Wako wapi hawa mastaa waliotikisa sana ulimwengu wa muziki

Wako wapi hawa mastaa waliotikisa sana ulimwengu wa muziki

ABBA
Marcus Hernandez
Bryan Adams
Brian McKnight
George Michael
Joe
Leona Lewis
Mack Anthony
Michael Bolton
Savage garden

Nataman Whitney Houston angekuwepo
 
Wenzetu wako tofauti sana, wakiona muda wao unawatupa mkono...husoma alama za nyakati na kwenda chini ya maji kuendelea na majukumu mengine.

Na maisha huendelea kama kawaida....wanastaafu kwa heshima.

Huku kwetu ni mpaka mtu avunjiwe nazi njiapanda au media zimbanie hahahahaaaa
Uko sahihi
 
MIAKA YA 1995 nikiwa KIBOSHO GIRLS, weekend tunaenda kujirusha na ma men wa UMBWE, duh jamaa anakubambia na anaweza akachomeka mkiwa mmesimama mnacheza blues ya shania Twain "from this moment" Einstein 40 umenikumbusha mbali sana aisee, wengine bikr zilitolewa kipindi hicho.
Kwahiyo ulichomekewa dada?[emoji39]
 
Mimi enzi zangu naanza kujitambua wasanii waliokuwa wanasumbua ni kama;

Jarule
DMX
Sisqo
R.Kelly
Joe Thomas
Nelly
Jayz
Puff Daddy
JLo
Usher
Ginuwine
Westlife
Destiny's Chid
KC N JOJO
Boyz 2 Men
Eminem
Nas
C.Dion
Britney
Mariah Carey
Whitney
Brandy
Timberlake
Craigy David
Aaaliyah
Missy Eliot
E.V.E
Timberland
Nelly Furtado
Mase
Dr. Dre
Snoopy
Buster Rhymes
Enrique
Ashanti
Bow wow
Shaggy


Etc
NB: Ni wachache ambao still wako relevant
 
Mimi enzi zangu naanza kujitambua wasanii waliokuwa wanasumbua ni kama;

Jarule
DMX
Sisqo
R.Kelly
Joe Thomas
Nelly
Jayz,Puff Daddy
JLo
Destiny's Chid
KC N JOJO
Boyz 2 Men
Eminem
Nas
C.Dion
Britney
Mariah Carey
Whitney
Timberlake
Aaaliyah
Timberland
Mase
Snoopy
Enrique
Ashanti
Bow wow
Etc
Tupo age sawa
 
MIAKA YA 1995 nikiwa KIBOSHO GIRLS, weekend tunaenda kujirusha na ma men wa UMBWE, duh jamaa anakubambia na anaweza akachomeka mkiwa mmesimama mnacheza blues ya shania Twain "from this moment" Einstein 40 umenikumbusha mbali sana aisee, wengine bikr zilitolewa kipindi hicho.
Ni mimi hapa nilikutoboa vuta kumbukumbu vizuri[emoji3]vipi naweza kupasha kiporo?
 
Hao wote umewataja bado wapo mzigoni ila fanbase yao ni ya watu wa miaka ya 2000 ya mwanzoni kurudi nyuma....

Ukiwa katika pages zao utawaona wanatoa kazi zao vizuri tu mbona....

Mimi nawafuatailia.... Avant anaimba, joe anaimba anapiga show, carlthomas wanaimba, Keith sweat anaimba, wengi wanaimba....
 
Daaah pub Alberto na laliga pub umeisahau malindi bar , hio ndio ilikua mitaa yetu madenti kujidai sitasahau siku nimeopoa alafu kufika geto hostel sikufanikiwa , thanks god siku chache yule Duu tulizika rip
Nyimbo zao zimejaa matusi sana aisee, kama singeli kwa hapa bongo ila kuna wimbo wa Shaba tulikuwa tunaimba " watabambaaa"

SHABA RANKS hapo tupo Moshi Pub Alberto , mnajirusha ikifika usiku mnene kumbe mwanaume kishalipia chumba KNCU hotel, dah !
 
Back
Top Bottom