Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Unawatukana hata wazee wasiyo ifahamu Jf jitahidi basi angalau kumtukana mleta mada tuNdo mnachojidanganya vijiweni huko mkinywa kahawa yenu yenye buni mchanganyiko na kinyesi cha kondoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawatukana hata wazee wasiyo ifahamu Jf jitahidi basi angalau kumtukana mleta mada tuNdo mnachojidanganya vijiweni huko mkinywa kahawa yenu yenye buni mchanganyiko na kinyesi cha kondoo
ndugu..... haya mambo yetu ya ndani nani kavujisha?Habari wadau.
Vita vya urais 2025 kama sio 2020 vimeanza kupamba moto. Inadaiwa RC fulani anaandaliwa kuwa Rais japo wengi wataona ni kichekesho.
January Makamba hivi sasa anaonekana ni tishio hapo Mbeleni ukizingati umri wake. Nadhani mwafahamu kinachoendelea.
Unaambiwa lazima aangushwe na baada ya hapo mishale na gemu zito litahamia kwa Selemani Jafo ambaye ni waziri Tamisemi.
Source: Naiweka siri kwa sasa.
Vyeti anavyo?Uongo?
Makonda anaandaliwa kuwa Rais hapo 2025.
Dhima kuu ni ili akayalinde Mabaya ya Mhusika.
Paskali wa jf aliweka uzi mmoja hapa kuwa rais ni Magufuli na kweli akawa Magufuli.
Siku akishusha uzi mwingine msije mkampuuza
Mimi nadhani kwa 2025 anu 2035 najua Rais wetu Ni Jokate.
Ni Rc, maana yake mkuu wa mkoaHuyo mkuu Wa wilaya mbona haelekei kabisa?
Usitake kimjua kwa sasandugu..... haya mambo yetu ya ndani nani kavujisha?
Ahaa mkuu mzima?Umelazimishwa kuamini?
Habari wadau.
Vita vya urais 2025 kama sio 2020 vimeanza kupamba moto. Inadaiwa RC fulani anaandaliwa kuwa Rais japo wengi wataona ni kichekesho.
January Makamba hivi sasa anaonekana ni tishio hapo Mbeleni ukizingati umri wake. Nadhani mwafahamu kinachoendelea.
Unaambiwa lazima aangushwe na baada ya hapo mishale na gemu zito litahamia kwa Selemani Jafo ambaye ni waziri Tamisemi.
Source: Naiweka siri kwa sasa.
....kweli siri ni ya mtu mmoja nimeamini sasa!!Usitake kimjua kwa sasa
Field Marshal wasingida alikua anaona nchi km yake hii sa hv katulia tuli [emoji3450]hata skafu havai tena
Mnafiki mkubwa, yamewashinda ya akina Mbow unakuja rukia vitu usivyo vijua.Habari wadau.
Vita vya urais 2025 kama sio 2020 vimeanza kupamba moto. Inadaiwa RC fulani anaandaliwa kuwa Rais japo wengi wataona ni kichekesho.
January Makamba hivi sasa anaonekana ni tishio hapo Mbeleni ukizingati umri wake. Nadhani mwafahamu kinachoendelea.
Unaambiwa lazima aangushwe na baada ya hapo mishale na gemu zito litahamia kwa Selemani Jafo ambaye ni waziri Tamisemi.
Source: Naiweka siri kwa sasa.
Kwa hiyo unataka kusema anaweza Kuja kumgeuka magu??Basi hata makonda hamumjui.. makonda ni mtu ambaye akipata nafasi anakuchenjia saa yoyote. Kifupi makonda hanaga rafiki wa kudumu. Yuko wapi rizwan ambaye alikuwa anabebwa juu juu na makonda? Wapi kikwete kwa makonda? Muulize nape ambaye makonda alikuwa pacha wake, ni nape ndio alikuwa akimwambia makonda apige dili akiwa dc baada ya kuona makonda mzito. Leo wako wapi.? Wapi Ruge mutahaba na makonda? Iliishiaje? Ni Reginald mengi alimwandalia makonda chakula alipooa, lakini waliwahi kutofautiana kabla ya kupatana tena.
