Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

Kuna wasaa unaweza kudhani mwenzako anateseka kwa mtazamo wako kama ulivyomzoea. Ilihali kwenye kichwa chake keshakubali matokeo life goes on.

Makonda angekuwa anaona noma asingekuwa anakatiza Kariakoo na sandals (wakati bado anayo hela ya kujikimu vizuri tu).

Inaonekana ni mtu ambae aliji tune madaraka yanamwisho. Shida ipo kwa mtu kama Nape na baadhi ya wachache wanaodhani privilege ni haki yao ya kuzaliwa.

Na kwenye hiyo picha shida aipo kwa Makonda bali kwa mtu anaetaka kuamini hali yake sio nzuri. Maisha yatazame kwa jicho la muhusika sio kulazimisha mtazamo wako. Wewe unawaza A mwenzako kumbe anawaza Z miles apart.
 
Mbona walinzi bado anao wengi tu... Na huko anakoenda kwenye hiyo picha ana miadi na wengine!
Alishafutwa kwenye ulimwengu wa roho hao walinzi watoke wapi.
Don't mess up with Gwajima,,bashite chali,ndugai chali,
 
Baadhi ya watanzania hasa wa mitandaoni wanapenda viongozi legelege, na hawapendi mtu anaye jiamini. Hawapendi mtu anae wazibia maslahi yao yasi halali. Wamebaki kuongelea watu na umbea, usio wasaidia. Hata umuongelee vibaya huyo Makonda, utafaidika na nini, au utampunguzia nini? Alisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar. Alifanya kwa nafasi yake alofanya. Atabaki katika historia. Kwa sasa anamaisha yake hajaja kwako kukuomba fedha au kulialia. Anaenjoy maisha yake.
Ya Mungu mengi hujui kesho. Makonda bado ni kijana uenda akarudi tena madarakani. Tusiongee sana, tuwe na akiba ya maneno!
Labda arudi kuongoza familia yako.Huyo ni mfungwa mtarajiwa ngoja mama atoke
 
Sababu iliyopelekea Makonda kuzuiwa kuinga Marekani “Ni kupambana na ushoga” sasa narudi kwako wewe, labda utuambie wewe ni shoga tujue moja.
Sio ushoga,alipanga kwenda kumuua mange
 
Huo utumbo ulioandika hapa kawasimulie wanao kama unao, au peleka kijiweni kwenu
Utumbo ni yanayokutoka kinywani mwako, Yamjayo mtu moyoni na akilini ndo utamka. Hivyo akili yako inawaza utumboutumbo ndo maana kila kitu unaona utumbo. Shida ni akili zako na fikra zako.
Kama unawatoto wana hasara, unaonesha ni mtu unae waza mambo ya vijiweni. Hama kweli nyani haoni kundule!
 
Magufuli alikuwa anapenda Zero Brains.

Maana zero brains wao wanatekeleza chochote wanachoambiwa piw huamini katika matumizi makubwa ya nguvu na sio akili.

Mwisho tu ni kuwa washamba wengi walikuwepo awamu ya 5 hali iliyopelekea nchi kuendeshwa kama familia
 
Kenge wewe usiye na akili tangu lini uliona muuaji akitembea mtaani pasipo hofu yoyote jamaa anawatesa sana ila ndio hivyo ana akili ya utafutaji kukuzidi wewe mshenzi mmoja usiye na mbele wala nyuma
Ccm inawalinda wahalifu, kumbuka huyo aliifanya yote hayo kulinda chama
 
Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri).

Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa harass Sasa wameshika mpini, Jiji aliloliona la kwake, na wakazi wake kama wapangaji, amelikimbia kama Ghadafi alivyoikimbia Tripoli, au Saddam alivyoikimbia Bhaghdad.

Wale walinzi mahiri, makirikiri, hawako nae tena, Polisi na usalama hawako naye tena, ni mpweke huko maporini akipanda milima na kukatiza njia za waenda kwa miguu, pengine anapishana na watu aliowadhuru ila yeye ameshawasahau!

Ni Makonda aliyewaonya viongozi wakuu wa dola kwamba ana nguvu kuliko wanavyodhani!

Wakati ukutaView attachment 2082013
Cc: Lemutuz
Hatari sn
 
Magufuli alikuwa anapenda Zero Brains.

Maana zero brains wao wanatekeleza chochote wanachoambiwa piw huamini katika matumizi makubwa ya nguvu na sio akili.

Mwisho tu ni kuwa washamba wengi walikuwepo awamu ya 5 hali iliyopelekea nchi kuendeshwa kama familia
Good ni jibu nzuri sn
 
Labda arudi kuongoza familia yako.Huyo ni mfungwa mtarajiwa ngoja mama atoke
Chuki zako utakufa mapema. Sasa familia yangu inahusiana nini! Una gubu tu wewe, na mtakoma na roho zenu mbaya za kuombea watu mabaya. Dua ya kuku haimpati mwewe. Huna chochote cha kusema mama akiondoka. Ha ha ha! unajidanganya! Rais ajaye anae mjua ni Mungu tu! wengine mtajipanga lkn haitotokea!
 
Back
Top Bottom