Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena nduguHawa single mother's ni wazuri sababu unakuta wameshamaliza umri wa kujaribu jaribu vitu/mambo.Tatizo linabaki kwa wanaume waliowazalisha"hapo tu"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mkuu ni yy tu na msimamo wake. Wapo ambao hataman hata kumuona huyo alie mzalishaHawa single mother's ni wazuri sababu unakuta wameshamaliza umri wa kujaribu jaribu vitu/mambo.Tatizo linabaki kwa wanaume waliowazalisha"hapo tu"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa single mother's ni wazuri sababu unakuta wameshamaliza umri wa kujaribu jaribu vitu/mambo.Tatizo linabaki kwa wanaume waliowazalisha"hapo tu"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo lilipotatizo japo wako wachache sana sana wanajielewa.Kumbuka ukitaka kubadili password adi uweke kwanza ya zamani kwahyo mkioana lazma aliwe tyu na mshikaji wakikutana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo lilipotatizo japo wako wachache sana sana wanajielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ananipenda mpka kero mzeee alafu anipigi vizinga mpka me ndio nimpe mwenywWewe unaonaje kwani? Sema kama vipi temana naye.
Anyways.
Kila mtu ashinde mechi zake!
Ninja..huyu manzi kikwel ananipenda sana ila hiyo issue ya kuweka vijitiKwani we unaonaje au umeamua vipi na halimashauri ya ubongo wako ?
Maana mfano tunaweza kwambia achana nae je utaachana nae ?na bado mnapendana
Usiniambie kwamba hujachanganua hilo au hujui itakuwa ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee usije ukawa unaigiziwa show aiseeeTatizo ananipenda mpka kero mzeee alafu anipigi vizinga mpka me ndio nimpe mwenyw
Sent using Jamii Forums mobile app
SenkuMzee usije ukawa unaigiziwa show aiseee
Anyways.
Kila mtu ashinde mechi zake!