Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wewe unaelalamika
0e702fdff6e6bbfee80b717ac6cd12f6.jpg


Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Kwa uzoefu wangu mwanamke wa kuoa au wa kuwa naye mahusiano ni 'Single Mother' ukionesha tu kumjali na mwanaye baaasi anakupa penzi lote. Anajua uchungu wa mpenzi na umuhimu wa mwanaume, hachezi kamwe. Tatizo LA wanaume ni kumpenda Mama na sio mtoto, hapo utajitesa bure, anza kumjali na kumthamini mtoto hata kama mama alikuwa hakupendi, atakupenda tuuuuu. , single mothers are golden ladies
.
0e702fdff6e6bbfee80b717ac6cd12f6.jpg


Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Iyo ya mtoto wangu inaboa sana unakuta mtu toto kubwa miaka 9 bado ma analilea kila kitu mwanangu mara ooooh mwanangu sio siri single mother wanaboa sana
Aisee kudate single mother inahitaji uwe na roho ya chuma kweli kweli.

Wamejaa lawama, gubu za kiwango cha juu, hawana Jema kabisa. Kila kitu mtoto wangu mtoto wangu. And always hawana shukrani. [emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa single maza wanavotaka tuwape kipaumbele watoto waliokataliwa na baba zao yaani wanaona watoto wao kama mtaji fulani wa kuutunza kumbe ni mzigo kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
As long as hakukuficha ulipomtongoza basi ww ndo mwenye makosa maana kama hauna moyo wakumchukulia yule mtoto kama wako usitegemee mamake kukupa nafasi kwake kwa mwanamke mtoto anatangulia afu baba ndo anafuata hata kama ni baba mzazi wa mtoto wake,so kama ukitaka upata nafasi anza kupenda mtoto kwanza pengine kuliko hata yeye huwezi hivyo basi muepuke tu mwanamke wa hivyo maana waliozitoa hizo mimba wapo wengi pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwasemi vibaya single maza ila shida yao kubwa ni pale anapolazimisha kukueleza story za mtoto wake na jamaa yake sometime uwa inakera mbaya zaidi anajikanyaga leo anasema hivi kesho vile.

Ukimwambia utalea mtoto akate mawasiliano hataki anakwambia hawezi mnyima haki mtoto ya kuongea na baba yake... ukimwambia mpeleke kijijini kwa wazee wako baba yake akitaka kuwasiliana awapigie wazee hataki pia☹️☹️☹️
 
Back
Top Bottom