili ww utoe zaidi ya kile ulichokipanga! Hekima ni jambo la msingi ktk kuwa na uhusiano na single moms!
 

What for do you need the attention??!!
 
Mwisho wa siku mahusiano yanakuwa ni yenu wenyewe. Na hamna kitu kizuri kama kupata mwenzi ambae anakulinda na familia yake kama ambavyo Franky anasema "sio nduguze watakaokuwa na wewe". Raha jipe mwenyewe mama, usisubiri wakwe+mawifi waamue.
I know my dear, lkn ni wanaume wachache wanalielewa hili; so l am prepared for the worse. Type ya Franky wako wachache sana; wanaoelewa maana ya maneno ya biblia "...naye atamuacha baba na mama yake na kuambatana na mkeo, nao watakuwa si wawili tena..."
 
Last edited by a moderator:
Ume copy uzoefu mkuu uko sahii kabisa! tena ni rahisi mno mwanamke kuwa comfortable kwa watoto wa mwanaume kuliko mwanaume kuwa comfortable na watoto wa mkewe. Pia kuna suala la naenda kukutana na Babake kuna masuala tuanenda kujadili kuhusu mtoto, na hii haijalishi unampa matunzo kiasi gani
 

Nadhani hiyo point yako ya pili ndio concern kubwa kama ilivyoelezewa na mchangiaji mmoja wapo hapo juu. Nadhani ni kweli pia kuwa kina mama ndio wanaowezaleta mwelekeo mzuri au mbaya kwa couples ambazo tayari zina watoto. Ingawa sina uhakika kwa upande wa kina baba but mara nyingi nimeona kina mama wakiwa over-protective kwa watoto wao zaidi kuliko kwa wale wa wenzi wao.

But all in all inategemea na mwanamke na mwanamke na jinsi mnavyopendana.
 

Ndugu naona wewe umeamua kuwa-target single mothers tu kuna siri gani ya urembo hapo?
 

Umenena vema
 
Kwa wale wa enzi zetu zile, hata kama ungekuwa na miaka 60 na bado ni mtoto......

Mtu unaacha kuwa mtoto (kwa mjibu wa enzi zetu) pale unapoingia kwenye ndoa bila kujali umri!!

kumbe utandawazi umeharibu kila kitu sasa hivi watu wanafanya modification sana nakurahisisha mambo
 
kumbe utandawazi umeharibu kila kitu sasa hivi watu wanafanya modification sana nakurahisisha mambo


Ndugu yangu wewe acha tu,

Huu utandawazi unatufanya wengine hata tushindwe kujitambua tuko wapi....tunaeleaelea hewani kama vipepeo!



Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…