ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Sema unataka kuolewa yeye ndo akutambulishe kwao na wewe najua unayafuta mtaji sio penzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaoa mke utakaeishi nae wewe. Badala ya kujiuliza kama anakufaa au atamudu changamoto za ndoa, unaanza kujiuliza kama mama atakubali au ndugu zako watakuonaje!
Inawezekana umri umefika but you still lack that maturity thing!
Joanah bhana [emoji16][emoji16][emoji16]Nawewe tafuta mtoto kwa mama mwingine nje kabla hujaoa ili muwe 1-1....yani both team mmescore first half
Bora kuwa single kwa kweliMie bora kuwa single mother kuliko kuwa mke wa pili/mke mwenza
Yani nakaa najua kabisa leo mume wangu hayupo yuko na mke mwenza anampa mambo!
[emoji3][emoji3][emoji3] inaumaMie bora kuwa single mother kuliko kuwa mke wa pili/mke mwenza
Yani nakaa najua kabisa leo mume wangu hayupo yuko na mke mwenza anampa mambo!
Mkuu dunia inapoelekea ilo alipingiki tena kuna vitu wazee wa zamani waliona mbali sana ila miaka 30 ijayo mke mwenza litakuwa jambo la kawaidaMie bora kuwa single mother kuliko kuwa mke wa pili/mke mwenza
Yani nakaa najua kabisa leo mume wangu hayupo yuko na mke mwenza anampa mambo!
Mmmh! Sasa kama hamuutaki uke wenza mbona mkiolewa hamuachi kuwa na michepuko?Mie bora kuwa single mother kuliko kuwa mke wa pili/mke mwenza
Yani nakaa najua kabisa leo mume wangu hayupo yuko na mke mwenza anampa mambo!
@meljons habar za masiku mkuu,Bora kuwa single kwa kweli
Sana yani hata usingizi unakuwa hauji[emoji3][emoji3][emoji3] inauma
Sasa huyo mtoto utazaa na Nani?Mie bora kuwa single mother kuliko kuwa mke wa pili/mke mwenza
Yani nakaa najua kabisa leo mume wangu hayupo yuko na mke mwenza anampa mambo!
Sasa huyo mtoto utazaa na Nani?
Mtoto akiulizia baba unaanza kujiuliza hata Cha kumjibu
Wanaume waoaji wachache Sana!!
Hata huyo single Kuna siku atakuwa mume wa mtu.Point yako sijaipata
Mtoto nitamzaa na nani kwamba hakuna wanaume single wenye uwezo wa kutia mimba?
Uko peke yako kwa huo mchepuko wako?Mie bora kuwa single mother kuliko kuwa mke wa pili/mke mwenza
Yani nakaa najua kabisa leo mume wangu hayupo yuko na mke mwenza anampa mambo!
Wanataka usingle mother na bado wanachepuka na waume za watuMmmh! Sasa kama hamuutaki uke wenza mbona mkiolewa hamuachi kuwa na michepuko?
Hakuna namna itabidi mmfungue mioyo, idadi ya wanaume inazidi kuwa ndogo hvyo wanawake mnazidi kuwa wengi na wote mnahitaji wanaume .... Raha sana kuumbwa mwanaume
Hutaki uke wenza, unataka usingle mother lakini mume wa mtu unamtolea macho[emoji3][emoji3][emoji3].Mie bora kuwa single mother kuliko kuwa mke wa pili/mke mwenza
Yani nakaa najua kabisa leo mume wangu hayupo yuko na mke mwenza anampa mambo!