Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Sababu Ni moja tu ,, atakaye eleza sababu nyingine anaongea kwa mihemko au kichwani hamnazo.
Na sababu hiyo Ni Ugumu wa maisha kwa vijana. Kijana akitia Mimba analala mbele 😄 anatafuta mwingine akitia Mimba analala mbele. Utakuta kijana Hana kipato kinacholeweka lakini anapenda ngono matokeo yakija inabidi akwepe msala
 
Single mother wanazidi Kwa sababu ya Kuzidi kwa Kule kujimwambafy wanawake na Kuendekeza Ufeminine kuiga wazungu..

Wazungu wao washazoea Kuwa masingle maza na wala hawana shida ila sisi Tunaiga na ndo maana tunapotea..
Chanzo kikubwa ni Ufeminine Kwishaaa
Either sijakuelewa au unachanganya concepts.

Sioni uhusiano kati ya femininity na janga la single mothers, feminine women are the real women, feminine women are the best women, mafeminist ndo shida, most of these feminists aren't even feminine, most of these feminists do no have feminine qualities.
 
"Kutokujitambua, tamaa & njaa".
Kama hauna ile roho ambayo kabla hujafanya jambo yenyewe inakuwa ishakupa matokeo basi ni ngumu sana kuvuka hilo.

Kuna siku nilipata uzito mwili ukachemka kabisa, yaani iwe isiwe lazima nitafute mtu wa kuupunhuza uzito. Nikapata binti mmoja, tukaenda lodge. Tomaso kama kawaida likafaulu tukazishusha nguo zote. Wakati nataka nichukue guitar langu nianze kupiga sasa, kuna roho ikawa inaniuliza. "Hivi huyu binti unauhakika akibeba ujauzito unaweza kumuoa?". Hapo hapo nilivaa boksi langu, nikampa hela yake nikasepa.

Nadhani alibaki anajiuliza, niko na matatizo au nini.

Sasa jenga picha hapo. Umekutana naye kwa tamaa. Umemmimbisha na huna malengo naye. Anaenda kuzaa huko tayari ni single maza.

Ila mwanamke aliyetulia haachiwi mtoto peke yake kama hakuna sababu za msingi.

Pia mwanaume aliyetulia haachwi na mtu mwenye mwanaye kama hakuna sababu za msingi.

Shida ni hivi vichwa viwili!
 
Hilo swali tafadhali lisijibiwe ki jazba.

Ukosefu wa maadili unatupeleka pabaya sana. U singo mama na u singo baba unakuja kwa njia tofauti lakini kuu zaidi ni hili la singo mama.

Nyumba zinazoitwa " vituo vya yatima", binafsi naziita vituo vya watoto waliokosa bahati. Kwa sababu vituo hivyo vimejaa watoto wenye wazazi wao, lakini kwa kuwa watu wameona ni biashara inayolipa, wanachukuwa vibali vya vituo hivyo na kuwajaza humo kujitengenezea kipato haramu.

Wengine wa hao watoto wa singo maza na singo faza, ni watoto tunaowaona wakilelewa na walezi wengine kabisa, ambao siyo wazazi wao. Kama vile bibi, shangazi, dada mama mkuu. Je kuna siri zipi nyuma ya pazia?

Nini kinachosababisha u singo maza? Majibu yangu binafsi kwa uchache.

1) Wengi, pengine asilimia kubwa zaidi, za watoto wasio na bahati, hupatikana mimba kwa kujamiiana watu walio wa karibu kabisa, baba, mjomba, kaka, baba mdogo, baba mkubwa mpaka mababu.

Mashangazi, dada, mama mdogo, mama mkubwa nao wamo.

Watoto wanaopatikana ni kipi kitawazuwia wasiwe wa singo maza?

Wanasema "nyumba uloizowea kuihama ina kazi". Mtindo huo hujirudia sana tu.

Kuna kesi mbili tatu nazifahamu binafsi za namna hiyo, dunia haina siri.

Nyote, mnaoambiwa ni watoto wa singo maza msiowajuwa baba zenu, au kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie babako" mjuwe baba zenu mnao na ni watu wenu wa karibu kabisa.

