Wakiristo wengi hawawajui vizuri waislamu wa kweli katika vita

Wakiristo wengi hawawajui vizuri waislamu wa kweli katika vita

Kwa ajili ya usalama wa taifa watu kama hawa ni ttatizo kwa taifa Malaria 2 badilika unastahili burn ya milele kwa kuchochea itikadi kali

Ni porojo tu hizo, eti watu walitamani kwenda kupigana wakiwa na Mohammed, kila siku tunawaambia hiyo sio dini ni utamaduni tu wa kiarabu.

Mambo mengi yaliyofanyika wakati wa Mohammed yanahusiana zaidi na utamaduni wa kiarabu ambayo ndio wamekuja kugeuza na kuita eti dini.

It's very fallacious.

Kumbe ndio maana Haya mambo hayaishi.

Mkiungana Kobaz wanne watano wenye akili kama zako ndio mnakaa msikitini na kuamua kuanzisha vuguvugu ya Dola ya Kiislamu kwenye nchi ambazo zina serikali tayar. Kwa kivuli cha kutetea Dini na nchi uliyopo.

Kupindua serikali ni Ugaidi.
Na mkiambiwa nyinyi ni Magaidi mnasema mnaonewa.

Refers na masheikh wa Uamsho, Kibiti, wale wa Arusha. Na hawa wa juzi waliofungwa.
Boko haram, Al Shabab na Al Qaeda.

Unatakiwa kufa ukiwa kwenye Dini,
Sio kufa ukiwa unaipambania Dini.
Dini sio vita, asiyetaka kuwa Muislam ww inakuuma nini?. Si muache aende motoni.

NB: Vita vya Iran sio vya Kidini, ni vya kuondoa Magaidi.
Viongozi washirika wa
Hamas, Houth na Hezbollah.

Na watu wenye uelekeo kama ww mkiwa weng mtaanzisha Dola ya Kiislam ndan ya nchi ambayo tayar ina serikal yake kama ilivyo kwa hao watatu wa juu.

Daily Rumble on Instagram: "Christianity is cooked"



View: https://www.instagram.com/reel/DQU9AhyEl4G/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
 
...kufa ktk vita ni sawa ni furaha kwake kuliko hata furaha atakayopata Messi kutangazwa kuwa mchezaji wa dunia
Unasubiri nini kwenda upesi Iran, au Yemen, au Somalia, au Pakistan, nk ili usambaratishwe chap upate hiyo furaha?
 
Wakati wa mtume kuna vijana wadogo walikua wakimuomba mtume waende vitani ili waue au wakafe huko huko.

Kuna waislam wakifa vitandani walikua wakilia wakitamani sana wafe ktk vita.
Hakika kupitia wewe Malaria 2 nimekuja kugundua kumbe kuna uwezekano wa mtu kufa kitandani halafu asiipende hiyo hali alie machozi aombe akafie sehemu tofauti.
 
Unasubiri nini kwenda upesi Iran, au Yemen, au Somalia, au Pakistan, nk ili usambaratishwe chap upate hiyo furaha?
Utampa passport ?? Kama huna at least milioni huipati . Njaa kila mahali, watu wanakula kwa kamba zao
 
Muislam kufa akipigia nchi yake au dini yake kwake huona ufahari mkubwa.

Wakati wa mtume kuna vijana wadogo walikua wakimuomba mtume waende vitani ili waue au wakafe huko huko.

Kuna waislam wakifa vitandani walikua wakilia wakitamani sana wafe ktk vita.

Wakiristo wakiwaua waislam wanaona kama wanawakomoa lkn wanashindwa kujua kwamba muislam kufa ktk vita ni sawa ni furaha kwake kuliko hata furaha atakayopata Messi kutangazwa kuwa mchezaji wa dunia
Hivi ndugu yetu, unafikiri Tanzania na duniani kuna wakristo na waislam tu?
Amka!
Sio kila anayepigana na muislamu ni mkristo. Na sio kila anayepigana na mristo ni muislamu.
 
Muislam kufa akipigia nchi yake au dini yake kwake huona ufahari mkubwa.

Wakati wa mtume kuna vijana wadogo walikua wakimuomba mtume waende vitani ili waue au wakafe huko huko.

Kuna waislam wakifa vitandani walikua wakilia wakitamani sana wafe ktk vita.

Wakiristo wakiwaua waislam wanaona kama wanawakomoa lkn wanashindwa kujua kwamba muislam kufa ktk vita ni sawa ni furaha kwake kuliko hata furaha atakayopata Messi kutangazwa kuwa mchezaji wa dunia
Kama vile ilivyo raha kuua washenzi wanaotaka kuchafua Nchi kwa kutumiwa na wakuu wa kkanisa.
 
Utampa passport ?? Kama huna at least milioni huipati . Njaa kila mahali, watu wanakula kwa kamba zao
Nyie si ndo waungaji mkono wa hao majizi?

Kama huna passport wape hiyo 1m wakupe ukapate furaha huko Yemen, Iran, nk
 
Nyie si ndo waungaji mkono wa hao majizi?

Kama huna passport wape hiyo 1m wakupe ukapate furaha huko Yemen, Iran, nk
Sisi Nani waungaji mkono wa majizi? Au unafikiri sisi ni wapakwa mafuta wa Mwamposa??
 
Kama vile ilivyo raha kuua washenzi wanaotaka kuchafua Nchi kwa kutumia na kanisa.
FATWA ZA MA-AYATOLLAH: ZA KURUHUSU KUMUINGILIA MKE KINYUME NA MAUMBILE

Hayati Ayatollah Sayyid Ali Khamenei pia aliruhusu kumuingilia mke kinyume na maumbile.

