Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Hujaelewa mada basi
Wewe Lizarazu unaona mabaya tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Lizarazu unaona mabaya tu.
Sasa kijana ndioa anatakiwa alijue hili.
Mtu akitaka nimfanye kitu kibaya aniite BAHARIA.
Mada nimeielewa vizuri.Hujaelewa mada basi
Poa.Nakazia hapo,mnayumba hasa Kwenye imani.
Kwahiyo hata maandiko yanamruhusu mwanaume kuzaa nje ya ndoa si ndiyo??
Oohh kwahiyo sasa utajuaje kama mwanamke alipata mimba kwa sababu ya kubakwa je kama alipewa mimba na mwanaume ila akatelekezwa?? Si anaamua kukudanganya tu kuwa alibakwa??Mbona suala la wajane nimeema mwishoni? Soma utaliona. Pia maonyo hayatolewi kwa kupima mazuri bali tunaangalia faida vs hasara, kinaachozidi kinaleta maonyo.
Pili kuanza na kuzaa kabla ya ndoa ni kuanza vibaya. Ni conditions mbili tu zinazoweza kueleweka:
1. Mume kufariki
2. Kubakwa na kupata mimba
Sasa suala la mume kufariki ngoja basi niliandikie baadaye maana wengi hawasomi nilichoandika mwishoni. Nawaheshimu sana wajane na Mwenyezi Mungu awape faraja.
Kwa suala la kubakwa ni ukatili mkubwa sana sawa na kuua. Nalo nitaliunganisha baadaye kidogo.
Unachofanya ni kulazimisha lawama ziende upande mmoja kwa kosa lililofanywa na pande mbili na ndicho watu wanachopinga hapa hivyo haujaongea ukweli umeongea kihisia tuMkuu, mbona tunao ndugu, jamaa na marafiko wanaotuzunguka? Nawashangaa wanaonikasirikia utadhani mimi nimetoka EDENI kuumbwa, yaani sina ndugu wa kike. Nachofanya ni kuongea mambo magumu ambayo jamii inayakwepa kwa kutafuta visingizio.
OMG, me wanting to know you?? Between me and you who wants to know the other?? Even most of your comments show that you are into people's real lives!
Mkuu hili la bikra limekaa vipi!?Yaani wewe dada unamatatizo makubwa sana. Mada inazungumzia wanawake wasio na bikra wewe unaulizia upuuzi upuuzi wako.
Kama unataka kuelezea habari za wanaume waliofanya uhuni kwa kuzaa nje ya ndoa si uweke watu wajadili
Lakini kwa ujinga wako unauliza maswali ya kipuuzi puuzi yaliyonje ya mada. Yangekuwa maswali ya maana kama yangehusiana na Mada husika.
Akili yako ilivyo ndogo hujui hata maana ya bikra. Jambo ambalo hata mtoto mdogo wa miaka kumi tuu anajua.
Ati mwanaume naye ni bikra. Yaani kuna watu wanatia kinyaa jamani.
Kwahiyo wanaume wasilaumiwe kwa sababu tu matokeo hayawaumizi??Sio kusudio la mada hii. Muhimu tunzeni hadhi yenu. Tangu zamani ilikuwa hivi, ila ninyi dotcom ndio mnaleta ujuvi ambao baadaye unawaumiza ninyi wenyewe.
I'm sorry for that spear in your heart
The problem with you is that instead of sticking to the thread alone you start relating it with people's real lives
Inashangaza watu wanajivunia kujiita mabaharia.Hahahaha ndiyo yale niliyokuwa nayasemea mimi jana kwenye uzi fulani kwamba wanaume wanaokubali kuitwa mabaharia ni hawa vijana wahuni tu wa mtaani walioshindikana ila wanaume wanaojielewa hawawezi kukubali japo kuitwa tu mabaharia achilia mbali kujiita wenyewe hivyo
Una disregard mawazo ya masingle moms ambao ndio walengwa wakuu halafu unajitia kisebu sebu cha kusimamia vi-logic uchwara ulivyojiwekea halafu unajiona una akiluli?
Kwanza kitendo cha wewe kusema " being a parent doesn't necessarily need to be biological father of the kid" kinachokuonesha ni jinsi gani ulivyokuwa naive na unfamiliar kwa wanawake.
Mimi kukwambia uende kwenye hiyo mada nilitaka uende ukajionee tu mawazo ya wanawake single mothers jinsi inavyokinzana na hiki unachokiamini.
