Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mpe pole kaka ako na umwambie pombe sio suluuhu
Aongee na mwanamke wake juu ya hiyo tabia..tena aongee akiwa anamaanisha maana wanawake akili zetu tunazijuaga wenyewe hasa kama hatujitambui

Muda ufike wanawake tuache endekeza wanaume tuliozaa nao jamani..kama umeamua kumove on ...move on sio kuumiza mtoto wa mwanamke mwenzio kwa kwa kisingizio cha mnalea mtoto na mzazi mwenzio
Naongezea huo mstari wa mwisho...

Kama mnalea mtoto na mzazi mwenzio ni heri mkarudiana kabisa ili mlee vizuri na sio kuleteana wenge
 
Duh sasa wanawake wameisha au huyo kaka yako atakuwa na matatizo makubwa sana
 
Mwambie kaka yako ampende huyo mwanamke kwa AKILI siyo kwa MOYO maana Akili itamuongoza kutatua hayo yote ila moyo utaendelea kumfanya mjinga hata asielewe cha kufanya.
 
Mpe pole kaka ako na umwambie pombe sio suluuhu
Aongee na mwanamke wake juu ya hiyo tabia..tena aongee akiwa anamaanisha maana wanawake akili zetu tunazijuaga wenyewe hasa kama hatujitambui

Muda ufike wanawake tuache endekeza wanaume tuliozaa nao jamani..kama umeamua kumove on ...move on sio kuumiza mtoto wa mwanamke mwenzio kwa kwa kisingizio cha mnalea mtoto na mzazi mwenzio
Hapo wewe ndo unajitambua, shem kajisahau kama ni mke wa mwingine
 
Brother ako anazingua, piga chini..ivi kwel mwanamke anakuletea mafyongo fyongo, mi ungekuta nimesha mchapa vitasa na navuta chombo ingine,..achane nae tu amna jinsi alaf asake pesa sio kumwazia aliyeshindikana kuanzia kwenye bustani ya Eden.
Nilishawahi kumwambia aachane nae, tulikosana na Br
 
Hv inakuaje mtu unaoa dem aliechakazwa maziwa na mtoto wa mwanaume mwingine, mtaan kuna vitoto vibichii havina ndoa lakin bado watu mnakimbilia kuoa wanawake wenye tela
 
Hv inakuaje mtu unaoa dem aliechakazwa maziwa na mtoto wa mwanaume mwingine, mtaan kuna vitoto vibichii havina ndoa lakin bado watu mnakimbilia kuoa wanawake wenye tela
Hahaaaa, unajua kuna kitu hapo. Jaribu kufatilia wanawake waliozalishwa na wengine af wakaolewa na wengine... wengi wao wanajiamini sana
 
Namuona Ndegeseraaaa akimuomba ushauri NdegeJoniii(in Mkandamizaji's voice)
Kaka yako atakula alikopeleka mboga. Hatushauri wendawazimu
 
Huwa hawaachani msisahau hayo maneno mioyoni mwenu.
Mtoto hutumika kama kiunganishi kwa hiyo siku baba akija kumuona mtoto lazima akumbushie hiyo ni historia mzee.
Namshauri kaka yako aowe mwanamke fresh ambae hajazaa vinginevyo anajitaftia matatizo ya moyo pia kupata magonjwa ya ukimwi n.k

Pia nahisi ni mjinga Fulani mimi siwezi ruhusu hali kama hiyo wala siwezi oa mwanamke alieyezaa na mwanaume mwingine kwani hawaachani so anachofanya kaka yako huo ni ujinga.
Mwambie atafute mke wake aachane na mke wa watu.
 
Ni mjinga mbele ya mwanamke ila kiujumla ana uelewa mzuri kimaisha na kielimu ana bachelor na ni mwajiriwa wa serikali.
 
Aache ujinga wa kufikiri ni maamuzi tu amwache tofauti kifo chaja kwani atujifunzi tu maisha ya leo jambo linamtokea rafiki ako na ww unaingia mkumbo huohuo,inamaana uyo jamaa hajawai sikia au ona au ndio anataka kutuambia mapenzi upofu. Baba wa Mtoto anakula mzigo manzi inakosa maamuzi apige chini maisha yaende au domo zege.
 
Kuoa single maza ni kujitakia balaa, mwambie kaka yako ashikilie roho yake mkononi kwani yajayo yanafurahisha!
 
Aachane nae. Binamu yangu wa kike alikua na tabia kama hizo, mwisho wa siku akaleta ugonjwa nyumbani.
 
Back
Top Bottom