Tetesi: Wakishamaliza kumuangamiza January Makamba, wanahamia kwa Selemani Jafo

Tetesi: Wakishamaliza kumuangamiza January Makamba, wanahamia kwa Selemani Jafo

huseein mwinyi mnamuweka wapi ama Masauni
Hawa wote hawana sifa hawataweza kupitia hata mmoja . Mzanzibar wa mwisho atakuwa Rais mwinyi tuu kuwa Rais wa Tanzania. Hao wajiandae kuwa Marais wa Zanzibar.
 
Anauwezo wa kawaida tu na kama hujui hawa tofautiani sana na Wema...wote wanatumia uwana wake wao kupata wanavyopata sio kwa sababu ya capacity......
Aaahh ila uyu dc kamzidi sana tu sepenga kiakili
 
Akanushe kwenye vyombo vya habari kama kweli au uwongo. Kukopa hela za NSsf sio halafu hataki kulipa sio ustaarabu huo ni uovyo na hatutakiwi kuwa na Rais kama huyo. Ataenda kukopa china halafu atatupeleka kwenye China dept trap ili tunyanganywe Bandari yetu
Lakini mnataka kuongizwa na mwenzawazimu mwenye vyeti milembe
 
Vipi January akitumbuliwa na ule uwaziri . Ndio atakuwa ameisha
Huyu mtu hawezi tumbuliwa ndio intelijensia wao hapo lumumba bila huyu urais hawapati hao
 
Huyu mtu hawezi tumbuliwa ndio intelijensia wao hapo lumumba bila huyu urais hawapati hao
Humjui JPM wewe. Akikosea anaondolewa mapema Sana. JPM Hana rafiki wa kudumu. Je na JPM akitumia technique ya kikwete akaja na majina yake mfukoni na la January halipo itakuwaje. January hajatosha kuweza kuwa Rais wa Tanzania. Labda ungesema kassim Majaliwa kashatosheleza . Kigwangwalla mwenyewe anamzidi Kwa mbali kabisa January kuutosheleza nafasi ya Urais. Halafu ujue
 
Naongelea kwa habari ya kutumbuliwa mkuu sio uraisi maana hata iyo sehem aliyokuwepo uyo mkuu uliyemtaja ni juhudi za January bila yeye basi mamvii angekuwa yeye apo
 
Haahaa eti January aupate urais thubutu. Labda jafo
January hatoaanza kuail 2025 kwenye kinyanganyilo cha urais, na hana sifa ni muongo muongo, mjanja mjanja japo kanaact kapole na katoa rushwa kakubwa tu..! Namkumbuka vizuri 2015 kipindi anatafuta wadhamini alimwaga hela eneo fulani pale habari
 
Habari wadau.

Vita vya urais 2025 kama sio 2020 vimeanza kupamba moto. Inadaiwa RC fulani anaandaliwa kuwa Rais japo wengi wataona ni kichekesho.

January Makamba hivi sasa anaonekana ni tishio hapo Mbeleni ukizingati umri wake. Nadhani mwafahamu kinachoendelea.

Unaambiwa lazima aangushwe na baada ya hapo mishale na gemu zito litahamia kwa Selemani Jafo ambaye ni waziri Tamisemi.

Source: Naiweka siri kwa sasa.

Wacha uwongo, mimi siandaliwi na CCM kuwa rais ajaye. Namwachia urais Magufuli kwani bado hajamaliza kazi yake na watanzania wengi wanapenda kazi aifanyayo.
 
Siku bashite akiwa raisi ndio nitaamin kweli watanzania ni mazezeta,
 
Okay,enzi za Dr Dau, huyu ni mwenzetu anastahili.Je,alikopa au hakukopa??Tatizo ni kukopa au kukataa kurudisha marejesho kama mkataba ulivyobainisha??

Tatizo sio kukopa,bali kutorejesha mkopo aliochukua nssf.

Ushabiki tuuweke pembeni kwenye za barabara.

Tusipotoshane.
Ebu tuweke ushabiki kando,hivi January kasingiziwa au kweli kachota mifedha NSSF tena kwa mgongo wa huyu ni mwenzetu.

Jiulize ni kwanini enzi za Dr Dau Makamba na akina Zitto walikuwa wakifaidi hazina ya NSSF ?.

Huyu Jaffo ni nani nchi hii jafanyanini zaidi ya kuhamia ofisi za mabati Dodoma !.
 
