Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

ndiyo lazima ujue sababu ya kuachana basi..

Tangaza kanuni za mahusiano mapema kabisaaa..............
1.kubaliana nae kuhusu malezi ya mtoto,ataishi wapi,nani anasomesha na kulea kwamaana ya matumizi ya kila siku
2.kubaliana nae kuhusu mawasiliano yake na huyo baba mzazi..kama mama mzazi wa binti yupo ni vyema huyo bwana apitie kwa bibi kuwasiliana na huyo.Kamwe ni kosa na dhambi isiosameheka kuwasiliana wao moja kwa moja(this may sound weird ila hali inalazimisha iwe hivi ili upate amani ya moyo).
3.Kubaliana na huyo binti juu ya zipi ni hatua utachukua ukigundua violation of your agreement.
mueleze waz kua sio kwamba you're insecure,ila unataka kuchora mpaka wa boma lako maana wewe ndi mmiliki sasa na una jukumu la kulipa heshima boma hilo na ni yeye,akiamua, anaeweza kuvunja heshima hiyo.
After that,kama akikubali,you're good to go.mpe mahaba yote na usimkumbushe upumbav aliofanya kabla hujakutana nae(hii mwanamke akinifanyia twaweza achana on the spot!)
 
mkuu endelea kusaka utabahatika....ila siku hizi single mother mtaani ni wengi sana tena ni wasichana wadogo sijui wanachokimbilia nini hadi wanajazwa na kujazika kisha kuachwa kwenye mataa na uzee kuwapigia hodi
 
Tangaza kanuni za mahusiano mapema kabisaaa..............
1.kubaliana nae kuhusu malezi ya mtoto,ataishi wapi,nani anasomesha na kulea kwamaana ya matumizi ya kila siku
2.kubaliana nae kuhusu mawasiliano yake na huyo baba mzazi..kama mama mzazi wa binti yupo ni vyema huyo bwana apitie kwa bibi kuwasiliana na huyo.Kamwe ni kosa na dhambi isiosameheka kuwasiliana wao moja kwa moja(this may sound weird ila hali inalazimisha iwe hivi ili upate amani ya moyo).
3.Kubaliana na huyo binti juu ya zipi ni hatua utachukua ukigundua violation of your agreement.
mueleze waz kua sio kwamba you're insecure,ila unataka kuchora mpaka wa boma lako maana wewe ndi mmiliki sasa na una jukumu la kulipa heshima boma hilo na ni yeye,akiamua, anaeweza kuvunja heshima hiyo.
After that,kama akikubali,you're good to go.mpe mahaba yote na usimkumbushe upumbav aliofanya kabla hujakutana nae(hii mwanamke akinifanyia twaweza achana on the spot!)
Well said

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bahati mbaya wazazi wenzao wakigundua wameshaolewa ndio usumbufu WA malezi ya mtoto unaanza.

Na usumbufu ukizidi kwa wanawake unaishiaga kuwa urafiki. Tena usiombe Huyo jamaa akawa kapitiwa na hela.
Ataanza kufikiria namna wewe unavyopanga bajeti ngumu kwa mwanae nk.

Mwisho atampa jamaa na ataendelea kumpa na kuendelea kuongeza watoto uendelee kulea.
Wanawake, msidhani tunawasingizia!! Tunayaona na yanatutokea maishani.
Wanawake tuliozaa nao Kama ulishamridhisha huko nyuma na jamaa aliyenaye hajiwezi atakutafuta tu.
Ndugu zetu wengi ni single Maza lakini kuliko mtu ambaye hataweza kuvumilia shida ni bora mpambane na hali zenu.!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukioa Single mother kuna wakati atahitaji umpe nafasi ya kukutana na mzazi mwenzie(mume mwenzio) atakwambia agenda ni kujadili maswala yanayohusu maendeleo ya huyo mtoto uliyemkuta naye.so usije ukaanza kujaa upepo.maamuzi sahihi ni sasa.

Halafu pia kuna wakati utakuwa unalinganishwa na mume mwenzio kwa baadhi ya mambo kwa mfano ...."naona nawewe umeanza kuniboa kama kama ya baba Zulfa".
 
kabisa kabisa mkuu
 
japokuwa baba zulfa tumeachana lakini hakuwa bahili kama wewe
 
Naona unavyowapgia debe DA Rahabu Ila nyie wanawake nyie mnahangaika afu hamridhiki yn mko km fisi sichelei kusema hvyo nambie kwa nn.? Nkujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio nawapigia debe mie pia Nilikua mhanga nashukuru nilipata Mume alienitambua kua ni mamaambae nilishazaatiari na kunipenda jinsi nilivyo na maisha ya naenda sijawahi waza wala kufikiria kurudia nyuma wala kukumbushia mwaka wa 9 sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Single Mother plus future Expectation kwa mahusiano mapya plus ulinganifu na mahusiano ya nyuma na mahusiano mapya, Mwisho huwa nikuishi kwa historia.. Can not talk Much on this... Expectaions za kuziba magap ya aliyepita ndiyo kikwazo kikubwa mno
 
Hivi mtu mwenye mtoto lakini hajaolewa kumwita single mother ni sahihi kweli? Kwa nini asiitwe single parent?
 
mmmhhhhhh...sie kina singe mother mbona tutapambana na hali zetu,ndoa tutazisikilizia kwenye nyimbo za kina will paul na alaine, acha tu nilee katoto kangu na nimuombee aje kuwa mwanaume mwenye maadili asije katika maisha yake akamsababishia mwanamke usingle mother!
Kwa nini uliachwa na huyo mzazi mwenzako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mdada niliwahi kumpenda sana ila akawa anazingua..nilijaribu sana kumfatilia lakini ilishindikana nikampotezea...baada ya miaka kadhaa akawa amepata mtoto bila kuoleka..sasa ndio ananijia eti nimuoe manake ameteseka sana katika kumlea mwanae..japo namuonea imani sana,nafsi yangu haiwezi kuniruhusu kabisa..amenyane tu na hali yake mimi nina mke ndani..
Hapo ndo utagundua wanawake wa dizaini hii tabia zao chafu,huwa ni selective sana huku wakitanguliza tamaa mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom