Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Alishafutwa kwenye ulimwengu wa roho hao walinzi watoke wapi.Mbona walinzi bado anao wengi tu... Na huko anakoenda kwenye hiyo picha ana miadi na wengine!
Ukikua utawajuaHakuna kitu kama hicho lete video makonda akiwaua hao uliowataja?
Labda arudi kuongoza familia yako.Huyo ni mfungwa mtarajiwa ngoja mama atokeBaadhi ya watanzania hasa wa mitandaoni wanapenda viongozi legelege, na hawapendi mtu anaye jiamini. Hawapendi mtu anae wazibia maslahi yao yasi halali. Wamebaki kuongelea watu na umbea, usio wasaidia. Hata umuongelee vibaya huyo Makonda, utafaidika na nini, au utampunguzia nini? Alisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar. Alifanya kwa nafasi yake alofanya. Atabaki katika historia. Kwa sasa anamaisha yake hajaja kwako kukuomba fedha au kulialia. Anaenjoy maisha yake.
Ya Mungu mengi hujui kesho. Makonda bado ni kijana uenda akarudi tena madarakani. Tusiongee sana, tuwe na akiba ya maneno!
Anapambana sana kwa masangoma ili kuzima kesi zulizokuwa zinataka kuibukaWengine wanasema eti anasaka waganga
Sio ushoga,alipanga kwenda kumuua mangeSababu iliyopelekea Makonda kuzuiwa kuinga Marekani “Ni kupambana na ushoga” sasa narudi kwako wewe, labda utuambie wewe ni shoga tujue moja.
Utumbo ni yanayokutoka kinywani mwako, Yamjayo mtu moyoni na akilini ndo utamka. Hivyo akili yako inawaza utumboutumbo ndo maana kila kitu unaona utumbo. Shida ni akili zako na fikra zako.Huo utumbo ulioandika hapa kawasimulie wanao kama unao, au peleka kijiweni kwenu
Ccm inawalinda wahalifu, kumbuka huyo aliifanya yote hayo kulinda chamaKenge wewe usiye na akili tangu lini uliona muuaji akitembea mtaani pasipo hofu yoyote jamaa anawatesa sana ila ndio hivyo ana akili ya utafutaji kukuzidi wewe mshenzi mmoja usiye na mbele wala nyuma
Hatari snMakonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri).
Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa harass Sasa wameshika mpini, Jiji aliloliona la kwake, na wakazi wake kama wapangaji, amelikimbia kama Ghadafi alivyoikimbia Tripoli, au Saddam alivyoikimbia Bhaghdad.
Wale walinzi mahiri, makirikiri, hawako nae tena, Polisi na usalama hawako naye tena, ni mpweke huko maporini akipanda milima na kukatiza njia za waenda kwa miguu, pengine anapishana na watu aliowadhuru ila yeye ameshawasahau!
Ni Makonda aliyewaonya viongozi wakuu wa dola kwamba ana nguvu kuliko wanavyodhani!
Wakati ukutaView attachment 2082013
Cc: Lemutuz
Awapelekee pesa watafune jina haifutiki ipo pale paleAnapambana sana kwa masangoma ili kuzima kesi zulizokuwa zinataka kuibuka
Good ni jibu nzuri snMagufuli alikuwa anapenda Zero Brains.
Maana zero brains wao wanatekeleza chochote wanachoambiwa piw huamini katika matumizi makubwa ya nguvu na sio akili.
Mwisho tu ni kuwa washamba wengi walikuwepo awamu ya 5 hali iliyopelekea nchi kuendeshwa kama familia
Kweli nimeamini uchawi upo[emoji849]Thibitisha kauli yako alihusika na mauji yapi? Lini na wapi?
Ndio maana yakeWengine wanasema eti anasaka waganga
Chuki zako utakufa mapema. Sasa familia yangu inahusiana nini! Una gubu tu wewe, na mtakoma na roho zenu mbaya za kuombea watu mabaya. Dua ya kuku haimpati mwewe. Huna chochote cha kusema mama akiondoka. Ha ha ha! unajidanganya! Rais ajaye anae mjua ni Mungu tu! wengine mtajipanga lkn haitotokea!Labda arudi kuongoza familia yako.Huyo ni mfungwa mtarajiwa ngoja mama atoke
Una ushahidi usifikiri mahakama ni pango la kuwafurahisha wajaa chuki na wivuKwanza afikishwe mahakamani na kujibu tuhuma mbali mbali zinazo mhusu kama ilivyokuwa kwa sabaya zikiwemo za maiaji na kutesa watu
Ushahidi unao au unaotaBen saa8