Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Umenikera mnoo we jamaa umemtusi hadi mke na mkwe wangu
Usifanye hivyo ndugu yangu wacha hayo mawazo

Us
Watu badala ya kuitafakari mada kwa akili wameihishia kutumia hisia kufikiria.
Wanaume wanaotembea na mabinti wa kambo wapo wengi Sana.
Na wengine wanawabaka.
Wengine binti mwenyewe anajipeleka.
Imagine mama alizaa akiwa na 20 Sasa hivi ana 42 na anaishi na bwana wa miaka 45.
Unadhani huyu bwana atashindwa kumtafuna huyo mtoto wa "mkewe"?
Matusi kwa mtoa mada hayabadili uhalisia wa utokeaji wa Jambo hili.

Akili kubwa hizi umefikiri nnje ya box,nakupongeza kwa kugeuza upande wa pili wa shilingi
 
We jamaa bado uko hai, mana kwa matusi ya single mothers humu, hata mn nimehisi kuzimia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hakuna tusi lolote walilotukana humu..

Kuna wale wababa walio telekeza watoto wao wa kike umewaona lakini,kumbe wanawapenda eeh
 
Lete reference ulikotoa hiyo maana..
Reference kiaje na wewe bana.....

Ni kama neno teja...... Mtu akisema teja unadhani ana maanisha mnunuzi wa sukari duka la rejareja au ni mtumiaji wa dawa za kulevya?!

Hili neno single mother limepatia umashuhuri huko marekani katika jamii ya watu weusi ambapo wanawake jamii ya watu weusi huamua kulala na wanaume na kuwategeshea ujauzito ili kujipatia pesa ya kujikimu kupitia child support inayotolewa na baba za watoto.....

Kibongo bongo ndio tabia imeanza miaka hii wanawake kubeba ujauzito bila kushauriana na mwanaume na hatimaye kutaka kulea mtoto wenyewe, au kuzaa kwa makusudi na mume wa mtu kisha kuchemka kuendeleza uhusiano na kuamua kulea wenyewe.......

So mwisho wa siku vijana wa kisasa wameamua kuwapa hilo jina la single mother ambalo kimaana ni mwanamke aliyejitakia kulea mtoto bila baba kwa makusudi.......

Ila kama ni mfiwa tunamwita single parent sababu alikuwa katika misingi ya kulea mtoto (parenting) na bahati mbaya mwenza wake hakufanikiwa kuwapo ili waendelee na malezi......
 
Usifanye hivyo ndugu yangu wacha hayo mawazo

Us

Akili kubwa hizi umefikiri nnje ya box,nakupongeza kwa kugeuza upande wa pili wa shilingi
Mkuu haya Mambo yanatokea Sana mitaani ila nashangaa kwa nini watu wamechafukwa na mada na kutoa matusi ya aina zote.
Ndio unafiki tulionao lakini.
Tunajifanya Kama hatuoni au kukutana na yanayotokea kwenye jamii zetu.
Ndio maana ukiongelea habari za mwanaume kuwa na mke zaidi ya mmoja hata wale waliowekwa unyumba/kuzaa na waume za watu watakukebehi.
Wakati the reality wadada wanaoishi Kama nyumba ndogo Ni wengi kuliko waliofunga ndoa zenye vyeti.
 
Just imagine wewe ni baba ambaye at some point in life ulizalisha binti mmoja hivi, ukakimbia mimba na mtoto, ujana kusikia yule binti kapata baby girl. Ukakataa kulea, akaja kidume mwingine akafika bei kwa yule dada, akamuoa huku akikusaidia malezi ya yule binti yako.

Leo njoo usome hii thread....
Kuna mambo yana athari kubwa sana.
 
Back
Top Bottom