Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

Siku hizi watu wanachukua video wakati wa kuuwa?. Tatizo watanzania kutetea uovu tupo juu mpaka Marekani alipomuwekea ngumu ya kwenda kwenye nchi yake kwa sababu alizuia haki ya watu kuishi. Mpaka mgeni anaona wewe mwenyeji umeshupaza shingo.
Mtabaki kuamini Marekani kama Marekani ni Mungu kwani huoni uovu wa Marekani?
 
Team ROHO MBAYA Work!

Mnahangaika na watu wanaoendelea na maisha yao bila siasa.

Nyinyi mbaowafuatilia ndio mnaoteseka kila uchao.

Wao maisha yako kawaida na wameridhika na hali zao.

Nyinyi team roho mbaya ndio mnakonda kwa Stress tupu.

Kila mkikaa kijiweni kumbukumbu ya uchaguzi 2020 inawatesa na kuwafanya muone kila mtu ni adui wenu.

#Hatutakiwahuni
Watasugua bench hadi vichupi viishe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtabaki kuamini Marekani kama Marekani ni Mungu kwani huoni uovu wa Marekani?
Shida watu wanadhani Marekani ni Mungu. Marekani kauwa wananchi wangapi wasio na hatia! Hapa majuzi imetolewa pendekezo Kuchunguza jeshi la Marekani huko Afghanistan, inasemekana Marekani waliua sana wananchi wasio na hatia.

Watu wangapi wanauwawa Marekani kila siku. Tena polisi wao wanaongoza kwa kuuwa! Bado tunaishangilia Marekani. Watu wanautumwa wa akili. Marekani ilikiri kuwa kumuuwa Gaddafi walifanya kosa. Je niviongozi wangapi Marekani imewauwa ukiwa kinyume nao! Tazama Sadam Hussein, walidanganya anasilaha za maangamizi wakamuuwa.
Kumbuka Makonda liwahi kukanusha kuwa ugaidi uliotangazwa na Ubalozi wa Marekani kuwa utatokea maeneo ya Masaki na Oysterba, haupo na hakuna tishio lolote, wananchi wasiwe na wasiwasi. Hii iliwauma sana wamerekani. Na kweli hakuna ugaidi wa shambulio uliotokea hayo maeneo.
Tusiwaabudu wamarekani.
 
bashite mjanja kweli kweli, anacho tafuta apo ni ‘huruma’ ya jamii ili asiburuzwe mahakani kwa yale alio wafanyia ‘wabaya’ wake, yaani kwa sasa anapost ‘strategic pictures’ ili kupata huruma na msamaha kutoka ktk jamii na watu aliowafanyia uovu wa kutisha……….na tayari wadanganyika wengi tuu wameisha ingia mkenge wa kumhurumia
Wale walioathiriwa na Bashite hawawezi wakamsamehe kamwe. Suala la Bashite kushtakiwa na kunywea kikombe anachonywea Sabaya ni suala la muda. Anaweza kuwa anakingiwa na Rais SSH kufikishwa Mahakamani kwa sasa. Ila baada ya Samia kutoka madarakani, basi kesi ya kwanza ya Rais mpya awe wa CCM au UPINZANI itakuwa ya MAKONDA aka Bashite
 
Shida watu wanadhani Marekani ni Mungu. Marekani kauwa wananchi wangapi wasio na hatia! Hapa majuzi imetolewa pendekezo Kuchunguza jeshi la Marekani huko Afghanistan, inasemekana Marekani waliua sana wananchi wasio na hatia.

Watu wangapi wanauwawa Marekani kila siku. Tena polisi wao wanaongoza kwa kuuwa! Bado tunaishangilia Marekani. Watu wanautumwa wa akili. Marekani ilikiri kuwa kumuuwa Gaddafi walifanya kosa. Je niviongozi wangapi Marekani imewauwa ukiwa kinyume nao! Tazama Sadam Hussein, walidanganya anasilaha za maangamizi wakamuuwa.
Kumbuka Makonda liwahi kukanusha kuwa ugaidi uliotangazwa na Ubalozi wa Marekani kuwa utatokea maeneo ya Masaki na Oysterba, haupo na hakuna tishio lolote, wananchi wasiwe na wasiwasi. Hii iliwauma sana wamerekani. Na kweli hakuna ugaidi wa shambulio uliotokea hayo maeneo.
Tusiwaabudu wamarekani.
Huo utumbo ulioandika hapa kawasimulie wanao kama unao, au peleka kijiweni kwenu
 
