mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,726
Dah mkuu umenichekesha sana 😀 😀 😀 😀 😀 😀Ukioa single mother jiweke tayari kwa lolote
Muda wowote unapatwa na lolote
Wakati wowote unafanya lolote na unaishia jela yoyote.
Muda wowote mkeo anachukuliwa na jamaa wanaenda popote.
Kama iko ndani ya uwezo wako jitahidi usioe single mother maana ni risk sana
Wale matomaso endeleeni na single mothers tu
😀 😀 😀 😀 😀 😀 mkuu unajua kujipa credit sanaUkiwa unaongozwa kwa goli unakuwa muda wote unashambulia hupaki basi....hapo ndipo maendeleo yanapokuja. Ukianza mpira bila bila mnakuwa mnaviziana na kila mmoja anajihami na goli lake asiwe wakwanza kufungwa ....
Ndio maana wanaume waliooa single mother wanakuwa busy na maisha
Mkuu huna maoni juu ya hawa wa nje ya Afrika?Hongera kwa single mother wote...duniani
Mkuu asante kwa ushauri. Sipo kwenye kundi la ganda la ndizi mimi mtafutaji pia. Ila sitaki kula na kusepa nataka nichukue jumla.Ganda la ndizi mkuu..
Kula huyo ndege...
Mkuu upo na passport...Mkuu asante kwa ushauri. Sipo kwenye kundi la ganda la ndizi mimi mtafutaji pia. Ila sitaki kula na kusepa nataka nichukue jumla.
Mkuu una kusudia nini kuuliza kama nina passport?Mkuu upo na passport...
Ila hakikisha mnacheki afya kabla hujaloweka...
Maana sisi wanaume tukiona papuchi tunaweweseka sana....
Tumekutana kwenye short course flani hiviMlijuanaje ? Tuanzie hapo kwanza.
Niko nje ya bara mwaka wa 7 sasa mkuuMkuu jiandae kwa Safari ya kwenda nje ya Bara la Africa .
Tumekutana kwenye short course flani hivi
Mkuu kuwa mfanyakazi wa ndani tena. Hili umelipimaje labda. Umenitisha sanaAchana nae kwa ushauri wangu, kwa maana unaenda kuwa mfanyakaz wa ndani, for my experience, niliwah kupelekwa huko.
Hapana mkuu, mimi sifuati rutuba ila moyo wangu kama umeshindwa kutekeleza lile jukumu lake la msingi. Labda macho yamenidanganya, hebu ngoja niendelee kumtazama kwa jicho la 3