Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Sahiv washaingia kwenye utu uzima sasa wale vijanaWestlife waliunga tena mwaka juzi wakatoa na wimbo unaitwa hallo my love.
Soon wanaweza rudi tena kutrend kama awal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahiv washaingia kwenye utu uzima sasa wale vijanaWestlife waliunga tena mwaka juzi wakatoa na wimbo unaitwa hallo my love.
Soon wanaweza rudi tena kutrend kama awal
Ila kipaji hakizeeki etSahiv washaingia kwenye utu uzima sasa wale vijana
Bryan Adams aisee kazeeka jamani,, kweli wakati ni ukutaABBA
Marcus Hernandez
Bryan Adams
Brian McKnight
George Michael
Joe
Leona Lewis
Mack Anthony
Michael Bolton
Savage garden
Nataman Whitney Houston angekuwepo
Uko sahihiWenzetu wako tofauti sana, wakiona muda wao unawatupa mkono...husoma alama za nyakati na kwenda chini ya maji kuendelea na majukumu mengine.
Na maisha huendelea kama kawaida....wanastaafu kwa heshima.
Huku kwetu ni mpaka mtu avunjiwe nazi njiapanda au media zimbanie hahahahaaaa
Michael Learn to Rock ...hatari sanaMLTR
Kwahiyo ulichomekewa dada?[emoji39]MIAKA YA 1995 nikiwa KIBOSHO GIRLS, weekend tunaenda kujirusha na ma men wa UMBWE, duh jamaa anakubambia na anaweza akachomeka mkiwa mmesimama mnacheza blues ya shania Twain "from this moment" Einstein 40 umenikumbusha mbali sana aisee, wengine bikr zilitolewa kipindi hicho.
nopeKwahiyo ulichomekewa dada?[emoji39]
Tupo age sawaMimi enzi zangu naanza kujitambua wasanii waliokuwa wanasumbua ni kama;
Jarule
DMX
Sisqo
R.Kelly
Joe Thomas
Nelly
Jayz,Puff Daddy
JLo
Destiny's Chid
KC N JOJO
Boyz 2 Men
Eminem
Nas
C.Dion
Britney
Mariah Carey
Whitney
Timberlake
Aaaliyah
Timberland
Mase
Snoopy
Enrique
Ashanti
Bow wow
Etc
Ni mimi hapa nilikutoboa vuta kumbukumbu vizuri[emoji3]vipi naweza kupasha kiporo?MIAKA YA 1995 nikiwa KIBOSHO GIRLS, weekend tunaenda kujirusha na ma men wa UMBWE, duh jamaa anakubambia na anaweza akachomeka mkiwa mmesimama mnacheza blues ya shania Twain "from this moment" Einstein 40 umenikumbusha mbali sana aisee, wengine bikr zilitolewa kipindi hicho.
Nyimbo zao zimejaa matusi sana aisee, kama singeli kwa hapa bongo ila kuna wimbo wa Shaba tulikuwa tunaimba " watabambaaa"
SHABA RANKS hapo tupo Moshi Pub Alberto , mnajirusha ikifika usiku mnene kumbe mwanaume kishalipia chumba KNCU hotel, dah !