Tetesi: Wakishamaliza kumuangamiza January Makamba, wanahamia kwa Selemani Jafo

January hajawahi na wala hatawahi kuwa tishio kwenye mbiyo za urais! Hana sifa! Kikwete ndiye mtu pekee asiyekuwa na sifa aliyebahatika kupenya mpaka akawa rais kwa kutumia mtandao na fedha. Na hii ni kwa sababu ya Mkapa kutokuwa makini. System imeshashtuka, tukio kama hilo kujitokeza tena ni hakuna.
 
Ni bora na ana akili kwa kiwango chako cha upeo! Siyo kwa watanzania wote.
 
Wapiga polishi hawaachi vituko,naona baada ya kuwa mmebanwa kila kona mnatafuta pakutokea kwa kuwafaraknisha wakulima na wafugaji. ni wajinga tuu watakaokubaliana na akili ya kitoto ya machoma "mishikaki"
 
uwezekano wa makonda kuja kuwa Rais kwa hii nchi ni mkubwa mno kwa sasa,amini usiamini
 

Akina nani hao????
 
Huyo anaeandaliwa, akifa 2024 itakuwaje[emoji276][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Kuna watu huwa mnasema ukweli mpaka mnaudhi.
 
uwezekano wa makonda kuja kuwa Rais kwa hii nchi ni mkubwa mno kwa sasa,amini usiamini
Nitahama nchi , huyo jamaa hafai hata hapo alipo , labda kama CCM wanataka ifie kwenye mikono ya system
 
Unateseka nini ww?
 
Mpk sasa mtu ambae naona ana afadhali pale ccm ni dokta Hussein mwinyi
 
Hkn Rais alieandaa mtu wake akafanikiwa
 
Natamani hii chain ya jasiri muongoza njia ipite naye kabla huu mwaka haujaisha yaani huyu jamaa ni msaliti mfano hakuna. I hate him so much! Sioni hata cha maana anachokifanya.. wanachomoka watu wa maana lenyewe linabaki... Eti awe raisi kha! Hii itakua kali ya dunia....
 
This is why I like you brother P ! Mtu anaficha source aliyo iokota humu humu JF ! I see !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…