Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba akikosa nyama hula majani! Mchagua jembe sio mkulima!![emoji23][emoji23][emoji23]..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari fire.....Kupo my dear nyie wanaume mmeumbwa na tamaa nikimfumania mpenzi wangu na akamuacha niliyemfumania nae akanifuata na kukiri makosa huko ni kuniumiza na si kuniacha, lakini akinikana na kuniambia sikutaki huna jipya huko ni kuachwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana kasoro ila binafsi na baadhi ya watu kadhaa niliowahi kuwauliza wengi kama hawajawazalisha wao hawapo interested nao, hata mimi pia kama sijamzalisha mimi siwezi kua nae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri sana.Mara nyingi wanawake tuna kitu kimoja ambacho huwa kinatuumizaga sana, wanawake tunaogopa sana kuachwa na hasa kama huku kuachwa kunajirudia. Ninachokiona kwa huyo dada shida yake sio pesa ulizokuwa unampa ila anaogopa maumivu ambayo alishayapata hapo mwanzo ikampelekea akawa single mother! Nashauri kubali mkutane na umueleze taratibu hapo alipo amechanganyikiwa kiakili na sio uchizi kama unavyomuona, moyo wake unaugua hayuko tayari kukukosa kwa namna yoyote ile.
Sent using Jamii Forums mobile app