Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Naona hofu inataka kujengwa juu wanawake waogope kuzaa Bila ndoa , na hi itapelekeaa mimba nyingi kutolewa
Na itapunguza ufuska na mimba ziszotarajiwa.
Matokeo yake watoto wa mitaani watapungua pia
 
SINGLE MAZA WA TAMU SANA. ILA UBAYA UPATE KILAZA BWANA WEE UTAJUTA, awe muongo awe bado anauhusiano wa karibu na jamaa yake, awe na hurumaa, msiri, dhaaa mada safi sana
 
Atakuwa kaachwa na single mother,
Maana single mother wengi akiona huna dalili za kumuoa lazma akuteme wanahasira na ndoa!
Sasa jamaa anakumbuka ule utamu, Ukweli single mother niwatamu Sana kitandani kuliko hivi vichuchu saa6, " K "zao zinakuwa bado hazijaachia utamu wa kutosha
😀😀😀
 
NIMESOMA KWA UMAKINI NA NIMEGUNDUA KAMA KUNA MADHARA YA MOJA KWA MOJA ULIYOYAPATA KUTONA NA SINGLE MOTHERS.

NA INAONEKANA MADHARA HAYO UMEYAPATA MUDA SI MREFU (HUENDA LEO AU JANA)

UNGEKAA UTULIE KWANZA, UNGEKUJA NA VIEW POINT YENYE STAHA KIDOGO.

KUNAMAHALI UMEGUSA MAONO (HISIA ZAKO) HASA, NA SI MANUFAA YA WOTE KAMA SIKOSEI.

RAI.
MWANAMKE SI RAHISI KUMUELEWA.
LAKINI WANAWAKE, SISI WANAUME TUNAWAPA WAKATI MGUMU SANA. USIWALAUMU.

UKILAANI HAWA SINGLE MOTHERS UNAHALALISHA ABORTION AU DHAMBI KAMA HIYO.

HUENDA KWA BAHATI NZURI AU MBAYA UJAUZITO UMESHIKA. AFANYEJE?

ANAKUWA DILEMA JUU YA MAAMUZI YA AU KUZAA AU KUTOA KIMYA KIMYA.

HAO WANAOTOA KIMYAKIMYA NDIYO HUENDA UNAMAANISHA
KUWA WAPO CARE.

LONG STORY SHORT,
JAMII ZA LEO MAMBO MENGI WANAIGA KWA WASANII, MA- SUPER STAR N.K

DADA ZETU WANAMUONA ZARI ZE BOSS LEDI, GIGY, IRENE, NA WATU KAMA AKINA R.I.P MASOGANGE NK, WAMEKUWA SINGLE MOTHERS,

WANAWEZA KUIGA KAMA WANAVYOIGA MAMBO MENGINE KUTOKA KWA WATU HAO,

KWA KUSEMA MBONA FULANI NI MAARUFU NA NI SINGLE MOM,

UNAJUA WATU WANGAPI WANAMUIGA WEMA (SAUTI) KUONGEA?? LESAON?

ANYWAY, MIMI SIO MJUAJI TUNAJARIBU KUCHANGIA HOJA YAKO NA NAAMINI WAKATI UNAPOSTI HUKUTEGEMEA KUUNGWA MKONO % ZOTE.

KWA TATHIMINI BINAFSI ISYIO NA UTAFITI, 40%- 550% INNTHE WORLD NI SINGLE MOTHERS,

NA KISABABISHI NI SISI (MEN)

BE WARE OF YOUR WORDS,,

UTAZAA WATOTO WA KIKE NA KIUME.

Sincerely, Foolmzuri.
 
Nna umri wa miaka 36. Natafuta single mother aliye na mtoto mmoja tu. Sababu ya kuwa single iwe ni baba mtoto wake kufariki ama alizalishwa bahati mbaya na mme wa mtu. Sifa zake
1.Age 20-28yrs.
2. Maji ya kunde ama mweupe.
3.Awe na elimu at least ya form four.
4.Awe na mawazo ya kufanya biashara.
5.Awe tayari kuishi Mwanza
6.Kabila lolote
7.Dini yeyote ila mimi ni mkisto na sipo tayari kubadili dini yangu
8.Asiwe mnene wala mwembamba sana. Awe na shape kiasi kwamba nkiwa nae nsiogope kumtambulisha kwa friend na ndugu.
9. Asiwe mtu wa kuendekeza starehe kupita kipato.

Mimi nafanya kazi inayonipatia kipato cha kulisha familia, naweza kusomesha n. k.

Sijaoa na wala sijabahatika kuwa na mtoto.

Swala la kupima HIV kwangu ni la msingi endapo atatokea ambaye tume match.
 
