Wasalaam,
Hivi hawa dada zetu wasanii wamepotelea wapi?
Nlikuwa nawakubali sana.
1. Enika
2. Dataz
3. Rah P
4. Paulin Zongo
5. Grace Matata
Na pia ningependa kujua hawa wasanii wa kiume wametokomea wapi?
6. Mike T (Mnyalu)
7. Stan Boy (East Coast Team)
8. Rado
9. Steve RnB
10. Chindo Man
Mbona kimya sana na vipaji wanavyo?
Naomba tujuzane.