Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mtazamo wangu kwenye hili swala ni kama ifuatavyo.Mahusiano yoyote yanawezeshwa/yanafanikishwa na mawasiliano.Hawa 'single mothers wamekua wakiendeleza mawasiliano na wapenzi wao wa zamani wakidai wanawasiliana kwasababu ya mtoto.Hapo ndipo changamoto ilipo.

Tofauti ya 'single mother' na mdada asiye na usichana wake au aliyetoa ujauzito ni mtoto.Hivyo kama mtu anaogopa/hataki kuoa 'single mother' kutokana na sababu nyingine yoyote tofauti na mtoto(==》mawasliano na mpenzi wa zamani);basi inabidi atumie sababu hizohizo kukaa mbali na asiye na bikira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shida ni mawasiliano na baba wa mtoto tu mengine hayana sababu maana mwanaume alikutelekeza na mtoto ukapata mwanaume mwingine anakulea wewe na mtoto then yule wa zamani unamuona bora tena. Hili ndilo linakera wanaume

Wenye "bikira" wapo?
Hao hao wanao waponda masingo maza ndio waharibifu wakubwa wa mashimo madogo (watoto wa shule), na ndio wenye tamaa na shimo "jirani".
 
Still there is a difference,Bond ya mtoto Ni kubwa Sana Sana Sana na inahusisha wahusika waliomzaa mtoto Pamoja na ndugu wa pande zote mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu.

Nasema hivi. Mwanaume yeyote rijali hawezi kuoa mwanamke single mother. Ninaposema single mother namaanisha wewe mwanamke uliyezaa kabla ya kuolewa.

Na ninaposema rijali namaanisha mwanaume mwenye akili sawa sawa au bara bara anayefikiri kwa usahihi asiyeendeshwa na mihemko bali hutumia akili yake kutafakari mambo. Hii ina maana mwanaume chizi au mwenye ugonjwa wa akili sio rijali. Ili uwe rijali ni lazima uwe na akili timilifu. Ushahidi ni kwamba mwanaume hanithi anapungukiwa pia akili. (Sitaki kulizungumzia hili) na ukishapungukiwa akili wewe sio rijali.

Ukweli ni kwamba mama zetu ( sisi wanaume) wanafurahi zaidi kama utampa taarifa kuwa unamuowa bint ambaye hajawahi kuzaa. Achilia mbali bikra ambayo hata hivyo wanatamani uwaambie unamuowa bikra. Ni heri uwaambie unamuowa bint uliyezaa naye wewe mwenyewe mtoto wake wa kwanza kuliko kuwaambia wamama eti....eti...unamuowa Lilian single mother!!! Nyoyo husononeka ingawa hawawezi kusema wazi wazi. Utasikia tu mama akisema "Kama umempenda na mnapendana sawa" Tafakari sana haya maneno kijana unayetaka kumuowa single mother.

Ni uzembe wa hali juu sana kuzaa kabla ya ndoa. Ni mwanamke ndiye unayeamua ushike mimba au usishike. Sisi wanaume huwa tunatandika tu.....sasa kama you don't take care about yourself....who else will? Halafu unamlaumu mwanaume kakutia mimba na hajakuowa.

Asikulaghai kwa maneno matamu yoyote yale eti beba mimba kabla hajakuowa. Usikubali. Na mwisho wa siku uamuzi unao wewe wa kubeba mimba au lah. Sasa mnakwama wapi? Be smart.

"Asiponioa ntalea mwenyewe!" Huo ni uzembe.....tunajua mna vipato vyenu....mna pesa zenu, mnayamudu maisha....mnaweza kulea watoto wenu. Nikuulize, hivi kuna raha gani kulea mtoto peke yako? Mnapojitosheleza kiuchumi na kijamii (kutokuwa single mother), machaguo yanaongezeka. Hamuoni? Basi someni. Baadaye mnasema kuolewa bahati. Kuolewa sio bahati. Kuolewa mna haki wala msiite bahati....we unadhani wanangu mi ntalea na nani? R.I.P Ngwea

Jamaa akuzalishe huko halafu mi nije nikuoe? Acheni masihara nyie. Mi hakuna niliyemzalisha bila ndoa nikampiga chini sina sababu ya kuowa single mother.

Na wewe single mother uliyekaa chini ukaona ulikosea wapi na sasa umekuwa RAIA mwema, good luck. Ukimpata anayeeleweka mwambie akuoe. Kijana haukatazwi kuoa single mother. Ukimpata oa......yajayo ni yako.

Hakuna mwanaume RIJALI anayeweza kuowa single mother, kwa sababu za kimaadili. Period.

