Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

Hii ndio type ya wasukuma walivyo na watampa kura arudi bungeni na Yale matako yake makubwa.
 
Namuona akiwa pale koromije ameenda kuongeza nguvu ya hirizi yake ili akumbukwe.
 
Baadhi ya watanzania hasa wa mitandaoni wanapenda viongozi legelege, na hawapendi mtu anaye jiamini. Hawapendi mtu anae wazibia maslahi yao yasi halali. Wamebaki kuongelea watu na umbea, usio wasaidia. Hata umuongelee vibaya huyo Makonda, utafaidika na nini, au utampunguzia nini? Alisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar. Alifanya kwa nafasi yake alofanya. Atabaki katika historia. Kwa sasa anamaisha yake hajaja kwako kukuomba fedha au kulialia. Anaenjoy maisha yake.
Ya Mungu mengi hujui kesho. Makonda bado ni kijana uenda akarudi tena madarakani. Tusiongee sana, tuwe na akiba ya maneno!
 
Hayo ndio matokeo ya kumuabudu binadamu mwenzako, ona sasa huyo mungu wake amekufa sasa anaonekana kama chizi.

Nashangaa kwa nini hadi leo hajapandishwa kizimbani kupigwa mvua kwa maovu aliowafanyia wengine akiwa kama kinara wa kikundi cha wasiojulikana.

Akina Makonda walinufaika na katiba mbovu tuliyonayo inayoruhusu watu kuteuliwa na rais pasipo kuwa na weledi au sifa yoyote ktk wadhifa husika.
 
Bashite alitamka kwa mdomo wake mwenyewe kwamba anawazidi hata wale wanaojiona wapo juu kicheo kuliko yeye, imekuwaje tenaaa?
 

Mnyenyekevu ni yule anayekubali kukosolewa na sio kujiona yupo sahihi. Kuhusu msamaha, Ni Magufuri ndio aliomba wasameheane pale Tanga na so vinginevyo, alikuwa na kiburi cha madaraka. Makonda alikuwa anadharau wengine hakuwa na roho ya Unyenyekevu ndio maana ameshuka mpaka kuwa raia wa kawaida. Alijiona mungu mtu kuwatukana watumishi wa umma hadharani mbele ya camera tena wengine wamemzidi umri.

Issue ya madawa ya kulevya ilikuwa siasa tu na kujifaisha tu. Wangapi walioitwaa kwenye listi yake wamehukumiwa jela?. Hakuna hata mmoja zaidi kaishia kuwatishia wahindi wampe hongo. Kiburi ndio kimemuangusha makonda mpaka chini.
 
Hakuna kitu kama hicho lete video makonda akiwaua hao uliowataja?

Siku hizi watu wanachukua video wakati wa kuuwa?. Tatizo watanzania kutetea uovu tupo juu mpaka Marekani alipomuwekea ngumu ya kwenda kwenye nchi yake kwa sababu alizuia haki ya watu kuishi. Mpaka mgeni anaona wewe mwenyeji umeshupaza shingo.
 
Ukiwaona Bavicha wanavyotiririka kwenye huu uzi utafikiir wanafanana kwa maisha na Makonda,

Kumbe wanakula vumbi tu huku mwenzao akiponda raha ya maisha

Unayajua Maisha ya makonda?. Unajua Sasa hivi ana Hali gani?.
 
Team ROHO MBAYA Work!

Mnahangaika na watu wanaoendelea na maisha yao bila siasa.

Nyinyi mbaowafuatilia ndio mnaoteseka kila uchao.

Wao maisha yako kawaida na wameridhika na hali zao.

Nyinyi team roho mbaya ndio mnakonda kwa Stress tupu.

Kila mkikaa kijiweni kumbukumbu ya uchaguzi 2020 inawatesa na kuwafanya muone kila mtu ni adui wenu.

#Hatutakiwahuni
 
Makonda kawa kama chizi wapi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha mna laana? Mtu kajikalia kimya anakula maisha nyie eti kawa kama chizi?
 
Siku hizi watu wanachukua video wakati wa kuuwa?. Tatizo watanzania kutetea uovu tupo juu mpaka Marekani alipomuwekea ngumu ya kwenda kwenye nchi yake kwa sababu alizuia haki ya watu kuishi. Mpaka mgeni anaona wewe mwenyeji umeshupaza shingo.
Basi kama huna video taja aliowaua
 

Nyie ndio mnaomuharibu Makonda. Baadala mkubali madhaifu yake na mumshauri ajirekebishe nyie mnatetea uongo. Nyie ndio mlikuwa mnamdnganya alipoangushwa kura za maoni na Ndungulile kuwa Rais atamrejesha?. Mshaurini huyo kijana ajirudi siku zingine asiongoze kwa dharau na kiburi, bali awe mnyenyekevu kwa wale anaowaongoza.

Makonda hakuwa na kujiamini chochote Bali Ni kiburi na dharau. Na hicho ndicho kilichomuangusha. Makonda aliambiwa na mkubwa wake ukigombea ubunge utakuwa umejifukuzisha. Kwa sababu ya kiburi akapuuza ushauri akaendelea kugombea ubunge na hatimaye kushindwa hadharani Kila mtu akiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…