Nna umri wa miaka 36. Natafuta single mother aliye na mtoto mmoja tu. Sababu ya kuwa single iwe ni baba mtoto wake kufariki ama alizalishwa bahati mbaya na mme wa mtu. Sifa zake
1.Age 20-28yrs.
2. Maji ya kunde ama mweupe.
3.Awe na elimu at least ya form four.
4.Awe na mawazo ya kufanya biashara.
5.Awe tayari kuishi Mwanza
6.Kabila lolote
7.Dini yeyote ila mimi ni mkisto na sipo tayari kubadili dini yangu
8.Asiwe mnene wala mwembamba sana. Awe na shape kiasi kwamba nkiwa nae nsiogope kumtambulisha kwa friend na ndugu.
9. Asiwe mtu wa kuendekeza starehe kupita kipato.

Mimi nafanya kazi inayonipatia kipato cha kulisha familia, naweza kusomesha n. k.

Sijaoa na wala sijabahatika kuwa na mtoto.

Swala la kupima HIV kwangu ni la msingi endapo atatokea ambaye tume match.
Kila La kheri mkuu
Hakika
Vigezo vyako vimeshiba.
 
Wanaume wa mwanza tumekiwashaaaaa [emoji3][emoji3] kila kheri mkuu ktk safari yako ila utawapata wengi tu single maza wamejaa hatari
 
Namba 8 ngumu jaman, Mie nina mtoto ila baba yake alimkataa akaniambia zawadi yangu. Ila nawaza kukwambia baba yake alikufa
Pole sana ila mwambie ukweli tu. Na pia baba mtoto amsamehe bure tu na usihuzunike amekupa zawadi bora kabisa
 
Hao ni wazazi asee... Kwaufupi huyo Dem wa kaka yako bado anagongwa na ataendelea kugongwa.

Ayo ya sijui kuongea naye..ukweli nikua ,dem keshamwambia jamaa kua tayar anamtu.

So jamaa anajilia kwa gharama ya demu mwenyewe.


Kweli wanaume tumebaki wachache
 
Ila sema, hawa walozaa, aiseee yataka moyo sana !!

Maana wanakiungo kinachowaleta pamoja.


Tena wakiwa bado kwa miaka 25---45 ivi bado bado watakulana tu
 
Kimsingi unapooa nwanamke mwenye mtoto lazima ukubali kubeba matumizi yote ya yule mtoto, lakini ukijifanya mwambie babake atume ada nwambie atume pesa ya sikukuu lazima ugongewe akitaka kumuona mwanae ni likizo unampleka kwa bibi babake atamfata kwa bibi akakae nae siku atakazo,hamu ikimuisha anamrudisha kwa bibi
 
Habarini watu wa Mungu

Utangulizi:
Kuna kaka yangu alioa (miaka kama mitano iliyopita) mwanamke aliyezaa na mwanaume tofauti na yeye hawajafunga ndoa na pia hawaishi pamoja kutokana na mambo ya kazi kwa pande zote mbili walishatambulishana kwa wazazi pande zote mbili na mahusiano yao ni ya uwazi na jamii inajua.

Pia mwanamke anaishi na mtoto aliyezaa na mwanaume kabla hajaanza kuishi na kaka na huyo mtoto anasoma darasa la 2 sasa(7yrs) kawaida kaka huenda kwa huyo mke kila ijumaa na kurudi jumapili jioni au jumatatu asubuhi sana na kupitiliza kazini kwake.

Tatizo lilipo
Ni kwamba mpaka leo mwanamke (shemeji) anawasiliana na mzazi wa mtoto wake (akiulizwa husema anawasiliana nae kwa sababu ya mtoto na kutuma matumizi na sio kimapenzi), na mara nyingine huja kumwona mwanae anapopata nafasi na kila anapokuja hamshirikishi kaka na akimuuliza hujibu tu alikuja bila taarifa kumwona mwanae na kwasababu anaishi mikoa ya mbali lazima alale hata siku 2 au 3 na akimuuliza analalaje hapo na ataaminije kuwa hawafanyi mapenzi? shemeji husema analala chumba cha housegirl na yeye analala na h/g.

Nimeandika hivi kwa sababu bro hii wiki hajaenda kwa mke kwa sababu kasikia yupo mzazi mwenzie na mke wake, na anakosaga sana amani, wikiendi yote kaishia kulewa tu mpaka sasa mwanaume bado yupo na kaka akitaka kuongea na mwanamke hana shida anaongea nae kwa uhuru lakini mi naona ni maigizo.

Kaniomba jana ushauri na anampenda kweli, nimeshindwa kutoa jibu ila nimemwambia amwambie mwanamke ampeleke mtoto kwa baba yake ili hiyo shida iishe kasema alishamwambia lakini shemeji anadai mtoto wake hawezi kuishi kwa mama wa kambo na kaka mpaka sasa hajazaa nae.

Naombeni pia mawazo yenu, hali ya kaka sio nzuri kwa sasa

(Hanaga mpango na mitandao ya kijamii zaidi ya whatsapp so naamini hawezi kuona huu uzi).
Duuh yani kabla mechi haijaanza kuna timu inaongoza moja bila, aisee mi ndo kitu siwezi kwenye maisha yangu kero zake ni pamoja na hiyo bora nibaki bachela
 
Back
Top Bottom