ndiyo lazima ujue sababu ya kuachana basi..
Tangaza kanuni za mahusiano mapema kabisaaa..............
1.kubaliana nae kuhusu malezi ya mtoto,ataishi wapi,nani anasomesha na kulea kwamaana ya matumizi ya kila siku
2.kubaliana nae kuhusu mawasiliano yake na huyo baba mzazi..kama mama mzazi wa binti yupo ni vyema huyo bwana apitie kwa bibi kuwasiliana na huyo.Kamwe ni kosa na dhambi isiosameheka kuwasiliana wao moja kwa moja(this may sound weird ila hali inalazimisha iwe hivi ili upate amani ya moyo).
3.Kubaliana na huyo binti juu ya zipi ni hatua utachukua ukigundua violation of your agreement.
mueleze waz kua sio kwamba you're insecure,ila unataka kuchora mpaka wa boma lako maana wewe ndi mmiliki sasa na una jukumu la kulipa heshima boma hilo na ni yeye,akiamua, anaeweza kuvunja heshima hiyo.
After that,kama akikubali,you're good to go.mpe mahaba yote na usimkumbushe upumbav aliofanya kabla hujakutana nae(hii mwanamke akinifanyia twaweza achana on the spot!)