mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,726
Dah mkuu umenichekesha sana 😀 😀 😀 😀 😀 😀Ukioa single mother jiweke tayari kwa lolote
Muda wowote unapatwa na lolote
Wakati wowote unafanya lolote na unaishia jela yoyote.
Muda wowote mkeo anachukuliwa na jamaa wanaenda popote.
Kama iko ndani ya uwezo wako jitahidi usioe single mother maana ni risk sana
Wale matomaso endeleeni na single mothers tu