Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

53 kwa 7[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji134]
Tobaa.
Huu Ni Zaidi ya ubakaji
Hii 7 umeipata wapi ?

Ni 53 kwa 9.

Ubaya wake uko wapi ?

Nini maana ya ubakaji kwa mujibu wa Kiswahili ?
 
Nacheka sana,kwa jinsi nilivyokuwa mtu mbaya katika haya mambo ya wanawake,wewe utakuwa tu mke wa tatu.
Bora niozee kwetu.
Kwa akili zangu hizi timamu haitakuja tokea nikafanya huo upumbavu.

Huyo Muhammad aliwaambia muoe wake wa4 eti sunna..
Hivi zuri na kisomo chako chote ulichonacho kakangu wewe ..hukuona Kama jamaa aliwadanganya?
 
Sijaona ndio unionyeshe wewe sasa ametudanganya wapi ?

Wewe huwa unajuaje kama jambo fulani la kweli na jambo fulani la uongo ?
 
Kosa lako ni kuniomba uwe kibenten changu

Halafu nikikubali ukapata unachokitaka ukaniacha na wewe uje uanzishe uzi hapa kuja kusema kwamba wewe kuniomba haukuwa na makosa ila mimi kukubali ndiyo nina makosa
Nitakuomba radhi mpaka utakapo nionyesha kosa langu liko wapi.
 
Hii 7 umeipata wapi ?

Ni 53 kwa 9.

Ubaya wake uko wapi ?

Nini maana ya ubakaji kwa mujibu wa Kiswahili ?
Sawa 9
53-9=jibu unalo.
Huyu si mjukuu kabisa Kama SI kitukuu[emoji44].

Na nyie huyu jamaa aliyebaka kitoto akaja kuwaambia alidondoshewa Aya mkaamini kabisa!????
 
Yawezekana kabisa Sio wote wana matatizo ndio but mind you in statistics a representative sampling suffices Na huo ndio ukweli, ukioa mwanamke asiyekuwa na bikra tu unahesabika umeoa mke wa mtu kiimani na hata kijamii pia sembuse single mother ambaye tayari ana muunganisho usiojificha wa usiofutika na bwana yake. Pia mleta mada hajazuia watu wasio single mothers bali alichofanya ni kama kutoa taadhari hivyo utaamua mwenyewe kama ushauri wake unafaa au haufai Sasa huu mtazamo wako hapa sio mahala peke ungesubiri au ungetafuta mada inayo fit na huo mtazamo wako ukachangia ingeleta maana, ukiuleta hapa kwenye mada hii utakuwa unafanya contextual derailment. Ukilazimisha kuuleta hapa sana sana tutakuona wewe ni single mothers sympathizer na unajaribu kufanya justification ya maovu yao na huna lingine Nafikiri kwenye mjadala kama huu hapakuwa na umuhimu wa kuleta blah..blah za ulinganisho na zinginezo, ulichopaswa kufanya hapa ni kuchangia mada bila kutoka nje ya mantiki ya mada yenyewe, habari za kuuhusishanisha hii mada na nyingine ambayo hazipo hapa ni dalili za kutokuwa na hoja yenye mashiko yaliyo sawia na mada husika, mbona kuna walipigana na hii mada bila kutoka nje ya mantiki kabisa, wewe una kwama wapi?
Dude hapa hatuko jukwaa la elimu wala la lugha, halafu sioni kama lengo lako ilikuwa ni kuja hapa hili ufundishwe namna ya kujadili mada. Hii haiwezi kuwa serious hata kidogo.
Yaani brother unahemka zaidi kuliko uhalisia. Acha tu tuufunge huu mjadala kati yangu na wewe maana naanza kuhisi kuwa ndugu yangu unaweza kuwa wewe mwenyewe au miongoni mwa familia yako mmoja akawa muhanga wa single mothers. Otherwise mjadala huu umekuwa ni wamanufaa kwetu na wasomaji kwa ujumla.
 
Kosa lako ni kuniomba uwe kibenten changu

Halafu nikikubali ukapata unachokitaka ukaniacha na wewe uje uanzishe uzi hapa kuja kusema kwamba wewe kuniomba haukuwa na makosa ila mimi kukubali ndiyo nina makosa
Mimi si tunamalizana huko huko kitaa. Kwanza huwa sipendi kujulikana.
 
Ni hiari yetu.

Hivi mwenye kukanusha na kuthibitisha huwa wako sawa ?
Sasa kwanini muombe kama mnajua kuwa wanaodharaulika ni wanawake na siyo wanaume??

Kivipi??
 
Sijaona ndio unionyeshe wewe sasa ametudanganya wapi ?

Wewe huwa unajuaje kama jambo fulani la kweli na jambo fulani la uongo ?
SI hapo kuwaambia muoe wake wanne..na wakati ndoa Ni ya mke na mume...mke Ni ubavu wa mume
Na adam ubavu wake ulimtoa Hawa (Eve)tu ..haukumtoa hawa na wenzie watatu.
Sasa jamaa hapa sijui aliwaaminisha vipi
 
Yaani brother unahemka zaidi kuliko uhalisia. Acha tu tuufunge huu mjadala kati yangu na wewe maana naanza kuhisi kuwa ndugu yangu unaweza kuwa wewe mwenyewe au miongoni mwa familia yako mmoja akawa muhanga wa single mothers. Otherwise mjadala huu umekuwa ni wamanufaa kwetu na wasomaji kwa ujumla.
Good do you
 
Sawa 9
53-9=jibu unalo.
Huyu si mjukuu kabisa Kama SI kitukuu[emoji44].

Na nyie huyu jamaa aliyebaka kitoto akaja kuwaambia alidondoshewa Aya mkaamini kabisa!????
Acha utoto sasa,hapa tunaongelea elimu,jambo kama huna elimu nalo uliza au kaa kimya.

Nimekuuliza hivi kubaka ni nini ?

Sasa mjukuu wake kivipi ? Wakati hana nasaba nae ?

Onyesha ubaya wa jambo hilo sio unalalamika.
 
Kosa lako ni kuniomba uwe kibenten changu

Halafu nikikubali ukapata unachokitaka ukaniacha na wewe uje uanzishe uzi hapa kuja kusema kwamba wewe kuniomba haukuwa na makosa ila mimi kukubali ndiyo nina makosa
Ndivyo wanavyotaka.
 
Back
Top Bottom