Uongo?
Makonda anaandaliwa kuwa Rais hapo 2025.
Dhima kuu ni ili akayalinde Mabaya ya Mhusika.
Paskali wa jf aliweka uzi mmoja hapa kuwa rais ni Magufuli na kweli akawa Magufuli.
Siku akishusha uzi mwingine msije mkampuuza
Mimi nadhani kwa 2025 anu 2035 najua Rais wetu Ni Jokate.
Akanushe kwenye vyombo vya habari kama kweli au uwongo. Kukopa hela za NSsf sio halafu hataki kulipa sio ustaarabu huo ni uovyo na hatutakiwi kuwa na Rais kama huyo. Ataenda kukopa china halafu atatupeleka kwenye China dept trap ili tunyanganywe Bandari yetuHabari wadau.
Vita vya urais 2025 kama sio 2020 vimeanza kupamba moto. Inadaiwa RC fulani anaandaliwa kuwa Rais japo wengi wataona ni kichekesho.
January Makamba hivi sasa anaonekana ni tishio hapo Mbeleni ukizingati umri wake. Nadhani mwafahamu kinachoendelea.
Unaambiwa lazima aangushwe na baada ya hapo mishale na gemu zito litahamia kwa Selemani Jafo ambaye ni waziri Tamisemi.
Source: Naiweka siri kwa sasa.
Hicho kivuko kingenunuliwa na mtu mwingine, muda huu angekuwa anaozea keko na kina Rugemalila!Kuhusu ya NSSF tuyaweke kando maana kuna kumbukumbu aliyekuwa waziri mwenye dhamana ya TAKUKURU wakati huo Sophia Simba mbele ya mabosi wake ndani ya mkutano wa chama chake alitamka wazi ",CCM hakuna msafi" hakuna aliyeinua shingo ndani ya mkutano ule si Mkapa wala JK!
So kama hakuna msafi ukiona ndani ya CCM mnunuzi wa kivuko kibovu ananyamaziwa na mdokozi wa NSSF anaandamwa ujue huyo hahitajiki kwenye circle ya wezi wenzie.
Hakuna Mzanzibar atakayepewa Tena nafasi ya Urais wa Tena Tanzania bara. Wanaccm wa bara hawatampitisha hata siku moja Mzanzibar awe Rais . Hussein mwinyi aende akamrith Rais Shein mwakani 2020. Kwa staili hiyo nakuhakikishia 2005 Dr Salim Ahmed Salim angeza kuwa Rais. January anaweza kuwa na nafasi kubwa ya kushinda kuliko Hussain mwinyiJafo ni Muislam lakini Sio Mzanzibar.
Jafo hana migogoro hata na wapinzani.
Angalau Jafo ameonyesha umahiri mkubwa pale Tamisemi.
Nasadiki unayoyasema isipokuwa nawaza, Je! Wazanzibar watabembelezwaje?
Naona mtu hatari kwenye mipango ya 2020 au 2025 ni Hussein Mwinyi.
Kwanza huwezi kumchafua, pili haonyeshi kuwa na tamaa ya madaraka,tatu hana mgogoro na wapinzani.
Ni MZANZIBARA anayekubalika kote bara na visiwani.
Jeshi linamkubali amefanya kazi na na ma CDF watatu.
Jokate umri hautamruhusu labda Dr Tulia Ackson ana nafasi kubwa Kwa wanawake.Rais Ajaye ni Jokate.
Vipi January akitumbuliwa na ule uwaziri . Ndio atakuwa ameishaHapa ndipo namkumbuka prof Lumumba anasema " Afrika, wenye akili hawana mamlaka na wenye mamlaka hawana akili".
Kama tungekuwa tunachagua rais kwa kigezo cha akili, basi Makamba alikuwa ndiyo bora zaidi miongoni mwa vijana wote waliotia nia ya kuutaka urais 2015 ndani ya ccm.
Sasa wanamuandama ili kumuondoa kwenye reli mazima.
Mwigulu yupo vizuri kumzidi January Kwa 100%kwamba makamba anaakili kumzidi mwigulu...haupo serious kabisa!