Mtabaki kuamini Marekani kama Marekani ni Mungu kwani huoni uovu wa Marekani?Siku hizi watu wanachukua video wakati wa kuuwa?. Tatizo watanzania kutetea uovu tupo juu mpaka Marekani alipomuwekea ngumu ya kwenda kwenye nchi yake kwa sababu alizuia haki ya watu kuishi. Mpaka mgeni anaona wewe mwenyeji umeshupaza shingo.
Watasugua bench hadi vichupi viishe [emoji23][emoji23][emoji23]Team ROHO MBAYA Work!
Mnahangaika na watu wanaoendelea na maisha yao bila siasa.
Nyinyi mbaowafuatilia ndio mnaoteseka kila uchao.
Wao maisha yako kawaida na wameridhika na hali zao.
Nyinyi team roho mbaya ndio mnakonda kwa Stress tupu.
Kila mkikaa kijiweni kumbukumbu ya uchaguzi 2020 inawatesa na kuwafanya muone kila mtu ni adui wenu.
#Hatutakiwahuni
Shida watu wanadhani Marekani ni Mungu. Marekani kauwa wananchi wangapi wasio na hatia! Hapa majuzi imetolewa pendekezo Kuchunguza jeshi la Marekani huko Afghanistan, inasemekana Marekani waliua sana wananchi wasio na hatia.Mtabaki kuamini Marekani kama Marekani ni Mungu kwani huoni uovu wa Marekani?
Wale walioathiriwa na Bashite hawawezi wakamsamehe kamwe. Suala la Bashite kushtakiwa na kunywea kikombe anachonywea Sabaya ni suala la muda. Anaweza kuwa anakingiwa na Rais SSH kufikishwa Mahakamani kwa sasa. Ila baada ya Samia kutoka madarakani, basi kesi ya kwanza ya Rais mpya awe wa CCM au UPINZANI itakuwa ya MAKONDA aka Bashitebashite mjanja kweli kweli, anacho tafuta apo ni ‘huruma’ ya jamii ili asiburuzwe mahakani kwa yale alio wafanyia ‘wabaya’ wake, yaani kwa sasa anapost ‘strategic pictures’ ili kupata huruma na msamaha kutoka ktk jamii na watu aliowafanyia uovu wa kutisha……….na tayari wadanganyika wengi tuu wameisha ingia mkenge wa kumhurumia
Huo utumbo ulioandika hapa kawasimulie wanao kama unao, au peleka kijiweni kwenuShida watu wanadhani Marekani ni Mungu. Marekani kauwa wananchi wangapi wasio na hatia! Hapa majuzi imetolewa pendekezo Kuchunguza jeshi la Marekani huko Afghanistan, inasemekana Marekani waliua sana wananchi wasio na hatia.
Watu wangapi wanauwawa Marekani kila siku. Tena polisi wao wanaongoza kwa kuuwa! Bado tunaishangilia Marekani. Watu wanautumwa wa akili. Marekani ilikiri kuwa kumuuwa Gaddafi walifanya kosa. Je niviongozi wangapi Marekani imewauwa ukiwa kinyume nao! Tazama Sadam Hussein, walidanganya anasilaha za maangamizi wakamuuwa.
Kumbuka Makonda liwahi kukanusha kuwa ugaidi uliotangazwa na Ubalozi wa Marekani kuwa utatokea maeneo ya Masaki na Oysterba, haupo na hakuna tishio lolote, wananchi wasiwe na wasiwasi. Hii iliwauma sana wamerekani. Na kweli hakuna ugaidi wa shambulio uliotokea hayo maeneo.
Tusiwaabudu wamarekani.
Ajakoma tu kupotoshwa nao,Wengine wanasema eti anasaka waganga
Huyo mganga mbona kashindwa kuwasaidia kupambana na nature.Kwa huyo Sangoma ndiko alimpeleka Magu, baada ya pale ikawa humwambii kitu Magu kumhusu Bashite
Huyo mganga arudishe hela yake sio kwa utapeli huoNaona huko anakoenda ndiko aliahidiwa kuwa baba yake mlezi bado yupo yupo sana
Anaenda dai hela zake
Hata raiya to wenye asili ya kiafrika wanauawa sana MarekaniShida watu wanadhani Marekani ni Mungu. Marekani kauwa wananchi wangapi wasio na hatia! Hapa majuzi imetolewa pendekezo Kuchunguza jeshi la Marekani huko Afghanistan, inasemekana Marekani waliua sana wananchi wasio na hatia.
Watu wangapi wanauwawa Marekani kila siku. Tena polisi wao wanaongoza kwa kuuwa! Bado tunaishangilia Marekani. Watu wanautumwa wa akili. Marekani ilikiri kuwa kumuuwa Gaddafi walifanya kosa. Je niviongozi wangapi Marekani imewauwa ukiwa kinyume nao! Tazama Sadam Hussein, walidanganya anasilaha za maangamizi wakamuuwa.
Kumbuka Makonda liwahi kukanusha kuwa ugaidi uliotangazwa na Ubalozi wa Marekani kuwa utatokea maeneo ya Masaki na Oysterba, haupo na hakuna tishio lolote, wananchi wasiwe na wasiwasi. Hii iliwauma sana wamerekani. Na kweli hakuna ugaidi wa shambulio uliotokea hayo maeneo.
Tusiwaabudu wamarekani.
Nebkadineza baada ya kumchukiza Mwenyezi Mungu alimlaani akamwambia Kwa miaka 7 atakuwa anaishi porini akila nyasi kama hayawani.Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri).
Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa harass Sasa wameshika mpini, Jiji aliloliona la kwake, na wakazi wake kama wapangaji, amelikimbia kama Ghadafi alivyoikimbia Tripoli, au Saddam alivyoikimbia Bhaghdad.
Wale walinzi mahiri, makirikiri, hawako nae tena, Polisi na usalama hawako naye tena, ni mpweke huko maporini akipanda milima na kukatiza njia za waenda kwa miguu, pengine anapishana na watu aliowadhuru ila yeye ameshawasahau!
Ni Makonda aliyewaonya viongozi wakuu wa dola kwamba ana nguvu kuliko wanavyodhani!
Wakati ukutaView attachment 2082013
Cc: Lemutuz
Mahakamani ipo pale pale ngoja mama atoke kwanza jinai haifi.bashite mjanja kweli kweli, anacho tafuta apo ni ‘huruma’ ya jamii ili asiburuzwe mahakani kwa yale alio wafanyia ‘wabaya’ wake, yaani kwa sasa anapost ‘strategic pictures’ ili kupata huruma na msamaha kutoka ktk jamii na watu aliowafanyia uovu wa kutisha……….na tayari wadanganyika wengi tuu wameisha ingia mkenge wa kumhurumia