Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kipindi hicho nawe bikra,haujawahi mgusa mtu ili Mungu akushushie asiyeguswa mwenzio..
Siyo lazima sana uwe "bikra" ili upate "bikra" mwenzio. Kama umetubu na kuacha uovu kwa dhati basi unafanyika kuwa safi kabisa na hii ni kwa wote, wanawake na wanaume pia. Ndiyo maana ni ruhusa kuoa mwanamke aliyefiwa na Mumewe, lakini pia hulazimishwi kuoa "bikra", kila mtu na hiari yake.

Sisi wengine tuna "kinyaa" sana hatuwezi kula "tunda" lililong'atwa na mtu mwingine, raha ya kula Apple uling'ate wewe mwenyewe na siyo ung'atiwe na mwingine.
 
Hata mwanamke single mother hawezi kukubali mtoto wake aoe single mother,hata wanawake wanaomwaga mapovu humu kaka zao na watoto wao wakioa single mother wataanza kuleta umbeya na vimdomo domo wanawake bwana
 
Kuna baadhi wanategeshea mimba makusudi wakikimbiwa wanaanza kumwaga mapovu kwamba wanaume wana roho mbaya
 
Mimi nikiongeaga humu wanasema eti wanaume wasio na hela ndo zao,eti kwamba wanaume wanaokataa single mother hawana hela
 
Mimi nikiongeaga humu wanasema eti wanaume wasio na hela ndo zao,eti kwamba wanaume wanaokataa single mother hawana hela
Ni fikra mbovu hiyo, ni msemo tu huo wanatumia ila mwanamke wa hivyo hawezi jitetea namna yoyote, eti mimba ya bahati mbaya, walipokuwa wanakwenda kuvua wanafanya bila kinga, walitegemea nini?
 
Kapitiwa na nini?sijaelewa hapo ,yaani mwanamke unavua chupi afu hujui kwamba upo kwenye siku zako au la,kwa akili hiyo mkiachwa halali
 
Hahhahahah unaodate nao wote mabikra eti eeenh,
Mkuu mimi nimeacha mambo ya kudate na sifanyi "zinaa" kabisa, "nimezaliwa upya", sasa hivi nasubiri "kuoa" tu ili na mimi nianze kuijaza dunia kama agizo la BWANA linavyosema.
 
Hapo sasa ndo umeongea point dada angu
 
Mimi nilishajiwekea toka mwanzo kwamba ntaoa bikra,akikosekana basi sitooa
 
Unachekesha wewe. Hebu fatilia nyuzi zangu humu kuna zingine zina part ya maisha yangu then utajua kuwa unaongea na mtu wa level gani. Mi sio underage kama wewe.
Hayo maneno ya wakosaji wanakimbilia kusema umekosa chuo badala ya kujibu hoja,kifupi ni kwamba umewashinda hoja,single mother ni wa kupiga tu na sio kuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…