Dividend
JF-Expert Member
- Jan 15, 2017
- 2,102
- 3,343
Zipo sana au kuna ile baba anaachiwa watoto wake awalee labda kutokana na kuachana na mama yao au mama kufariki, baba anaamua kuoa mke mwingine inakuja kutokea mtoto wa huyu baba anakuja kumla mama yake wa kambo so unakuta baba na mwana wanakula sehemu moja.Kama hukuwai kufahamu yakupasa ufahamu sasa kuna watu wamegeuza step daughter wao kama keki ya familia,kazi kwako kuona inafaa au haifai
Haya mambo yafanyikaga kwa siri sana ila yapo sana ukibahatika kusikia hilo ni moja kati ya hamsini wengi wanayamaliza kimya kimya maana yakijulikana ni aibu kwa familia nzima