Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na itapunguza ufuska na mimba ziszotarajiwa.Naona hofu inataka kujengwa juu wanawake waogope kuzaa Bila ndoa , na hi itapelekeaa mimba nyingi kutolewa
😀😀😀Atakuwa kaachwa na single mother,
Maana single mother wengi akiona huna dalili za kumuoa lazma akuteme wanahasira na ndoa!
Sasa jamaa anakumbuka ule utamu, Ukweli single mother niwatamu Sana kitandani kuliko hivi vichuchu saa6, " K "zao zinakuwa bado hazijaachia utamu wa kutosha
Kila La kheri mkuuNna umri wa miaka 36. Natafuta single mother aliye na mtoto mmoja tu. Sababu ya kuwa single iwe ni baba mtoto wake kufariki ama alizalishwa bahati mbaya na mme wa mtu. Sifa zake
1.Age 20-28yrs.
2. Maji ya kunde ama mweupe.
3.Awe na elimu at least ya form four.
4.Awe na mawazo ya kufanya biashara.
5.Awe tayari kuishi Mwanza
6.Kabila lolote
7.Dini yeyote ila mimi ni mkisto na sipo tayari kubadili dini yangu
8.Asiwe mnene wala mwembamba sana. Awe na shape kiasi kwamba nkiwa nae nsiogope kumtambulisha kwa friend na ndugu.
9. Asiwe mtu wa kuendekeza starehe kupita kipato.
Mimi nafanya kazi inayonipatia kipato cha kulisha familia, naweza kusomesha n. k.
Sijaoa na wala sijabahatika kuwa na mtoto.
Swala la kupima HIV kwangu ni la msingi endapo atatokea ambaye tume match.
Ha ha ha haSababu ya kuwa single iwe ni baba mtoto wake kufariki ama alizalishwa bahati mbaya na mme wa mtu
Pole sana ila mwambie ukweli tu. Na pia baba mtoto amsamehe bure tu na usihuzunike amekupa zawadi bora kabisaNamba 8 ngumu jaman, Mie nina mtoto ila baba yake alimkataa akaniambia zawadi yangu. Ila nawaza kukwambia baba yake alikufa
Duuh yani kabla mechi haijaanza kuna timu inaongoza moja bila, aisee mi ndo kitu siwezi kwenye maisha yangu kero zake ni pamoja na hiyo bora nibaki bachelaHabarini watu wa Mungu
Utangulizi:
Kuna kaka yangu alioa (miaka kama mitano iliyopita) mwanamke aliyezaa na mwanaume tofauti na yeye hawajafunga ndoa na pia hawaishi pamoja kutokana na mambo ya kazi kwa pande zote mbili walishatambulishana kwa wazazi pande zote mbili na mahusiano yao ni ya uwazi na jamii inajua.
Pia mwanamke anaishi na mtoto aliyezaa na mwanaume kabla hajaanza kuishi na kaka na huyo mtoto anasoma darasa la 2 sasa(7yrs) kawaida kaka huenda kwa huyo mke kila ijumaa na kurudi jumapili jioni au jumatatu asubuhi sana na kupitiliza kazini kwake.
Tatizo lilipo
Ni kwamba mpaka leo mwanamke (shemeji) anawasiliana na mzazi wa mtoto wake (akiulizwa husema anawasiliana nae kwa sababu ya mtoto na kutuma matumizi na sio kimapenzi), na mara nyingine huja kumwona mwanae anapopata nafasi na kila anapokuja hamshirikishi kaka na akimuuliza hujibu tu alikuja bila taarifa kumwona mwanae na kwasababu anaishi mikoa ya mbali lazima alale hata siku 2 au 3 na akimuuliza analalaje hapo na ataaminije kuwa hawafanyi mapenzi? shemeji husema analala chumba cha housegirl na yeye analala na h/g.
Nimeandika hivi kwa sababu bro hii wiki hajaenda kwa mke kwa sababu kasikia yupo mzazi mwenzie na mke wake, na anakosaga sana amani, wikiendi yote kaishia kulewa tu mpaka sasa mwanaume bado yupo na kaka akitaka kuongea na mwanamke hana shida anaongea nae kwa uhuru lakini mi naona ni maigizo.
Kaniomba jana ushauri na anampenda kweli, nimeshindwa kutoa jibu ila nimemwambia amwambie mwanamke ampeleke mtoto kwa baba yake ili hiyo shida iishe kasema alishamwambia lakini shemeji anadai mtoto wake hawezi kuishi kwa mama wa kambo na kaka mpaka sasa hajazaa nae.
Naombeni pia mawazo yenu, hali ya kaka sio nzuri kwa sasa
(Hanaga mpango na mitandao ya kijamii zaidi ya whatsapp so naamini hawezi kuona huu uzi).