Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na we ebu Rudi kule kwenye uzi wako wa mganga utupe mrejesho[emoji1]
Wee naye ni walewale.Asiruhusu huyo mwanaume kulala nyumbani kwake, kama anakuja kumsalimia mtoto afikie guest akamchukue mwanae akiondoka anamrudisha mtoto.
Acha ujinga wewe.Hapo bro wako bado hajamuoa kwa ndoa ndio maana huyo mwanamke anamletea huyo mwanaume ndani, akitaka aheshimiwe afunge nae ndoa rasmi na atekeleze wajibu wake kama mume, hutasikia huyo baba wa mtoto akijitokeza, ndoa inaheshima yake bwana
mbe mwanaharamu aendelee kufanya sleepover kwakwe
33Kaka yako ana miaka mingapi?
Mjinga huyo bro wako, atakuwa na akili za kipinzaniHabarini watu wa Mungu
Utangulizi:
Kuna kaka yangu alioa (miaka kama mitano iliyopita) mwanamke aliyezaa na mwanaume tofauti na yeye hawajafunga ndoa na pia hawaishi pamoja kutokana na mambo ya kazi kwa pande zote mbili walishatambulishana kwa wazazi pande zote mbili na mahusiano yao ni ya uwazi na jamii inajua.
Pia mwanamke anaishi na mtoto aliyezaa na mwanaume kabla hajaanza kuishi na kaka na huyo mtoto anasoma darasa la 2 sasa(7yrs) kawaida kaka huenda kwa huyo mke kila ijumaa na kurudi jumapili jioni au jumatatu asubuhi sana na kupitiliza kazini kwake.
Tatizo lilipo
Ni kwamba mpaka leo mwanamke (shemeji) anawasiliana na mzazi wa mtoto wake (akiulizwa husema anawasiliana nae kwa sababu ya mtoto na kutuma matumizi na sio kimapenzi), na mara nyingine huja kumwona mwanae anapopata nafasi na kila anapokuja hamshirikishi kaka na akimuuliza hujibu tu alikuja bila taarifa kumwona mwanae na kwasababu anaishi mikoa ya mbali lazima alale hata siku 2 au 3 na akimuuliza analalaje hapo na ataaminije kuwa hawafanyi mapenzi? shemeji husema analala chumba cha housegirl na yeye analala na h/g.
Nimeandika hivi kwa sababu bro hii wiki hajaenda kwa mke kwa sababu kasikia yupo mzazi mwenzie na mke wake, na anakosaga sana amani, wikiendi yote kaishia kulewa tu mpaka sasa mwanaume bado yupo na kaka akitaka kuongea na mwanamke hana shida anaongea nae kwa uhuru lakini mi naona ni maigizo.
Kaniomba jana ushauri na anampenda kweli, nimeshindwa kutoa jibu ila nimemwambia amwambie mwanamke ampeleke mtoto kwa baba yake ili hiyo shida iishe kasema alishamwambia lakini shemeji anadai mtoto wake hawezi kuishi kwa mama wa kambo na kaka mpaka sasa hajazaa nae.
Naombeni pia mawazo yenu, hali ya kaka sio nzuri kwa sasa
(Hanaga mpango na mitandao ya kijamii zaidi ya whatsapp so naamini hawezi kuona huu uzi).
Wewe umeoa?Mjinga huyo bro wako, atakuwa na akili za kipinzani
Kama umeoa mwanamke mwenye sifa nzuri shukuru Mungu, pia kama bado usikujeli sana. Huwezi kujua kwa nini mwanamke anajiamini kiasi hichoWewe umeoa?