Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kipindi hicho nawe bikra,haujawahi mgusa mtu ili Mungu akushushie asiyeguswa mwenzio..
Siyo lazima sana uwe "bikra" ili upate "bikra" mwenzio. Kama umetubu na kuacha uovu kwa dhati basi unafanyika kuwa safi kabisa na hii ni kwa wote, wanawake na wanaume pia. Ndiyo maana ni ruhusa kuoa mwanamke aliyefiwa na Mumewe, lakini pia hulazimishwi kuoa "bikra", kila mtu na hiari yake.

Sisi wengine tuna "kinyaa" sana hatuwezi kula "tunda" lililong'atwa na mtu mwingine, raha ya kula Apple uling'ate wewe mwenyewe na siyo ung'atiwe na mwingine.
 
Hata kama mleta mada atapigwa mawe lakini kaeleza ukweli mtupu. Hasa aliposema wazazi wa mtoto wa kiume huwa wanasononeka, hili ni kweli maana hata Mimi liliwahi kunikuta. Nilimpata single mother mmoja mkali kwa sura, nikachukua picha yake kwa mbembwe hadi kwa mama. Lahaulah!!
MAMA: Mbona kama alishazaa na MTU
Mwingine?
MIMI: Ah! Mama? Kwani hilo ni tatizo?
Kikubwa upendo tu.
MAMA: Umechunguza kwa nini aliyezaa
naye hakumuoa?
MIMI: Nadhani ni tabia za vijana wa siku hizi kutopenda kuoa, lakini mbona ana tabia nzuri sana?
MAMA: Hayo unajaribu kupamba, lakini
Mbele ya safari utakutana na
hali halisi ndo utajua kwa nini
Aliyemzalisha hakumuoa.
MIMI: Kimyaaaaaa!
Hata mwanamke single mother hawezi kukubali mtoto wake aoe single mother,hata wanawake wanaomwaga mapovu humu kaka zao na watoto wao wakioa single mother wataanza kuleta umbeya na vimdomo domo wanawake bwana
 
Kama singo moms wanapewa mimba na mbuzi ni halali kuwasema ila kumbuka ni wanaume haohao mashababi na malijali ndo walio simamia ukucha kwenye show mpka mimba zikaingia na kwanini alaumiwe mwanamke wakati kwenye mtombano walikua wote....mnasema oooh wanatabia chafu nyie je ndo kusema watakatifu sana??? Me nadhani ungehamasisha wanaume kutumia mipira wakati wa mechi kama mtu huna future nae well condom hamziwez na kudinyana peku mnapenda so ni jukumu Lenu mnaodinyana kuchukua tahadhari juu ya kunasa mimba....na lawama asibebe mwanamke pekeake as if alijifinger na kujijaza mimba mwenyewe ....wengi umu mnajitia oooh hatuoi single maza lkn kila cku ao masingo maza wanaolewa vzuri tu...everything happen for a reason...
Kuna baadhi wanategeshea mimba makusudi wakikimbiwa wanaanza kumwaga mapovu kwamba wanaume wana roho mbaya
 
Hivi unaanzaje kuzaa na mtunambaye huna uhakika kama atakuoa? Halafu utegemee kuwa kuna mwengine atakuja kukuoa na kulelea jamaa mtoto wake? Hivi hapa huwa inatumika akili kweli?


Ladies waelewe kuwa hakuna mwanaume aliyeko sawa kiafya kiakili, atakayekubali kuoa mwanamke alozalishwa na jamaa mwengine?

Utanidanganya vipi kuwa ulikuwa umetulia wakati una mtoto kabla hujaolewa?!

Kila mtu atabeba msalaba wake.
Mimi nikiongeaga humu wanasema eti wanaume wasio na hela ndo zao,eti kwamba wanaume wanaokataa single mother hawana hela
 
Mimi nikiongeaga humu wanasema eti wanaume wasio na hela ndo zao,eti kwamba wanaume wanaokataa single mother hawana hela
Ni fikra mbovu hiyo, ni msemo tu huo wanatumia ila mwanamke wa hivyo hawezi jitetea namna yoyote, eti mimba ya bahati mbaya, walipokuwa wanakwenda kuvua wanafanya bila kinga, walitegemea nini?
 
Kama wanaozaliwa ni vyura basi uu ni ujinga Ila kama wanaozaliwa ni banadamu acha tu niendelee kutetea .....kudinyana na kutiwa mimba kunatofauti gani au kutiwa mimba mpka unyweshwe na kijiko ??? Kwa mwanamke ana siku Tisa za kunasa mimba katka kila mwezi huenda cku moja kati ya izo mtt wa watu kapitiwa na sio kila mwanamke yuko aware na cku zake za hatari mizunguko tu tumetofautiana .....kinacho takiwa ni kubling awareness kwa vijana wazazi na walezi wa play role kuwaelimisha watoto wao wote wakiume na wakike kuhusiana na elimu ya uzazi....
Kapitiwa na nini?sijaelewa hapo ,yaani mwanamke unavua chupi afu hujui kwamba upo kwenye siku zako au la,kwa akili hiyo mkiachwa halali
 
Hahhahahah unaodate nao wote mabikra eti eeenh,
Mkuu mimi nimeacha mambo ya kudate na sifanyi "zinaa" kabisa, "nimezaliwa upya", sasa hivi nasubiri "kuoa" tu ili na mimi nianze kuijaza dunia kama agizo la BWANA linavyosema.
 
Usilinganishe password za simu na mzunguko wa hedhi unapohama kutoka mazingira yenye joto kwenda yenye baridi mzunguko unachange ukibadilisha aina ya vyakula kama umetoka boarding na kula msoc wa home mzunguko unachange so unaeza kukuta kwa mwezi umebleed mala mbili upo apo apo ukienda tu unanasa najaribu kukuelewesha unaonekana una luck some materials kichwani mwako.... Ndio sio jukumu lako kukariri Sikh basi iwe jukumu lako kutumia Mpira au kama huwezi mwagia nje .....
Hapo sasa ndo umeongea point dada angu
 
Siyo tu kuoa Single Mother hata kuoa ambaye siye Bikira bado ni makosa makubwa sana ingwa wengi wanafumbia tu macho. Mwanamke anapaswa kuolewa akiwa "Bikra" safi kabisa ambaye hajaguswa na Mwanaume mwingine.

Mimi binafsi nimesema siku nikiwa tayari kuoa, basi nitaoa yule ambaye ni "Bikra" maana ni uchafu kuoa Mwanamke ambaye ameshagegedwa na Wanaume wengine!
Mimi nilishajiwekea toka mwanzo kwamba ntaoa bikra,akikosekana basi sitooa
 
Unachekesha wewe. Hebu fatilia nyuzi zangu humu kuna zingine zina part ya maisha yangu then utajua kuwa unaongea na mtu wa level gani. Mi sio underage kama wewe.
Hayo maneno ya wakosaji wanakimbilia kusema umekosa chuo badala ya kujibu hoja,kifupi ni kwamba umewashinda hoja,single mother ni wa kupiga tu na sio kuoa
 
Back
Top Bottom