Uparen hapo,.nadhan itakuwa tae au mwembe
Tena upareni huko nadhani, may be Mshana Jr aangalie picha vizuri anaweza kupajua, mshana alishatoa Uzi wa waganga wakali wa upareni, nahisi Bashite atakuwa anatembea na nyuzi za mshana
 
She Ahaadi baada ya bashite kupigwa tu chini na wajumbe akaanza kujitenga
 
Juz alikuwa msibani maeneo ya hedaru wilayan same huko..
 
Kwa mshitu..
IMG-20220115-WA0003.jpeg
 
Kwa huyo Sangoma ndiko alimpeleka Magu, baada ya pale ikawa humwambii kitu Magu kumhusu Bashite
Huyo mganga mbona kashindwa kuwasaidia kupambana na nature.
Ndumba zikiexpire kifuatacho ni fedheha
 
Shida watu wanadhani Marekani ni Mungu. Marekani kauwa wananchi wangapi wasio na hatia! Hapa majuzi imetolewa pendekezo Kuchunguza jeshi la Marekani huko Afghanistan, inasemekana Marekani waliua sana wananchi wasio na hatia.

Watu wangapi wanauwawa Marekani kila siku. Tena polisi wao wanaongoza kwa kuuwa! Bado tunaishangilia Marekani. Watu wanautumwa wa akili. Marekani ilikiri kuwa kumuuwa Gaddafi walifanya kosa. Je niviongozi wangapi Marekani imewauwa ukiwa kinyume nao! Tazama Sadam Hussein, walidanganya anasilaha za maangamizi wakamuuwa.
Kumbuka Makonda liwahi kukanusha kuwa ugaidi uliotangazwa na Ubalozi wa Marekani kuwa utatokea maeneo ya Masaki na Oysterba, haupo na hakuna tishio lolote, wananchi wasiwe na wasiwasi. Hii iliwauma sana wamerekani. Na kweli hakuna ugaidi wa shambulio uliotokea hayo maeneo.
Tusiwaabudu wamarekani.
Hata raiya to wenye asili ya kiafrika wanauawa sana Marekani
 
Mga6 anakupa matumaini feki,angetumia akili yake asingetenda huo upumbavu.
Waganga ni watu hovyo kabisa
 
Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri).

Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa harass Sasa wameshika mpini, Jiji aliloliona la kwake, na wakazi wake kama wapangaji, amelikimbia kama Ghadafi alivyoikimbia Tripoli, au Saddam alivyoikimbia Bhaghdad.

Wale walinzi mahiri, makirikiri, hawako nae tena, Polisi na usalama hawako naye tena, ni mpweke huko maporini akipanda milima na kukatiza njia za waenda kwa miguu, pengine anapishana na watu aliowadhuru ila yeye ameshawasahau!

Ni Makonda aliyewaonya viongozi wakuu wa dola kwamba ana nguvu kuliko wanavyodhani!

Wakati ukutaView attachment 2082013
Cc: Lemutuz
Nebkadineza baada ya kumchukiza Mwenyezi Mungu alimlaani akamwambia Kwa miaka 7 atakuwa anaishi porini akila nyasi kama hayawani.

Je Paul siku hizi anaishi porini??
 
bashite mjanja kweli kweli, anacho tafuta apo ni ‘huruma’ ya jamii ili asiburuzwe mahakani kwa yale alio wafanyia ‘wabaya’ wake, yaani kwa sasa anapost ‘strategic pictures’ ili kupata huruma na msamaha kutoka ktk jamii na watu aliowafanyia uovu wa kutisha……….na tayari wadanganyika wengi tuu wameisha ingia mkenge wa kumhurumia
Mahakamani ipo pale pale ngoja mama atoke kwanza jinai haifi.
Chama kimerudi kwa wenyewe Rizimoko,Nape ndani ya nyumba bushmen chawa wa Magu watachomokea wapi.Musiba,hapi,muro,kessy,nkamia,wameufyata
 
Back
Top Bottom