Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Yaani sasa hivi kuwa maarufu ni uamuzi wako tu.Hahahahaha sikuhizi popularity imekuwa so cheap kiasi kwamba leo naweza amka nikafanya stunt tu nikawa maarufu allover Tanzania!
Mimi navihurumia tu vidada ( nadhani hata Shamsa Ford akishaliongelea hili ) viko speed sana.
Vinatumika mnooo.
Kidemu kama Tunda kineshachooka yaani. Ingekuwa siyo kubebwa hapo Vunjabei nadhani kingekuwa kwao. Kimetumika sana.