Meraki[/QUOTEfuata njia yako broo ya mwingine muachie mhusika
 
shida ni mawasiliano na baba wa mtoto tu mengine hayana sababu maana mwanaume alikutelekeza na mtoto ukapata mwanaume mwingine anakulea wewe na mtoto then yule wa zamani unamuona bora tena. Hili ndilo linakera wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
You have nailed it!!!!! Nipe number yako ya m pesa nikutumie 20k ya mwaka mpya,yaani hapo wanaume wawili tunakuwa tumeoa mwanamke mmoja halafu yule aliyemzalisha mara ya Kwanza ndo anakuwa Ana credit anakula bure tuuu,ndo maana mwanaume rijali mwenye akili timamu hawezi kuoa single mother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo foolish,Biblia na Quran zinaelekeza kila mwanaume aoe mwanamke bikra,Sasa sijui wewe unamuongelea Mungu yupi

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe unaongelea Biblia na Quran ipi?

Boya we.

Quran haijawahi kuelekeza tofauti na Mitume waliotumwa kutukomboa kwa kutuelekeza njia yenye Nur!

Mtume Muhammad (S.A.W) alimkuta Khadija(R.A.A) akiwa bikra?

Ulitaka attention kupitia thread yako, and it just shows how dumb you are.
 
Wenye "bikira" wapo?
Hao hao wanao waponda masingo maza ndio waharibifu wakubwa wa mashimo madogo (watoto wa shule), na ndio wenye tamaa na shimo "jirani".
Wapoooo!!! February naenda kumuoa mtoto Amanda bikra Ana miaka 19, pembeni nishatia mimba na kuzalisha single mother watatu, wanaume hoyeeeeee!!!!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaongelea Biblia na Quran ipi?

Boya we.

Quran haijawahi kuelekeza tofauti na Mitume waliotumwa kutukomboa kwa kutuelekeza njia yenye Nur!

Mtume Muhammad (S.A.W) alimkuta Khadija(R.A.A) akiwa bikra?

Ulitaka attention kupitia thread yako, and it just shows how dumb you are.
Usiniletee habari za huyo mpumbavu aliyeoa binti wa miaka 12, Foolish,Stupid woman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sijali,ilimradi single mother awe mzuri,Hata kama ana watoto watatu,
 
Ila single mother aisee wana changamoto sana. Mimi nilipotezewa kwa muda mrefu alikuwa hana hata habari na mimi. Nikaona its OK kwa sababu maisha ni yake na maamuzi ni yake. Baada ya miaka kupita nikakutana naye tena. Nipo cool tu na kila mtu na wala sina chuki, akaniletea tena mazoea na hatimaye akanitongoza na kuniambia ananipenda kwa dhati.

Kidume nikaona huyu binti aje mbona imekuwa kwa ghafla hivyo. Baadae kuja kugundua kumbe tayari ameshazalishwa na mshikaji ambaye alimfanya hawezi kunifikiria mimi. Nikajifikiria nikasema huyu binti ananifanya Mimi ni mjinga(?)

Akatoa samahani nyingi na machozi ya hapa na pale na ahadi lukuki kwamba atakuwa muaminifu kwangu. Nikaona siyo mbaya nitabeba majukumu. Kwa ghafla jamaa aliyemzalisha akasema anataka arudi wayamalize kwa wazazi, naye anataka kumlea na kumuona mtoto wake. Drama zikaendelea mwisho wa siku nami nikawa miongoni mwa hiyo drama yao. Baadaye hizo issue na jamaa yake mara Maza wa jamaa aliyemzalisha anapiga simu kuhusu mjukuu wake. Nikaona daaaamn! Jamaa mara anamsumbua binti anampigia pigia simu anatumia kigezo mtoto wake. Mara mama wa huyo mshikaji anataka kumuona mjukuu.

Nikamwambia mama lengo langu na ahadi zangu zilikuwa na nia njema lakini hii hali kadri inavyozidi kwenda inaniumiza sana. Hii drama nayo inaonekana ni endelevu na moyo wangu sidhani kama utakuwa na uwezo wa kuvumulia hiyo mikiki. Nikamwambia tuachane. Alining'ang'ania sana, binafsi nikamwambia siwezi.

Tangu niachane naye mpaka sasa hivi yapata ni miezi 7. Nilimpenda lakini hiyo mikiki yake kiukweli hapana. Ila yeye mpaka sasa hivi ananipigia simu na kunitumia msg. Sijibu chochote katika hivyo na wala sijam' block.
Kama ww umeweza kumsamehe yeye ni nani asiwez kumsamehe alie mzalisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom