Wakitoka hapa wanakubaliana na si mmoja wao kesho kusema sihusiki kama Lisu anavyosema kuhusu maridhiano

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056

Israel's Cabinet approves a deal for a ceasefire in Gaza and the release of dozens of hostages​

Wamesema cabinet hawajasema nyau peke yake... Kama angekubali peke yake bado wangeyakataa.
 
Lisu was part and parcel of Kamati Kuu ya Chadema maamuzi. Collective responsibility inambana.
Strange, Sasa why is Lisu trying to exculpate himself from maridhiano saga
 
Israel's Cabinet approves a deal for a ceasefire in Gaza and the release of dozens of hostages​

Ni mtu mpumbavu tuu ndio anaweza weka makubaliano na kibaraka Lisu
 
Lisu was part and parcel of Kamati Kuu ya Chadema maamuzi. Collective responsibility inambana.
Strange, Sasa why is Lisu trying to exculpate himself from maridhiano saga
Hoja ya Lissu ni rahisi sana.

Mbowe alipotoka gerezani angekwenda kwanza kuonana na wenzake na wote waende wote Ikulu.

La pili Lissu anadai Mbowe hajawaambia kila kitu kuhusu walichojadiliana na Samia alipotoka gerezani na kwenda Ikulu moja kwa moja.

La tatu Lissu anasema maridhiano ilikuwa ni Katiba Mpya na kubadilishwa kwa Sheria za uchaguzi na siyo kuruhusiwa Kwa mikutano ya vyama vya siasa na kuachiliwa kwa Mbowe.
 
Mbowe alipotoka gerezani angekwenda kwanza kuonana na wenzake na wote waende wote Ikulu.
Allen sema kweli...umekaa lupango for 8 months. Rais anakutoa, anakwambia njoo tuzungumze...unamwambia ngoja nionane na wenangu? Muwe wakweli. Wenzangu wapi mbona walikimbilia Belgium. Canada? Kuwa mkweli!

Nani kaenda kumtoa Slaa? Si kundi la Lisu, mbona mnakazana na bail? Lupango pasikie tu
 
Kwahiyo ni Gaidi kweli? 🐼
 
Back
Top Bottom