Tukiona Watanzania wengi ni mapoyoyo, hiyo nayo ni sababu ya kuwa na taifa lenye watoto wenye mapungufu.
Tatizo siyo wanaoitwa au jiita ma "singo mama" tu, kuna watoto wengi sana wanaoambiwa "mamako alikufa" au "babako alikufa", kumbe ni uwongo mtupu. Huyo baba au mama aliyekufa isibaki hata picha? Au ndugu zake?

Ma singo baba, sababu zao ni nini?

Tusilee uozo wa maadili.
Madam Habari.

Binafsi ninaona kuna sababu kama tatu hivi;

1). Elimu,
2). Kipato, kujitosheleza a kiuchumi.
3). Utandawazi, Kufifia utamaduni wa asili na ukuaji wa kasi wa tamaduni za kigeni. Yuropu, na Amerika.,

Kiasili mwanamke ni pasua kichwa na ndio maana nature ilimuandaa kuwa duni(inferior) mbele ya wanaume, samahani kwa lugha hii,

Na hata tamaduni nyingi duniani nikama zinamu-undermine mwanamke hasa huku Africa, hili suala sio bahati mbaya... Linamaana kubwa sana na vitendo vingi vinavyo discriminate mwanamke vilivyopigiwa kelele na haki za binadamu kama vile FGM, nk. Ukiangalia kwa jicho la haki za binadamu unaona wako sahihi kabisa.

Lakini ukweli ni kwamba mila zetu sio potofu au waasisi wetu hawakuwa wakatili kiasi hicho ila walicbokifanya ni hekima ya hali ya juu mno na pengine waliamrishwa/au waliagizwa wafanye hivyo kupitia uvuvio, unabii kutoka kwa Nguvu ya asili.

Nature/asili sio potofu au jinga hadi ikam-shape mwanamke kwa kua dhaifu kidogo tu chini ya mwanaume, mara zote uwezo wetu wa kufikiria unapoishia nature yenyewe inaendelea kuanzia hapo.

Sasa kupitia Elimu na nguvu(uwezo mwanamke wa kujitegemea kiuchumi) hili ni kosa kubwa sana endapo kama hakutakua na utalatibu maalumu wakuthibiti maadili katika jamii.

Ninaheshimu haki za binadamu na nawapenda watu wote pasipo kujali tofauti zao... Ila sijawahi kuibeza nature!/asili, na zizani kama kitendo cha jamii mbalimbali duniani ku - undermine jinsia ya kike ni kitendo cha bahati mbaya/ coincedence.

Na kitendo cha kuruhusu gender equality ni kwenda kinyume na asili hivyo tujiandae na matokeo yake(pindi yakitokea tutapambana nayo vipi).

Yaani kwa mwenendo huu wakudhalau mila na desturi huku maadili akiendelea kupolomoka (uzungu) madhara yake yameanza kuonekana.
 
Zote ni sababu nzuri kabisa.

Swali linakuja, yanaanzia wapi?
 
Wanaume kukwepa majukumu

Pia wanaume ni wachache na hao hao wachache Kuna mashoga, kataa ndoa, kimbilia mashangazi yaan uchache umegeuka adimu

Pia njaa haijahi kumpendeza mtu, umeshawakuta watoto wa wabunge, maafisa waandamizi wakiwa single Maza?
Hiyo dhana kua wanaume ni wachache hua sikubaliani nayo ,ukiangalia taķwimu za sensa almost tuko sawa wanaume ni 49% na wanawake 51% na mashoga ni wachache ila machangudoa ni wengi zaidi
 
Mungu aliumba binadamu mwanaume na akaumba kiumbe mwanamke vitabu vimeandika hivo hapo haujaelewa Tu, kua ninyi ni viumbe tena vyombo vya starehe Tu mliletwa duniani kibahati Tu na hamkua kwenye mpango
Vp mamako aliyekuzaa
Maana Mungu alimuumba Adam na Eva binadamu wote wamezaliwa na mwanamke ukiwepo wewe
Je mamako ni shetan?
 
Sometimes huwa nawapinga Taliban kule Afghanistan kuminya na kukandamiza haki za wanawake.

Ila deep down, Nikikaaga na kutafakari naona jamaa wapo sahihi kabisa.

Wanawake wengi hasa mabinti ni kama wana funza kwenye vichwa vyao. Yani akifungua mdomo kuanza kukujibisha unaweza kupata murder case ukaua bure.
 
Back
Top Bottom