Tetesi: Wakishamaliza kumuangamiza January Makamba, wanahamia kwa Selemani Jafo

Uzuri wote ni Wazaramo, huyu wa Mkuranga (Kabla ilikuwa Kisarawe) mwengine wa Kisarawe
 
Paskali,hizi vita zote ni "genuine" au "chezo la kijani" hili kuwahadaa wapinzani na wananchi?!maana dah!ni kali mno!
 
Unaelekea wewe una umri mdogo / under 18. Kama Mkapa mwenyewe alipata urais kwa nusura za Nyerere alafu unasema JK hakuwa na sifa. Na bado JK anabaki kuwa bora ukimlinganisha na JPM
 
Ramli inakuzeesha vibaya wewe.
Mipango yenu imekwama sasa mnahaha kutafuta la kuwafariji
 
Unabii umetimia.... Wakati ni wakili mkweli
Hii ishu mkuu haikuwa inahitaji unabii, hata kama wew ningekuwa mfanya kazi wako then ukamate maongezi yangu kuwa nakuhujumu usingeniacha niendelee na kazi.... Ile clips ya jana Makamba wakiongea na mtoto wake january ndiyo iliyo pigilia msumari wa mwisho..... Bado kuna vigogo wengine watafutwa uanachama wa chama..... Hata kama siyo leo basi mda ukifika....
 
Wewe mchawi. Mh. Jafo hana unafiki, si ndumilakuwili, ni mtu wa HAPA KAZI TU!
 
In short ndumilakuwili (a.k.a wale wazee wa dili wanajulikana wote)
 
Hii Tanzania ya serikali ya awamu ya 5 ukienda sehemu ambayo hakuna network ukija kurudi online unaweza kukuta baraza lote la mawaziri limebadilishwa ama hata jina la Tanzania limebadilishwa ukakuta inaitwa Chato aisee.

Lawama zote kwa John
 
Punguza ukali shoga yangu, ramli ipo wapi hapo?
Mwanaumerijali kuitwa shoga au shosti ni kumtukana. Futa usemi huo kwanza

kisha kinachojiri ni kwamba hili tukio la kupanga kumpunguza kasi Magufuli limebumburuka na wengi wanahaha kuficha nyuso zao. Subirini sindano ziwaingie kwanza. bora kukaa kimya mkuu
 
Ajaye anatoka kanda ya kati au juu kusini ila kaskazini wasubiri kwanza
 
Leo Pombe katuma message kubwa kwa mababa. Thubutuni na mtaona kama watoto wenu watabaki kuwa mawaziri; wabunge; makatibu wakuu!

Message sent and delivered kwa WAZEE!

Lawama zote kwa John
 
Unaelekea wewe una umri mdogo / under 18. Kama Mkapa mwenyewe alipata urais kwa nusura za Nyerere alafu unasema JK hakuwa na sifa. Na bado JK anabaki kuwa bora ukimlinganisha na JPM
Maelezo yako yanaonyesha hujui chochote kuhusu uchaguzi uliomwingza Kikwete na kundi la mtandao madarakani 2005. Kwa kifupi kabisa Mkapa alikuwa ameapa na kujiapiza kuwa hawezi kumwachia Kikwete na kundi lake kuingia madarakani! Lakini kumbe kina Lowassa na kundi la mtandao ''walishaiteka'' system yote huku yeye hana habari. Ilipofika wakati wa uchaguzi ndani ya CCM akajikuta hana la kufanya kwa sababu aliambiwa kwamba usipowaachia wakihamia upinzani watachukuwa nchi kwani wana uungwaji mkono mkubwa. Hakujua waliokuwa wanamwambia hivyo nao walikuwa kwenye kundi la mtandao. Ikabidi akubali tu kwa shingo upande.
 
Hizi habari za vijiweni mkuu, mwaka 1995 Kikwete alishinda kura za maoni dhidi ya akina Mkapa na wengine. Ni Mwalimu aliingilia kati kwa kigezo cha kuwa Kikwete bado alikuwa kijana sana (Hajakomaa) na alitishia kujiondoa CCM. Hivyo akapewa Mkapa lakini bado mioyoni mwa Watanzania na Wanaccm bado Kikwete alikuwepo. Hivyo Mkapa hakuwa na namna kwa kuwa JK mwenyewe alikuwa nguvu tosha ndio maana hata wakina Lowasa hawakutaka kupambana nae badala yake wakajiunga kwenye kambi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…