Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Huyo mtoto !zuri anakua na undugu na watoto nitakao zaa na mama yake ila undugu namimi haupo shwaini wewe

Dada wa watoto wako ni ndugu yako. Mtie mimba dada yao uone kama kuna mtoto wako ataendelea kukuita 'baba'.

Utakosa wa kukuzika.

Carry on.

Piece of shi*
 
Hakuna mwili wa binadamu uliopoteza uhai unaachwa bila kuzikwa
 
Nimesoma uzi (comments 221)
Anavyosema mleta ni miongoni mwa Mambo mengi yanayotokea huku mitaani

Kuna kipindi nilikua morogoro kwa maeneo niliyokaa kulikua na binti m1 umri Kama 23 years

nikaja kuskia kutoka kwa wenyeji wangu kua baba ake wa kumzaa alikua anatembea.(analala) Nae baada ya mama yao na huyo binti kufariki

Matukio haya yapo kwenye jamii yetu ila ndo vile tunataka kujitia upofu as if hatuoni
 
Sisi wabongo ni wanafiki wacha tupelekane kinafiki hivihivi,geuza shilingi uone nawenyewe watakavyogeuka..
Kuna watu wakua kama mbogo hapa haohao huenda wanayafanya hayo kwenye majumba yao sasa inaonekana kama natoa siri zao
 
That is foul incest!!
 
Kwahiyo unajustify hayo maovu kwa sababu tu kuna watu wengine wengi wanayafanya?
 
Kama hukuwai kufahamu yakupasa ufahamu sasa kuna watu wamegeuza step daughter wao kama keki ya familia,kazi kwako kuona inafaa au haifai
 
Ofcourse najua sana kuwa wapo watu wanaotembea na step daughters or even blood daughters wao tena siyo wanaume tu hata wanawake wanaotembea na step sons or even blood sons wao wapo nimeshazisikia cases kama hizo lakini mimi siwezi kuusupport huu ujinga hata kama ni dunia nzima wangeufanya

Na vile vile nashangaa kuona mtu mwingine anausupport huu ujinga kwa kisingizio cha kuwa watu wengi wanaufanya kwa mantiki hiyo ni kwamba basi hata ushoga na usagaji nao uonekane ni wa kawaida kwa sababu tu watu wengi wanaufanya si ndiyo?
 
Back
Top Bottom