Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap.. ndio maana huwa na advicr wanaume wenzangu wawe wanachunguza akili za wenza wao kwanza.Yamenikuta sana haya mkuu kwa hawa wasichana ambao hawajatanuka kiakili hata misaada wanayotaka utakuta ni ya anasa Nguo, Mapochi, simu kubwa lakini single mother unakuta anakuomba msaada like chakula, chandarua au hela ya mtaji maana anajua anapoelekea
Kama ni mwanaume rijali mpe Uhuru wa kufanya alitakalo maana huwezi kumbana ya nini tusumbuane na kufuatiliana kila mmoja ana akili kichwani mwake na anajua nini anafanya ila unakuwa unampa tahadhari awe makini maana mpo kwa jambo moja tu kutengeneza maishaUkioa single mother jiweke tayari kwa lolote
Muda wowote unapatwa na lolote
Wakati wowote unafanya lolote na unaishia jela yoyote.
Muda wowote mkeo anachukuliwa na jamaa wanaenda popote.
Kama iko ndani ya uwezo wako jitahidi usioe single mother maana ni risk sana
Wale matomaso endeleeni na single mothers tu
Vipi generali, habari ya bongo,natarajia uko mzima kabisa, barikiwa sana, kweli single mothers wanaongezeka sana na hio ni chanzo pia cha kuongeza umasikini bongoSingle mother huko dunia ya kwanza, bongo unaongeza matatizo mengine baada ya umasikini, ujinga na maradhi , nyerere 1961.
mkuu sisi wanaume huwa usumbufu ambao tunaukubali ni ule wa changamoto cha kutafuta hela na mali, lakini si toka kwa mwanamke, mimi bado sijaoa lakini natafuta wa kuoa awe single mother au hana mtoto sawa ila kitu sitaki ni kusubuliwa, kila kitu atapata lakini anipe amani na upendo periodNmeelewa mkuu , kwaufupi wanaume hatupendi USUMBUFU ...hawa wadada wanakua wameshakomaa vzur .
Kweli kabisa, single mother yeyote ambae ni mjaja, akisapata wenza ambae ni rafiki kweli huwa anatakiwa kukata mawasiliano na huyu baba mzazi wa mtoto wake KABISA, na amsahau na aoyese huo mtoto huyu ndie dady, na hivyo atakuwa na good time na huyu mume, mambo ya yule mume wa baba mtoto sahau kabisaUNGEKUWA WAMIE WEYE NAONA UNGENYOOSHA MIGUU JUU.NI wanaume wachache wanaotuthamin single mother wengi hutoa maneno ya ajabu huona heri alotoa mimba kuliko single mother.. isitoshe ukipata mme wa hivi unawafanya watoto wanamjua ndo daddy wao basi.. yule real poteza mawasiliano kwa sababu atataka akuharibie mahusiano na mwenzako. Wakat ulipokuwa single mother bila partner hakukujali...
Mapenzi ni makubaliano ya watu wawili hao Dada zako wangeongea mwisho wa siku wangekubaluana na hali wewe ulishindwa kumuondolea hofu hukuwa bado rijali na Ku solve tatizo hilo....Single mother anayejitambua hawezi kukubali kuolewa na kijana ambaye hakuwahi kuoa. Naandika hili nikiwa na sababu tosha;
Kabla sijaoa nilikuwa na mpenzi wangu ambaye mimi sikujua kama alishazalishwa. Alinipenda sana na hata nyumbani walimpenda sana. Lakini kila nilipogusia suala la kumuoa - alikataa kabisa - sikujua sababu.
SIku ya siku tukiwa beach tunapunga upepo aliamua kunipa ukweli ..
Alisema sio kwamba hataki kuolewa na mimi bali anahofia ndugu sangu (hasa wadada) wakijua kuwa ana mtoto hawatampenda.
Ukiwa unaongozwa kwa goli unakuwa muda wote unashambulia hupaki basi....hapo ndipo maendeleo yanapokuja. Ukianza mpira bila bila mnakuwa mnaviziana na kila mmoja anajihami na goli lake asiwe wakwanza kufungwa ....Hata kwenye soccer unapoanza dakika ya kwanza ubao unasomeka 0-0 sasa mpira unaanza umefungwa 1-0 ndo nini sasa???
Nanukuu. "Wanaake wamejaa tele" kumbuka single mother nae ni mwanamke. Tatizo la hawa ambao hawajazaa wanakuwa hawapo serious na maisha wengi mbwembwe nyingi mashauzi kibaoUnajitafutia stress bila sababu za msingi. Wanawake wamejaa tele naanzaje na single mama?
Anyways, kila mtu na chaguo lake.
Walokole wengi wana gubu sana....Haswaaaa. Sababu haya mambo ndugu yangu si mazur kwakweli. Hii sitaki nataka kutoka kqa wanawake huwa inasababisha waachike.
Mfano : kuna dada mmoja alikuwa mlokole sana yaan halaf yeye ukimwambia huna pesa anaona kama vile unamnyanyasa na kwamba anaweza kutafuta za kwake.
Atauchuna mwezi mzima anakujibu short tuuu. Ukila bunda anajirudi.. anaanza kukutafuta.
Nikaona hata kama umeokoka tabia hazieleweki tupa kule.
Asante, wewe ni mwanaume rijali mmoja wapo....Nipo na single Mother,ila wanaowaponda single mothers ni wale ambao hawajakutana na changamoto za maisha na mapenzi za hawa masista du mwitu.Ila mnaowaponda single mothers only time will tell.