Elimu hiyo si yake peke yake. Ni urithi wa Ma-Ayatollah wengi wa Iran na nje ya Iran, na kwa kifupi ni sehemu ya urithi wa Uislamu wa Kishia kwa mujibu wa vitabu vyao vya fiqh.

Hapa chini nitaweka fatwa za Ayatollah watatu maarufu, kuanzia waliotangulia hadi kwa aliyekuwa kiongozi wa juu wa Iran.

Katika Ushia, hukumu hii inapatikana katika vitabu vya Fatwa vya wanazuoni wa sasa pamoja na vitabu vya Hadithi vya kale. Wakiruhusu ngono kinyume na maumbile (ufiraji) kupitia aya ya Qur’an 2:223. Lakini hapa nitaanza na kauli za wakuu wanaojulikana zaidi.

1. Ayatullah Sayyid Ali al-Sistani

Kitabu: Minhaj al-Salihin (Mwongozo wa Wenye Haki)
Juzuu: 3 (Masuala ya Ndoa)

Nukuu: “Inajuzu kumuingilia mke kinyume na maumbile (kwenye tundu la nyuma), lakini ni Makruhu sana (inachukiza mno). Na kwa tahadhari ya lazima, isifanyike ikiwa mke haridhii.” Chanzo: Mas-ala 66 (katika mlango wa ndoa)

2. Ayatullah Ruhollah Khomeini

Huyu ndio baba wa mapinduzi ya Iran mnamo 1979, ni mheshimiwa mkubwa sana hapo Iran na katika ulimwengu wa Mashia.

Kwa upande wa Ayatollah Ruhollah Khomeini, msimamo wake uko wazi katika maandiko yake ya Fiqh. Anafanana na msimamo wa wanazuoni wengi wa Kishia: anaruhusu kitendo hicho lakini anakiona kuwa kinachukiza sana (Makruh). Katika moja ya kitabu chake anasema:

Kitabu: Tahrir al-Wasilah, Juzuu: 2. Ukurasa: 241

Nukuu: “Kauli yenye nguvu zaidi ina juzu kumuingilia mke kinyume na maumbile (kwenye tupu yake ya nyuma), lakini kwa karaha (uchukivu) uliokithiri, na ni bora kuacha kufanya hivyo hasa ikiwa mke haridhii.”

3. Ayatollah Sayyid Ali Khamenei

Huyu ndio alikuwa Ayatollah maarufu katika kizazi hiki cha sasa, alipokea kiti cha Ayatollah mnamo 1989 baada ya Ruhollah kufa. Naye katika vitabu vyake naye ameungana na wanazuoni wenzake katika kuruhu tendo hilo haramu ingawa kwao sio haramu ingawa mke ataridhia.

Kutoka katika kitabu chake cha maswali na majibu ya fiqh.

“Hakuna kizuizi kumuingilia mke katika tundu la nyuma ikiwa mke ameridhia, ingawa kitendo hicho ni Makruh (kinachochukiza).”

Kitabu: Ajwibat al‑Istifta’at, ukurasa 445–446
Mlango: Masuala ya Ndoa (Kitab al-Nikah)
Suala: 1279 (katika baadhi ya matoleo ya Kiarabu na Kiajemi).

Hivyo bilashaka Ayatollah mpya naam Mojtaba Khamanei kamwe hawezi kwenda kinyume cha watangulizi wake ambao amepokea kijiti kutoka kwao. Huenda marehemu mke wake aliyekufa katika shambulio la anga la Israeli mnamo February 28 alipitia changamoto hiyo kama Mojtaba alizingatia elimu hiyo.

Izingatiwe hii sio kashfa bali ni elimu ya vitabu, kwako inaweza kuwa ni kashfa lakini kwa wengine ni Sheria ya dini yao. Na huo wote ni ufafanuzi wa Quran 2:223. Sasa usijae hasira kwa mjumbe, pambana na wahubiri hao.

Kwahiyo basi kuhusisha Biblia na ushoga ni jambo la uzushi maana hakuna aya wala fungu ambalo linaruhusu jambo hilo. Na mkristo ambaye ataunga mkono ushoga basi huyo sio mkristo moja kwa moja bali muhuni.

Hivyo kabla haujarusha jiwe katika nyumba imara angalia kwako kwanza kama ni imara au unaishi katika nyumba ya vioo.
 
Wewe jinga kweli kweli!
1. Anayewapa Waisrael nchi ya Cannane ni Mungu, mwenye dunia hii yote. Hata kama waliwakuta wenyeji hapo, bado mwenye nchi anawaambia wawapishe Israel
2. Hata ingawa Wana wa Israeli walipewa nchi ya Ahadi, bado waliishi na Makabila mengine maadamu makabila hayo hayakupanga na kutekeleza njama za kuangamiza Israel. Mfano mzuri ni Wagidioni
3. Hata sasa Israel hawajawafukuza Waarabu kuishi Israel. Ndiyo maana ndani ya Israel proper wako Waarabu waislamu wapatao million 2+
4. Waarabu waislamu ndiyo wanataka kuwaulia mbali Waisrael na kutwaa Israel yote.
 
Mlianza kwa kusema Iran hawezi kupigwa,

Gaidi Ayatollah hawezi kuuawa

😂

Mnapelekewa moto kila siku, mmebadili gia angani 😂
 
Back
Top Bottom