Wakiristo wengi hawawajui vizuri waislamu wa kweli katika vita

Wakiristo wengi hawawajui vizuri waislamu wa kweli katika vita

Muislam kufa akipigia nchi yake au dini yake kwake huona ufahari mkubwa.

Wakati wa mtume kuna vijana wadogo walikua wakimuomba mtume waende vitani ili waue au wakafe huko huko.

Kuna waislam wakifa vitandani walikua wakilia wakitamani sana wafe ktk vita.

Wakiristo wakiwaua waislam wanaona kama wanawakomoa lkn wanashindwa kujua kwamba muislam kufa ktk vita ni sawa ni furaha kwake kuliko hata furaha atakayopata Messi kutangazwa kuwa mchezaji wa dunia
Acha uongo hakuna binadamu anayefurahia kufa. Kama ni hivyo hao waislam wasingekuwa wanachimba mahandaki ya kujificha.
 
Wewe jinga kweli kweli!
1. Anayewapa Waisrael nchi ya Cannane ni Mungu, mwenye dunia hii yote. Hata kama waliwakuta wenyeji hapo, bado mwenye nchi anawaambia wawapishe Israel
2. Hata ingawa Wana wa Israeli walipewa nchi ya Ahadi, bado waliishi na Makabila mengine maadamu makabila hayo hayakupanga na kutekeleza njama za kuangamiza Israel. Mfano mzuri ni Wagidioni
3. Hata sasa Israel hawajawafukuza Waarabu kuishi Israel. Ndiyo maana ndani ya Israel proper wako Waarabu waislamu wapatao million 2+
4. Waarabu waislamu ndiyo wanataka kuwaulia mbali Waisrael na kutwaa Israel yote.
Hiyo ni biblia au injili ya joex?


View: https://youtube.com/shorts/2LPwHdEvx08?si=8UWNRBXaDwR3j
 
Muislam kufa akipigia nchi yake au dini yake kwake huona ufahari mkubwa.

Wakati wa mtume kuna vijana wadogo walikua wakimuomba mtume waende vitani ili waue au wakafe huko huko.

Kuna waislam wakifa vitandani walikua wakilia wakitamani sana wafe ktk vita.

Wakiristo wakiwaua waislam wanaona kama wanawakomoa lkn wanashindwa kujua kwamba muislam kufa ktk vita ni sawa ni furaha kwake kuliko hata furaha atakayopata Messi kutangazwa kuwa mchezaji wa dunia
Uislam unafundisha kufa ni swala la kawaida sana yaani ni chap umekufa ila unakufaje kizembe yaani unakufaje kijinga
Huku upande mwingine unanambiwa kemea mauti
 
FATWA ZA MA-AYATOLLAH: ZA KURUHUSU KUMUINGILIA MKE KINYUME NA MAUMBILE

Hayati Ayatollah Sayyid Ali Khamenei pia aliruhusu kumuingilia mke kinyume na maumbile.

Elimu hiyo si yake peke yake. Ni urithi wa Ma-Ayatollah wengi wa Iran na nje ya Iran, na kwa kifupi ni sehemu ya urithi wa Uislamu wa Kishia kwa mujibu wa vitabu vyao vya fiqh.

Hapa chini nitaweka fatwa za Ayatollah watatu maarufu, kuanzia waliotangulia hadi kwa aliyekuwa kiongozi wa juu wa Iran.

Katika Ushia, hukumu hii inapatikana katika vitabu vya Fatwa vya wanazuoni wa sasa pamoja na vitabu vya Hadithi vya kale. Wakiruhusu ngono kinyume na maumbile (ufiraji) kupitia aya ya Qur’an 2:223. Lakini hapa nitaanza na kauli za wakuu wanaojulikana zaidi.

1. Ayatullah Sayyid Ali al-Sistani

Kitabu: Minhaj al-Salihin (Mwongozo wa Wenye Haki)
Juzuu: 3 (Masuala ya Ndoa)

Nukuu: “Inajuzu kumuingilia mke kinyume na maumbile (kwenye tundu la nyuma), lakini ni Makruhu sana (inachukiza mno). Na kwa tahadhari ya lazima, isifanyike ikiwa mke haridhii.” Chanzo: Mas-ala 66 (katika mlango wa ndoa)

2. Ayatullah Ruhollah Khomeini

Huyu ndio baba wa mapinduzi ya Iran mnamo 1979, ni mheshimiwa mkubwa sana hapo Iran na katika ulimwengu wa Mashia.

Kwa upande wa Ayatollah Ruhollah Khomeini, msimamo wake uko wazi katika maandiko yake ya Fiqh. Anafanana na msimamo wa wanazuoni wengi wa Kishia: anaruhusu kitendo hicho lakini anakiona kuwa kinachukiza sana (Makruh). Katika moja ya kitabu chake anasema:

Kitabu: Tahrir al-Wasilah, Juzuu: 2. Ukurasa: 241

Nukuu: “Kauli yenye nguvu zaidi ina juzu kumuingilia mke kinyume na maumbile (kwenye tupu yake ya nyuma), lakini kwa karaha (uchukivu) uliokithiri, na ni bora kuacha kufanya hivyo hasa ikiwa mke haridhii.”

