Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Je ukikutana na mdada aliyezalishwa akiwa mwanafunzi bwana wake kafungwa kifungo cha 30yrs..usioe?
Labda alizalishwa kwa kubakwa usioe?

Oprah Winfrey hajawahi kuwa na mwenza?
 
shida ni kwamba hawa wanawake wa hivi hawaridhiki ni watu wa kulinganisha sana wanaume, huu ukweli mchungu kwanza anakuwa na wewe ki machale machale na anakuwa na wewe kwa maslah flani japo hawapendi kujiweka wazi lakini mara nyingi kumpata single mama si ujanja wako ni ujanja wake. ukikataa we jeuri
 
Ukimkuta hana bikra msamehe muoe, ila ukimkuta kazalishwa na ukamuoa naomba nikutunuku cheo cha "mjinga wewe" labda kama aliemzalisha kafariki lakini kama yupo hai usioe.
Usiseme hivyo kuna jamaa yangu alioa mwanamke ambae huyo mwanamke alisahaa mtoto mmoja sasa jamaa huu ni mwaka wa 8 hajawahi mpa mimba yule mwanamke ikabidi akamchukue yule mtoto wa mume mwenza saa banalea kama wake na anamshukuru mungu
 
BIkra ukose, yani hata kuwa wa kwanza kumpeleka leba ukose!!!(make najua atakua ametoa mimba za kutosha).
 
Mimba yanyewe alipewa na mwanaume kama mim, kwann nishindwe kufunika makosa ya mwanaaume mwenzangu, hujui usela mtoa mada.
 
Hakuna njia moja ya ku suruhisha matatizo na njia bora kwako wew haiwez kuwa sawa na njia yangu mim. Cha msing angalia njia inayoridhisha nafsi yako
 
Ukijua umetia mimba oa huyohuyo acheni kukimbia mizigo yenu wangese nyie mkatubebesha lawama
 
Sijui unapitia nini ila lolote unalopitia Mungu akuvushe
 
Sijui unapitia nini ila lolote unalopitia Mungu akuvushe
😂
 
Ukimkuta hana bikra msamehe muoe, ila ukimkuta kazalishwa na ukamuoa naomba nikutunuku cheo cha "mjinga wewe" labda kama aliemzalisha kafariki lakini kama yupo hai usioe.
Una akili ya kukariri. Dunia duara jaribu kutafiti matukio ya hii dunia utapata akili huru. Kwenye hii hii dunia Kuna aliyeoa binti na bikra yake kumbe alishatoa mimba tatu, single mother wa marehemu watatu na jamaa huwa ana mawazo kama yako' kila siku kusifia bikra. Sa hivi mtoto wake ni mweusiii, ye mweupe, anajinadi amechukua weusi wa wajomba zao. Wakati mwingine ni sahihi kuoa mwanamke ambaye alikosea huko nyuma akagundua ni wapi alikosea akarekebisha, anaweza kuwa Baraka kwako kuliko kuwa na formula yako ya bikira.
 
Bikra hana na bado ni single mama kwakweli hapa tusameheane.
Labda kama aliyemzalisha kafariki ila kama yu hai ni big no.
Ukishindwa kuutumia ujana wako vizuri hayo ndo matokeo ya ulichokifanya
Narudia kusema kuwa kijana lijari kuoa single mama ni udhaifu na kuaibisha familia yenu.
 
hakuna mzazi/ mlezi wa kike( mama, shangazi,mamdogo) anayefurahi kuona kijana wake wa kiume anaoa mwanamke mwenye mtoto
 
Sijui unapitia nini ila lolote unalopitia Mungu akuvushe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmecheka
 
hakuna mzazi/ mlezi wa kike( mama, shangazi,mamdogo) anayefurahi kuona kijana wake wa kiume anaoa mwanamke mwenye mtoto
Huo ndo uhalisia hakuna mzazi anayefurahia kabsa mwanae kuoa single mother nasema hakuna.
 
Nimewapata hawa watu wawili wanajua kujibebisha hao balaa.

Huyu mmoja hakunambia/alinificha nimegundua baada ya simu ya usiku mwingi kuleta sauti ya mtoto mchanga. Kwa aibu akakiri kumbe ana kitoto cha miezi miwili!! (dunia hii kua uyaone).

Sasa sio kwa kuniganda huko kila asubuh baby umeamkaje, usiku umelalaje.

Hawa bila shaka enzi zao wkt chuchu zimesimama walikuwa hawakamatiki.
 
Back
Top Bottom