January hana mchango wowote kwenye CCM jinsi ilivyompitisha Magufuli kugombea Urais. Magufuli mashabiki wa lowasa ndio waliompitisha. Technical huwezi kuona mchezo ulivyokuwa yaani Membe aliekuwa wanasema ndio mshindani mkubwa wa lowassa aliondoka kwenye raundi ya Kwanza pamoja na makamba. Haya makashfa yatampoteza mapema kwenye game. Ktk nchi hii Rais aliependewa kutika uchaguzi alikuwa ni kikwete . Watu walikuwa wanasema handsome, kijana na Ile Sera yake ya Ali mpya Kasi mpya maisha Bora Kwa kila mtanzania. Akisimama na Ile rangi alivyokuwa anangaa Kula watu walikuwa wanampa tuu. January ameshaanza kupoteza Imani na sifa
Naongelea kwa habari ya kutumbuliwa mkuu sio uraisi maana hata iyo sehem aliyokuwepo uyo mkuu uliyemtaja ni juhudi za January bila yeye basi mamvii angekuwa yeye apo
 
Uongo?

Makonda anaandaliwa kuwa Rais hapo 2025.
Dhima kuu ni ili akayalinde Mabaya ya Mhusika.

Paskali wa jf aliweka uzi mmoja hapa kuwa rais ni Magufuli na kweli akawa Magufuli.

Siku akishusha uzi mwingine msije mkampuuza

Mimi nadhani kwa 2025 anu 2035 najua Rais wetu Ni Jokate.
Dah hizi habari mnazitoa wapi ? Huyo mjinga nani ampe Urais ?

Mtieni kichwa tu halafu atakacho kutana nacho baada ya baba yake kuachia Urais ndio mtaelewa kuwa Urais ni kitu kingine kabisa

Jakaya na ujanja wake wote kashindwa kumuweka Membe ama January

Lowasa na Ualwatan wote kaishi kuwa Rais wa mioyo
Sasa huyu kinuka mkojo atatoboa vipi ?
 
Kuhusu ya NSSF tuyaweke kando maana kuna kumbukumbu aliyekuwa waziri mwenye dhamana ya TAKUKURU wakati huo Sophia Simba mbele ya mabosi wake ndani ya mkutano wa chama chake alitamka wazi ",CCM hakuna msafi" hakuna aliyeinua shingo ndani ya mkutano ule si Mkapa wala JK!

So kama hakuna msafi ukiona ndani ya CCM mnunuzi wa kivuko kibovu ananyamaziwa na mdokozi wa NSSF anaandamwa ujue huyo hahitajiki kwenye circle ya wezi wenzie.
🤣🤣🤣🤣 Umenikumbusha mbali! Yule aliyenunua kivuko kibovu akadai sasa ni mzinga wa Jeshi ndiye huyu anayetamba Magogoni kwa kivuli cha uzalendo?
 
Bashite akiwa rais basi atakuwa raisi wa kwanza mwenye tako kubwa afrika na dunia kwa ujumla....labda hiko kigezo anacho .....vingine sioni
 
January hana mchango wowote kwenye CCM jinsi ilivyompitisha Magufuli kugombea Urais. Magufuli mashabiki wa lowasa ndio waliompitisha. Technical huwezi kuona mchezo ulivyokuwa yaani Membe aliekuwa wanasema ndio mshindani mkubwa wa lowassa aliondoka kwenye raundi ya Kwanza pamoja na makamba. Haya makashfa yatampoteza mapema kwenye game. Ktk nchi hii Rais aliependewa kutika uchaguzi alikuwa ni kikwete . Watu walikuwa wanasema handsome, kijana na Ile Sera yake ya Ali mpya Kasi mpya maisha Bora Kwa kila mtanzania. Akisimama na Ile rangi alivyokuwa anangaa Kula watu walikuwa wanampa tuu. January ameshaanza kupoteza Imani na sifa
Unaweza kuwa sawa mimi sasanishatoka huko nimeingia kwenye kura yani rais wa chama ashajulikana sasa mtanange wa kwenda uchaguzi mkuu IT mwenye aliyesimamia kidete alikuwa january kwa kuchakachua na kuharibu mioango yote ya wapinzani
 
Bashite akiwa rais basi atakuwa raisi wa kwanza mwenye tako kubwa afrika na dunia kwa ujumla....labda hiko kigezo anacho .....vingine sioni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom