Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Huu ujinga wa co-parenting ni kitu ambacho sitakuja kufanya wala sitataka kuja kukisikia masikioni kwangu......

Kuwa na uhusiano na mwanamke mwenye mtoto ni swala moja ila kuleta habari za kipumbavu za kushirikisha mzazi mwenza kulea mtoto ni mambo ya kifala......

Chagua moja kaishi nae kama mlishindwanda kuishi pamoja pita hivi apite kule......

Tena kama inikute mimi itakuwa vita kabisa.......sitaruhusu huyu jamaa asogee karibu kama anapenda mtoto wake aje amchukue akalee na kama mwanamke hataki then atakuwa akili hana yule ni baba yake unamkatalia mtoto kwann basi peleka kwa wazazi wako sio kuniletea wenge za kifala ati mnalea mtoto huo ni upuuzi ambao sitauelewa hata iwaje....
 
Hapo bro wako bado hajamuoa kwa ndoa ndio maana huyo mwanamke anamletea huyo mwanaume ndani, akitaka aheshimiwe afunge nae ndoa rasmi na atekeleze wajibu wake kama mume, hutasikia huyo baba wa mtoto akijitokeza, ndoa inaheshima yake bwana
Acha ujinga wewe.
 
Kila kitu kipo bayana
Akitaka ushahid aende amwachie maagizo house girl madogo tu...
Ampe laki amwambie amuuzie habari
Beki tatu atampa mtonyo
Usiku ukifika amvideo call ilo goma mda ambao dada amekii hayupo room wakat limelala na njemba
 
Habarini watu wa Mungu

Utangulizi:
Kuna kaka yangu alioa (miaka kama mitano iliyopita) mwanamke aliyezaa na mwanaume tofauti na yeye hawajafunga ndoa na pia hawaishi pamoja kutokana na mambo ya kazi kwa pande zote mbili walishatambulishana kwa wazazi pande zote mbili na mahusiano yao ni ya uwazi na jamii inajua.

Pia mwanamke anaishi na mtoto aliyezaa na mwanaume kabla hajaanza kuishi na kaka na huyo mtoto anasoma darasa la 2 sasa(7yrs) kawaida kaka huenda kwa huyo mke kila ijumaa na kurudi jumapili jioni au jumatatu asubuhi sana na kupitiliza kazini kwake.

Tatizo lilipo
Ni kwamba mpaka leo mwanamke (shemeji) anawasiliana na mzazi wa mtoto wake (akiulizwa husema anawasiliana nae kwa sababu ya mtoto na kutuma matumizi na sio kimapenzi), na mara nyingine huja kumwona mwanae anapopata nafasi na kila anapokuja hamshirikishi kaka na akimuuliza hujibu tu alikuja bila taarifa kumwona mwanae na kwasababu anaishi mikoa ya mbali lazima alale hata siku 2 au 3 na akimuuliza analalaje hapo na ataaminije kuwa hawafanyi mapenzi? shemeji husema analala chumba cha housegirl na yeye analala na h/g.

Nimeandika hivi kwa sababu bro hii wiki hajaenda kwa mke kwa sababu kasikia yupo mzazi mwenzie na mke wake, na anakosaga sana amani, wikiendi yote kaishia kulewa tu mpaka sasa mwanaume bado yupo na kaka akitaka kuongea na mwanamke hana shida anaongea nae kwa uhuru lakini mi naona ni maigizo.

Kaniomba jana ushauri na anampenda kweli, nimeshindwa kutoa jibu ila nimemwambia amwambie mwanamke ampeleke mtoto kwa baba yake ili hiyo shida iishe kasema alishamwambia lakini shemeji anadai mtoto wake hawezi kuishi kwa mama wa kambo na kaka mpaka sasa hajazaa nae.

Naombeni pia mawazo yenu, hali ya kaka sio nzuri kwa sasa

(Hanaga mpango na mitandao ya kijamii zaidi ya whatsapp so naamini hawezi kuona huu uzi).
Mjinga huyo bro wako, atakuwa na akili za kipinzani
 
Bro wako akapimwe akili milembe na wewe uende ukapimwe akili.
 
Waweza kukuta huyo kaka Yako na yeye ana degree".. then mtaani ana tembea kifua mbele na kujiita Msomi "..

Daahh nikiwa na mtoto kama huyo bora ni badilidhane na mahindi nichome nile nishibe
 
Back
Top Bottom