Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ni mjinga mbele ya mwanamke ila kiujumla ana uelewa mzuri kimaisha na kielimu ana bachelor na ni mwajiriwa wa serikali.
Pole sasa nyie atawashauri nini kuhusu maisha ya ndoa kama upupu tu
 
So ndio hapo sasa...kama anamapenzi na ex amchane mkaka wa watu..sio kumtesa bana
Huyo ni kahaba, bado wanapendana kuachana hawawezi, yeye atafute tu mwingine, hivi unamme ka ex kweli katakusogelea jamani
 
Huyo kaka yako atakuwa ni "kaka wa Dar" .... + marioo , na wewe mleta uzi ni Dogo wa Dar.
Nyumba ni ya mwanamke kwa nini umpangie masherti km hata pango hulipi?
Umesema alioa miaka mitano iliyopita lakini hawajafunga ndoa... what does that supposed to mean!

Ushauri : mwambie/ au km ni wewe , pambana na hali yako.... huyo mwanamke anarudisha mahusiano taratibu , + msipende miteremko.
 
Aisee huyoo jamaa yako naee itakuwa Kaolewaa hapoo maana Hawezi Ogopaaa kwenda kwake Eti kisaa kuna mwanaumee hapoo kwake Anazinguaaa Sanaa..! Labda kama hiyo nyumba ni ya mwanamke au mwanamke ndo analipa Kodi... MPE pole Sana maana ana ubwegee sanaa
 
Duuh mtu anajilia vitu vyake kiulaiiini. Huyo kaka ako anaonekana boya sana yn mpk m'ume mwenzie anakuja kulala pale alfu lenyew linapewa taarifa linaishia kuwaza na kulewa tu, duuh anachokitafuta kaka ako atakipata mwambie aendelee hivyo hivyo!! Watu wameshazaa inaonekana kbsa bado wanapendana yeye anamng'ang'ania m'mke wa nn?! Kwan wameisha?!
 
Mwambie bro hakuna mapenzi hapo, kwa kuwa hawajaoana aachane nae tu. Hiyo stress sio
 
Mi jambo hill kiduchu linitokee kqa ushari Afanye maamuzi magumu kupita kiasi kama ya Low asa awaite wote aseme kikomandoo kuwa kuna nn kati yenu kama mnapendana piteni na mambo yenu nitafute mke mpya semeni ukweli akae kijemedari
Cn lingine
 
Kwanza inaonesha brow wako hamkizi kimatumizi huyo demu la
Mcng hapo brow wako alipe kodi ya nyumba ya huyo.mchumba wake ndie amuweke misimamo
 
Huyo kaka yako naye kweli mzigo, yaani hapo anakosaje kuchukua maamuzi, na kama hana mtoto naye na pia ndoa hakuna anasubuhi nini hapo sasa, achape lapa mbele atapata mwanamke mwenye kujielewa
 
Sasa kaka yako inabid aache uzwazwa amuwekee mipaka kama anataka kumuona angalau hata mara 1 baada ya miez miwil kama hatak achukue mtoto na mamaake au amchukue mtoto wake hyo hv ww na kaka yako hamtumii akil yan et mtu na x wake walale nyumba moja wasifanye kitu??kaka yako badala ya kulewa amuekee mashart hyo shemej yako akishindwa aachane nae
 
Hapo jamaa anatakiwa aendelee na maisha yake tu, inaonekana kupenda kwa kaka yako kumegeuka fimbo kwa huyo bidada
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…