3. Ayatollah Sayyid Ali Khamenei

Huyu ndio alikuwa Ayatollah maarufu katika kizazi hiki cha sasa, alipokea kiti cha Ayatollah mnamo 1989 baada ya Ruhollah kufa. Naye katika vitabu vyake naye ameungana na wanazuoni wenzake katika kuruhu tendo hilo haramu ingawa kwao sio haramu ingawa mke ataridhia.

Kutoka katika kitabu chake cha maswali na majibu ya fiqh.

“Hakuna kizuizi kumuingilia mke katika tundu la nyuma ikiwa mke ameridhia, ingawa kitendo hicho ni Makruh (kinachochukiza).”

Kitabu: Ajwibat al‑Istifta’at, ukurasa 445–446
Mlango: Masuala ya Ndoa (Kitab al-Nikah)
Suala: 1279 (katika baadhi ya matoleo ya Kiarabu na Kiajemi).

Hivyo bilashaka Ayatollah mpya naam Mojtaba Khamanei kamwe hawezi kwenda kinyume cha watangulizi wake ambao amepokea kijiti kutoka kwao. Huenda marehemu mke wake aliyekufa katika shambulio la anga la Israeli mnamo February 28 alipitia changamoto hiyo kama Mojtaba alizingatia elimu hiyo.

Izingatiwe hii sio kashfa bali ni elimu ya vitabu, kwako inaweza kuwa ni kashfa lakini kwa wengine ni Sheria ya dini yao. Na huo wote ni ufafanuzi wa Quran 2:223. Sasa usijae hasira kwa mjumbe, pambana na wahubiri hao.

Kwahiyo basi kuhusisha Biblia na ushoga ni jambo la uzushi maana hakuna aya wala fungu ambalo linaruhusu jambo hilo. Na mkristo ambaye ataunga mkono ushoga basi huyo sio mkristo moja kwa moja bali muhuni.

Hivyo kabla haujarusha jiwe katika nyumba imara angalia kwako kwanza kama ni imara au unaishi katika nyumba ya vioo.
Leteni machafuko tutawamaliza shenzi nyie,na udini wenu wa kipuuzi! KEYTIMA sindio anawatuma kisa mkuu wa Nchi si wa Imani yenu....
 
Muislam kufa akipigia nchi yake au dini yake kwake huona ufahari mkubwa.

Wakati wa mtume kuna vijana wadogo walikua wakimuomba mtume waende vitani ili waue au wakafe huko huko.

Kuna waislam wakifa vitandani walikua wakilia wakitamani sana wafe ktk vita.

Wakiristo wakiwaua waislam wanaona kama wanawakomoa lkn wanashindwa kujua kwamba muislam kufa ktk vita ni sawa ni furaha kwake kuliko hata furaha atakayopata Messi kutangazwa kuwa mchezaji wa dunia
Hiyo ilitengenezwa kuwapa morali ya kupigana ila ukweli ni kwamba kufa ni kufa tu.
 
Muislam kufa akipigia nchi yake au dini yake kwake huona ufahari mkubwa.

Wakati wa mtume kuna vijana wadogo walikua wakimuomba mtume waende vitani ili waue au wakafe huko huko.

Kuna waislam wakifa vitandani walikua wakilia wakitamani sana wafe ktk vita.

Wakiristo wakiwaua waislam wanaona kama wanawakomoa lkn wanashindwa kujua kwamba muislam kufa ktk vita ni sawa ni furaha kwake kuliko hata furaha atakayopata Messi kutangazwa kuwa mchezaji wa dunia
Mbona hapa Tz hamfi kuitetea bc
 
Sio hawa niliowaona mwaka 2012 polisi wakigawa kipondo hadi watu kuchomekea kanzu na kujipa majina ya Kighalatia.
 
Hata ningekuwa Mimi ndo muislam,naachaje kufurahia kugonga bikra?
Muislam kufa akipigia nchi yake au dini yake kwake huona ufahari mkubwa.

Wakati wa mtume kuna vijana wadogo walikua wakimuomba mtume waende vitani ili waue au wakafe huko huko.

Kuna waislam wakifa vitandani walikua wakilia wakitamani sana wafe ktk vita.

Wakiristo wakiwaua waislam wanaona kama wanawakomoa lkn wanashindwa kujua kwamba muislam kufa ktk vita ni sawa ni furaha kwake kuliko hata furaha atakayopata Messi kutangazwa kuwa mchezaji wa dunia
 
Acha kusikiliza wazushi Imani ya ukristo ni ile ile aliyotuachia Yesu. so kama kuna maswali gonga kwenye mafundisho ya Yesu. issue za Talmud watajibu wao huko

Yesu hajawacha ukristo , usimpakazie . Ukristo ulianzishwa na wapagani Antokia , biblia yako huijui ??
 
Back
Top Bottom