Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Jamani jamani

Hakuna kitu wanaume hatupendi kama kuingiliwa kwenye himaya yetu. Ndio maana ni mara chache sana kukuta mwanaume analalamika ikiwa mzazi mwenza wa single mother katangulia mbele za haki.

Imagine mtu anapitapita mtaani, anatamba vijiweni mara aje achukue mwanaye akatembee tembee naye mtaani. Lazima hayo mawasiliano yanayounganishwa na watoto yatapelekea mtoto mwingine kupatikana. Mlezi wewe!
 
single mothers again, wanawake jitunzeni msizae kabla ya ndoa,sio lazima ni option
 
Mwezi wa November tuwapumzishe dada zetu au mlete mambo mazuri kutoka kwa single mothers
 
Back
Top Bottom