HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,487
- 6,250
Kila siku single mother single mother. Inabidi wapewe break kidogoYaan sijui ata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila siku single mother single mother. Inabidi wapewe break kidogoYaan sijui ata
Mambo.Usipooa ww wengine wataoa
Pouwa..kwaiyo ndo una bando tu eehMambo.
Akili za kuambiwa changanya na zako.Asante kwa ukumbusho maana nilikuwa naelekea huko.
Kwanza nianze kwa kusema siko biased kwa binadam yeyote na wote wapasa kupewa fursa sawa ila kwa suala hili aise never date or marry single mothers. NO EXCEPTIONS. Sijawah kudate na wala sitakuja.
1. Kwanza tu tayar ni used out, you deserve better.
2. Wamepitia maumivu sana na mamekua sugu, mda wowote yupo tayari kuvunja uhusiano.
3. Wanachuki dhidi ya wanaume waliowazalisha na kuwa dump. Subconciously wanachukia wanaume wote.
4. Kubali uskubali hawez kua mwaminifu kwako, baba wa mtoto akitaka anakula tena kavu.
5. Atakuumiza tu hebu fikiria karuhusu kuachana na mwanaume tena waliopendanda ujanan vipi kuhus wewe.
mimi nimempenda single mother ana miaka 21 mtoto mzuri wa kimburu nataka kumuoa pia aliachana na mpenzi wake wa zamani sababu alimsaliti na alikua mkorofi sanaa, bado nafanya research zaidi kwake ila nimetokea kumpenda hasaKwanza nianze kwa kusema siko biased kwa binadam yeyote na wote wapasa kupewa fursa sawa ila kwa suala hili aise never date or marry single mothers. NO EXCEPTIONS. Sijawah kudate na wala sitakuja.
1. Kwanza tu tayar ni used out, you deserve better.
2. Wamepitia maumivu sana na mamekua sugu, mda wowote yupo tayari kuvunja uhusiano.
3. Wanachuki dhidi ya wanaume waliowazalisha na kuwa dump. Subconciously wanachukia wanaume wote.
4. Kubali uskubali hawez kua mwaminifu kwako, baba wa mtoto akitaka anakula tena kavu.
5. Atakuumiza tu hebu fikiria karuhusu kuachana na mwanaume tena waliopendanda ujanan vipi kuhus wewe.
Yeah.Pouwa..kwaiyo ndo una bando tu eeh
Mnapowaita hawa watu single mother, kuna watu wenye mother zaidi ya mmoja? Yaani kuna double mother, triple mother etc?
Sasa katika hizo tabia ulizozitaja, ni ipi ambao hawana watoto hawana mkuu? Haya mambo ni tabia ya mtu, kuwa na mtoto sio kigezo.
Tena kwangu iko tofauti sana, mtu mwenye mtoto nampa heshima kubwa hasa waliopata ujauzito bila kuwa kwenye ndoa wakiwa na migogoro au kukataliwa, kumbuka wangekuwa na uamuzi wa kutoa mimba, lakini wameona bora wachukue jukumu la kuwa na mtoto japo sio kitu rahisi kama tunavyofikiria, wengi hutoa mimba sema hakuna kipimo cha kuonyesha ni mimba ngapi.
Wewe kama ni mtakatifu na mkamilifu sana, tafuta wakufanana na wewe.
AhsanteniUmeandika kwa chuki sana,siku yakimkuta dada yako na wewe ndio uwe msaada kwake,nadhani utaelewa maana ya ujinga uliouandika hapa,kwahiyo akiwa hana mtoto/watoto ndio hawezi kutafunwa ukimuoa?kutafunwa ni tabia ya mtu,au uzembe wa mumewe kutokumridhisha mkewe,either kwa wingi wa majukumu yake katika utafutaji,au na msongo wa mawazo kutokana na ugumu wa maisha,au ugonjwa n.k,na je? unayajua mazingira au sababu ya huyo mwanamke kuwa single mama?
mkuu umekurupuka,nina mashaka na umri wako,lkn pia nina mashaka na akili yako...don`t be rude!
Kwanza hawa watu wanajua kila kitu ni kukariri, hawajui maisha hayana formular.Kila siku ni yaleyale