Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Yap.. ndio maana huwa na advicr wanaume wenzangu wawe wanachunguza akili za wenza wao kwanza.
Within 6 month itakupa picha halisi kama mwenzi wako atakuwa mama mzuri kwa familia aunni kichwa boga tu.
 
Ukioa single mother jiweke tayari kwa lolote
Muda wowote unapatwa na lolote
Wakati wowote unafanya lolote na unaishia jela yoyote.
Muda wowote mkeo anachukuliwa na jamaa wanaenda popote.
Kama iko ndani ya uwezo wako jitahidi usioe single mother maana ni risk sana

Wale matomaso endeleeni na single mothers tu
 
Kama ni mwanaume rijali mpe Uhuru wa kufanya alitakalo maana huwezi kumbana ya nini tusumbuane na kufuatiliana kila mmoja ana akili kichwani mwake na anajua nini anafanya ila unakuwa unampa tahadhari awe makini maana mpo kwa jambo moja tu kutengeneza maisha
 
Nmeelewa mkuu , kwaufupi wanaume hatupendi USUMBUFU ...hawa wadada wanakua wameshakomaa vzur .
mkuu sisi wanaume huwa usumbufu ambao tunaukubali ni ule wa changamoto cha kutafuta hela na mali, lakini si toka kwa mwanamke, mimi bado sijaoa lakini natafuta wa kuoa awe single mother au hana mtoto sawa ila kitu sitaki ni kusubuliwa, kila kitu atapata lakini anipe amani na upendo period
 
Kweli kabisa, single mother yeyote ambae ni mjaja, akisapata wenza ambae ni rafiki kweli huwa anatakiwa kukata mawasiliano na huyu baba mzazi wa mtoto wake KABISA, na amsahau na aoyese huo mtoto huyu ndie dady, na hivyo atakuwa na good time na huyu mume, mambo ya yule mume wa baba mtoto sahau kabisa
 
[Wengi .QUOTE="Herr muller, post: 28513164, member: 490691"]Kweli kabisa, single mother yeyote ambae ni mjaja, akisapata wenza ambae ni rafiki kweli huwa anatakiwa kukata mawasiliano na huyu baba mzazi wa mtoto wake KABISA, na amsahau na aoyese huo mtoto huyu ndie dady, na hivyo atakuwa na good time na huyu mume, mambo ya yule mume wa baba mtoto sahau kabisa[/QUOTE] wengi hukosea hapo. Hajiulizi huko nyuma alikuwa akimpa visent sometimes hampi now kapata anayemuhudumia 100% why awe na mawasiliano na zilipendwa!!!!! Kata,mawasiliano songa mbele na new daddy mtafutie haki zooote za kuwa daddy ilu awe huru na wanao basi....
 
Unajitafutia stress bila sababu za msingi. Wanawake wamejaa tele naanzaje na single mama?

Anyways, kila mtu na chaguo lake.
 
Mapenzi ni makubaliano ya watu wawili hao Dada zako wangeongea mwisho wa siku wangekubaluana na hali wewe ulishindwa kumuondolea hofu hukuwa bado rijali na Ku solve tatizo hilo....
 
Hata kwenye soccer unapoanza dakika ya kwanza ubao unasomeka 0-0 sasa mpira unaanza umefungwa 1-0 ndo nini sasa???
Ukiwa unaongozwa kwa goli unakuwa muda wote unashambulia hupaki basi....hapo ndipo maendeleo yanapokuja. Ukianza mpira bila bila mnakuwa mnaviziana na kila mmoja anajihami na goli lake asiwe wakwanza kufungwa ....
Ndio maana wanaume waliooa single mother wanakuwa busy na maisha
 
Unajitafutia stress bila sababu za msingi. Wanawake wamejaa tele naanzaje na single mama?

Anyways, kila mtu na chaguo lake.
Nanukuu. "Wanaake wamejaa tele" kumbuka single mother nae ni mwanamke. Tatizo la hawa ambao hawajazaa wanakuwa hawapo serious na maisha wengi mbwembwe nyingi mashauzi kibao
 
Walokole wengi wana gubu sana....
 
Nipo na single Mother,ila wanaowaponda single mothers ni wale ambao hawajakutana na changamoto za maisha na mapenzi za hawa masista du mwitu.Ila mnaowaponda single mothers only time will tell.
 
Nipo na single Mother,ila wanaowaponda single mothers ni wale ambao hawajakutana na changamoto za maisha na mapenzi za hawa masista du mwitu.Ila mnaowaponda single mothers only time will tell.
Asante, wewe ni mwanaume rijali mmoja wapo....
Hawa vichenchede wanazingua sana kwa kweli wengi wao wameweka anasa mbele kuliko maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…