Lakini hata hivyo wanaume kama nyie lazima muwepo hili single mothers wapate mtu wa kumu exploit
Mbona hapa unaongea tofauti?? Wewe umesema single mothers siyo wanawake wa kuolewa lakini kiuhalisia kwenye jamii tunashuhudia na nina uhakika haipiti mwezi single mother hata mmoja hajaolewa na kati yao wapo wengi tu ambao ndoa zao zinadumu na lengo la ndoa si kudumu au??Na experience ndio kila kitu, sasa niambie ninyi wanawake wa kileo, what have you to offer from experience? Uzoefu unaonyesha ndoa nyingi zinakufa hovyo kwa sababu ya mila za kisasa za kuigiza, wala sio za kuiga.
Kuiga unaweza kuchukua mazuri, lakini kuigiza ni kujifanya kutekeleza kila kitu kwa kunakili mpaka nukta. Sasa huu ni utumwa na kuwa kaama msukule, kwanihata mashuleni walimu hawakubali kuibia majibu ya mwingine kwa mtindo huu. Maisha ni saw na mtihani wa kujieleza, kila mtu anatoa uelewa wake kwa swali lile lile. Sasa kuigiza mila za kimagharibi kjmetufanya misukule.
So wewe ndio jnaelewa vice versa, experience inaonyesha tumeacha njia na kushadidia utamaduni tusioujua.
I will respond this question when it's due, as for now it has no congruence with any of my write-ups.Kwahiyo na single fathers nao hawatakiwi kuoa single mothers??
Mkuu hili la bikra limekaa vipi!?
Na mwanaume gani anastahili kupata binti bikra!?
Je ni wanaume wote!??
Naona umelishikilia Sana.
Tukirudi kwenye mada,,naona si busara Kum attack Marianah kwa maneno mabaya ,,unamwambia maswali yapo nje ya mada.
Kama Ni nje ya mada,hata wewe umeenda nje ya mada maana kwenye mada hakuna sehemu bikra imeongelewa.
Jombaa mbona unalazimisha watu wale maparage wakati umewakuta wanakula pilau?Lakini pia wapo ambao wanataka kuzaa tu mtoto wake tena na mtu fulani aliye mchaguu na hataki kuolewa.... hawa wapo!
Lakini pia wapo single mothers ambao wanaume wanawalilia kuwaoa kwa udi na uvumba.....hawa nao wapo!
Suala hili kwamba single mother hawaoleki linahitaji mjadala mpana sana na halichukui mtizamo mmoja tu. katika haya yote mtu mmoja mmoja kakutana na experience yake kwenye aina ya mahusiano na wanawake waliokwisha zaa watoto na kama tukichukua exprience ya mtu mmoja katika yale aliyokutana nayo tunaweza kumiss point kwenye mjadala huu adhimu!
Na mjadala huu naomba usiwe biased kulenga upande wa wanawake tu....tuuweke na upande wapili maana na sisi wanaume tunapopata watoto kabla ya kuoa nn mustakabali wetu baadae tunapohitaji kuoa wanawake ambao hawajazaa? kama tukikubaliana na hili kuwa single father nae hasitahili kuoa mwanamke ambae hajapata mtoto hapo tutaelewana. Na hivyo basi lazima tittle ya uzi huu tukaibadili na uwe... KWA HIYO UNATAKA KUOA AU KUOLEWA NA SINGLE PARENT?.
Marianah
Kwanza nimegundua kuwa huna elimu ya lugha ndio maana unayumba.
Unaposema Wanaume nao ni bikra unakuwa na tatizo moja la Msingi. Nalo ni upungufu wa elimu.
Kama ungesoma Semantiki katika lugha ungeelewa nini kinazungumziwa lakini kutokana na ubishi wako unalia lia humu.
Nimekupa maana ya Bikra kulingana na Wikipidia. Nimetoa Maana ya bikra kulingana na Oxord living dictionary.
Kama ungesoma lugha kwa ngazi ya kidato cha sita tuu usingeshindwa kuelewa mambo madogo kama Hayo
Mwisho nasisitiza kama wewe na wenzako na mwanamke yoyote yule ambaye alitolewa bikra kabla ya ndoa huyo ni malaya.
Hivyo ndivyo utakavyochukuliwa na ndivyo ulivyo hata kama hupendi kusikia hivyo.